Pole sana Dada

Pole sana Dada

Hahaha!, gaal, nimesoma huku nakauka mbavu..lol

Pole zetu sisi au yeye anayekosa usingizi kwa kufikiria vitu visivyomhusu? Masimango kama kaombwa hela ya lunch vile. 🙁
Anatulilia hapa hajaombwa hela, akiombwa si atazimia kabisa...Pole zake mbona!
Ngoja atoto aje 😀
Haha poleni sana vikongwe nyie
Hahahaaaa!!! Khaah! Hiki kichambo balaa!!
Pole dada kui na Heaven Sent
 
Kwa lugha nyepesi tuseme wanawake wanaume wote ngoma droo hakuna aliezidi mwenzie,

Wenye nia nzuri hawakutani na wenye nia nzuri wenzao, hii formula sijui ikoje.
heee wewe kweli ni clueless, Mwanaume hana cha kupoteza, muda wowote atakao jisikia kupata mtu au kuoa atafanya hvyo, mwanamke je?

Maisha ya usichana ni mafupi mno kama bao la kwanza, ukishafika 28 huko hakijaeleweka ujue jahaz limeanza kuzama
 
sasa nitakuwaje na mchumba/mpenzi sijui tabia yake..udukuzi muhimu
Ukichunguza bata hutomla,how would u feel mtu leo hii awe anakudukua bila wewe kujua??breach of privacy,lack of trust and I think u expect a lil too much from binadamu mwenzio,.. Are u perfect ukifuatiliwa?cut people some slack
 
heee wewe kweli ni clueless, Mwanaume hana cha kupoteza, muda wowote atakao jisikia kupata mtu au kuoa atafanya hvyo, mwanamke je?

Maisha ya usichana ni mafupi mno kama bao la kwanza, ukishafika 28 huko hakijaeleweka ujue jahaz limeanza kuzama

Labda kama wanaume wamepachikwa mioyo ya chuma hawaumii. Lkn kama nyama ngoma droo kama nilivyosema
 
Labda kama wanaume wamepachikwa mioyo ya chuma hawaumii. Lkn kama nyama ngoma droo kama nilivyosema
Yaan mpk umri wa kuoa unafika bado mtu anaumiaga tu? wanaume wengi wanaumiaga kwenye teen ages... akitoka hapo n mwanaume wa shoka, upuuz wote unaishia huko huko,

Ndio maana wengi wao, hawaon shida kumpiga mtu chini leo baada ya siku mbil wako na mwingine
 
Kuna muda hupaswi kulalamika sana jambo baya linapokutokea, its for yo own good. Maybe ungeng'ang'ana lingekupata zito zaidi.

Alafu hivi hakuna wanaume wanaowabadilikia wanawake? Au unapata relief ukiwajaza lawama wanawake?

You cant be good for every one but for the one who deserves you.

Asantee!...Umemaliza yote hapo.
Umewatoa tongo wanaofikiri ndani ya box.
Wakikuelewa ni faida kwao.
 
Asantee!...Umemaliza yote hapo.
Umewatoa tongo wanaofikiri ndani ya box.
Wakikuelewa ni faida kwao.
Kuna haja ya kujifunza kuchukulia mambo in a positive way, sio ukikataliwa na mtu basi unamjaza laana zote za dunia. Mambo mengine hutupata ili kuwa funzo kwetu.

The right one ll come for the right person at the right time,tusiwe wahukumu sana. Let people choose, kila mtu anachagua bwana, msiwatie watu uoga wakakurupuka.
 
Yap, kabsa. Tumekuwa too much negative minded kiasi kwamba jambo likitokea kinyume na matarjio basi mtu anaona kama ndo mwisho wa dunia, badala ya kujifunza kama kulikuwa na makosa.
 
Yap, kabsa. Tumekuwa too much negative minded kiasi kwamba jambo likitokea kinyume na matarjio basi mtu anaona kama ndo mwisho wa dunia, badala ya kujifunza kama kulikuwa na makosa.
Mtu anatoa story yake ya kulaani lkn mwishoni anasema alimpata wake wa kweli, sasa haoni kuwa hiyo ilikuwa ni njia ya kumfikisha huko kuzuri? Kwanini asiichukue hiyo baraka iliyomjia abaki na kinyongo na yule alomkataa!!

Tuwe watu wa kuombeana mema.
 
..Right, ni muhimu kwa kweli, ili tuishi kwa Amani.
 
Wanaume namba one source ya akina dada kuchelewa kuolewa, unakuta mtu kajiweka akijua mtu mmoja atamuoa wanakaa nae muda, siku isiyo na jina anamwacha. Laiti mkisema mapema hizo posa zingine zisingekataliwa.
Hamfai kuaminiwa
Wanaume wanapenda kweli ila wakishagundua mwanamke unlmetanguliza material things kama pesa kwenye mahusiano basi watakaa na wewe ila mwisho wa siku utatemwa. Ndo unasikia wengi humu wakilalamika wanaume hawaaminiki. Wakati mwingine wale wanaowapenda kwa dhati hamuwataki. Ndio maana mnaangukia kwenye mikono ya wenye pesa zao na kuwachezea..jitahidi mbadilike.
 
Ukiwa na miaka 50 uwe na pesa zako.....

Sio miaka 50 kapukuuuuuu utegemee mtoto mbichi
Hata ukiwa na miaka 30 bila pesa mtoto mbichi kumpata ni shida especially kama ni mzuri maana wanawake wanachikukia uzuri kama asset.
 
Maisha sio kuolewa tu.....

(Ukizingatia walioolewa wenyewe wanajuta kwa tabia za ajabu walizonazo wanaume.... (baadhi))
Pia kuna walioolewa na wamepata waume wema. Kwanini we ujitabirie kundi la waume wabaya?
 
Haki huuu uz nna uhakika kuna,dem akiuona anaweza kuzimia
yaan ni bonge la thread na wadada weng linawakumba na litaendelea kuwakumba kwani wanajiona machinooo.
 
Back
Top Bottom