Pole Saana na Msiba Roulette

Nimekupata sawia...Halafu you guys have soo much in common, i love you all for real!

You make this forum very exciting, and trust me that i aint trying to impress ya'll fo nuttin,its just the fact some of you guys are amazing and makes me proud for becoming a member here.

Thank you ver much,niko na laptop bafuni i gotta go to school yani niko na mswaki hapa lakini i am getting caught up in conversations Lol!

Kuingia humu ni rahisi,kuoka mhn!

On behalf of Roulette too..... THANK YOU... And we are INDEED Humbled.
 
Wana JF

Russian Roulette is one of the Mods ambae yupo saana nasi hapa jamvini katika mijadala mbali mbali as much as anatu-moderate na hata kumoderate threads. Hio imefanya awe na members wengi kumkubali na kumpenda tokana na her tolerance and Charm.

I am Sad to say kua Kafiwa na niece yake Mpendwa wa eight (8) months old baada ya kuumwa kwa mda mrefu akiugua Congenital disease (na alishawahi rusha Thread hapa siku za nyuma kuhusiana na ugonjwa huo
Link
); Ni msiba mkubwa saana kwa wazazi wa the little angel na Familia nzima. Roulette so loved this kid na alichangia saana kutaka jua jinsi gani wanaweza muokoa. Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema ana mipango mingi na mara nying tofauti na vile wanadamu tunataka.... The little angel has gone to her maker... May she Rest in peace.

Russian Roulette... Pole saana Love kwa msiba.... Allah akupe Imani na Amani in this whole time of Sorrow. I have written this to fellow JF members and to you with Abundant Love Dearest..... Tuko nawe kiroho na fikra katika this whole time of sorrow. Stay Strong dearest....

"Innah lillah wah innah lillah Rajjun"

Pamoja Saana
AshaDii.

Thanks for info AshaDii na pole Roulette
 
poleni sana, MUNGU atawapa faraja yake iliyo kuu na ya kweli kuliko faraja zote za wanadamu.....!!

BWANA alitoa na BWANA ametwaaa jina lake libalikiwe...
 
Pole sana RR.
Raha ya milele umpe ee bwana, na Mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani, Amina!
 
Pole sana dear Russian Roulette, Mungu awajalie moyo wa imani katika kipindi hiki kigumu kwenu wanandugu. Amani zaidi mnapojua kuwa yupo mahala pzuli zaidi ya hapa Duniani. Sasa hv u pamoja na malaika wengine waki mwimbia na kumwabudu Bwana Mungu. Bwana ametoa, bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe, Roho ya Marehemu ipumzike kwa amani..... AMINA.
 
Pole sana RR, hakika mwenyezimungu ni mtukufu, atakufungulia njia nyingine. INNAHLILLAH WAINNAILLAH RAJIUN.
 
Asanteni sana rafiki zangu kwa kunipa pole, tumesha poa.
Kwa kweli message zenu zimesaidia sana, kuliko mnavo fikiria, hasa nilipo zifikisha kwa wazazi wa marhem... As a matter of fact alikua anaitwa Faraja...
Siku ya kumzika mama yake alionekana kua na hekima kuliko watu wote tuliokusanyika maana alitoa speech ya nguvu sana:
alisema kua maisha mafupi ya mtoto huyu ni ujumbe toka kwa Mwenyezi mungu. Ujumbe wa upendo, umoja, humity, solidarity, compassion, uchamungu na vingine. Alisema hivo sababu kila alie mjua mtoto huyu aliona tabia hizo zikizidi mara dufu. Leo ameondoka akiacha familia yake VERY united, like never before, na deeply believing in God.
Tunaamini Mungu hakutaka ateseke, na pia hakutuumba wanaadamu ili tuteseke na ndio maana aliona ni vema malaika wake akapumzike mateso haya ya duniani, as she waits for all of us to join her.
I am strong and recollected, nashukuru kila alie nikumbuka katika kipindi hiki, kwa post, PM, SMS na calls.
I am back now...

Russian Roulette.
 
Poleni sana! Kazi ya Mungu haina makosa.
Karibu tena RR.
 
Welcome back miss Roulette,i missed you...!

And maybe lots of others did too.

It is good to know that the family's faith is even stronger and that now they are moving on fine.

It is true that the most solace you have is that she is at the better place and ofcourse you, everbody will join her whenever God wishes are fulfilled.

Welcome back and lets move on...
 
Back
Top Bottom