Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,791
- 4,679
kulen ujana tu uzee sijui utakula na nan.Asante xanaa!! Ila hatuolewi ng'oo hadi tumalize kula ujana!!
kulen ujana tu uzee sijui utakula na nan.Asante xanaa!! Ila hatuolewi ng'oo hadi tumalize kula ujana!!
yeye ndio kajipotezeashida ni nyie bana.mfano hai nilikuwa na dem tumekaa miaka 3 nikijua kabisa nitamuoa nikawa nafwatilia mawasiliano yake bila yeye kujua nikagundua analiwa na libaba limoja linafanya kaz ppf na hilo libaba ni rafik na kaka yake uyo demu.Nikamwacha uyo demu.Utasema mimi ndio namakosa?au mimi nimempotezea mda?
hilo jiwe ulo rusha nimelikwepa sijui limempata nani huko mbele
this is the best waynimesoma michango yote jamani cha msingi kabisa tumtegemee mungu
duh! lazma utayalipa machoz yake sio sasa hat baadae nmeamua kumalizia mkuuHuu ujumbe ni mzito sana sana sana. Najua wale sugu watakuja kubisha... lakin wale wachache wenye hekima... watakuwa wameelewa.
Baadhi ya Wadada wa miaka hii.. pls punguzeni viburi.. ujeuri.. dharau uvivu.. hata kama ni mzuri.. hata kama una pesa.. mjiheshimu ndipo Mungu atawapa mume wa kuwapenda na kuwaheshimu. Otherwise mtachezewa na wanaume viruka njia.... kwa muda mrefu.
Kwa wanaume... kama binti ameji commit kwako pls usimchezee na kumuacha. Kama una mipango nae.. mtreat vizuri.. mpende. Lakin kama hauna.. ni bora usimguse labisa.. kuliko kuuchezea uke wake then kukimbia ukimuacha na majonzi .