Pole Saana na Msiba Roulette

Pole sana Russian Roulette na familia nzima. Mungu Awape faraja na Amlaze mpendwa mtoto wetu mahali pema peponi!
 
sisi sote waja,mwanetu katangulia mbele ya haki,nasi twafata,eh Mola ipokee Roho ya Marehemu,gone too soon,RR wape pole wafiwa wote wambie familia ya marehemu kuwa wana JF tuko pamoja nao katika dua.
Amin.
 
Dah, may she rest in peace. Asha Dii nilifikiri vingine kwa hiyo heading, edit tafadhali inachanganya.
 
so sad, pole sana RR mungu ametoa na mungu ametwaa jina lake lihimidiwe
 
R.I.P angel.

Nakupa pole RR kwa yaliyowakuta. Mungu awajalie ujasiri wa kukabiliana na maisha mapya.
 
RR,je suis triste pour vous.Mais on peut rien C'est Dieu seul qui a decidé.Dans ce moment je prie le bon Dieu qu'il vous console.QUE SON AME RESTE EN PAIX,AMEN
 
Back
Top Bottom