Pole sana Dada

Pole sana Dada

Ukikutana na mdada alochezea bahati na ukaruhusu akuelezee historia yake utamuonea huruma sana...lakini mwisho wa siku unajilia vyako anabwaga manyanga tu.
Sasa mkuu hapo si ndio unamuumiza zaidi.
 
Sometimes sio sisi wanaume ndo tunamakosa....maana tunapanga kweli kumuoa mwanamke na unakuta ni kweli tunapenda kutoka moyoni, sasa sijui ni pepo gani linalowakumba wadada zetu ambapo mwisho wa siku wanaonekana katika hali ya kutoeleweka, hapo ndo mwanaume anafikia hali ya kumpotezea iwe ni kwa muda au moja kwa moja.
 
Wanaume namba one source ya akina dada kuchelewa kuolewa, unakuta mtu kajiweka akijua mtu mmoja atamuoa wanakaa nae muda, siku isiyo na jina anamwacha. Laiti mkisema mapema hizo posa zingine zisingekataliwa.
Hamfai kuaminiwa
 
Wanaume tuna bahati sana na mambo ya ndoa. Hata uwe na miaka 50 utaona mtoto wa kike anatafuta mume wa miaka 50. Lakini huoni mwanaume anatafuta mchumba wa miaka 50.
Ukiwa na miaka 50 uwe na pesa zako.....

Sio miaka 50 kapukuuuuuu utegemee mtoto mbichi
 
Back
Top Bottom