Pole PakaJimmy

Wanabodi,
Nianze kwa kumshukuru sn mdau pmwasyoke kwa kuwajuza wanajamvi.
Hakika namshngaa mdau huyu, maana simfahamu ambapo yaelekea yeye ananijua vyema. Anyway, JF ni pana sana na yawezakuta ni jamaangu wa karibu.
Ni kweli kabisa wadau nimepata msiba wa baba mkwe wangu na hv sasa ndio naingia mbuga ya Mikumi nikiwahi mazishi hapo kesho. Nawashukuru sana kwa POLE zenu, na niombeeni nifike salama.
 
Last edited by a moderator:
Kaka PJ vibaya hivyo hata hatuambiani.
Pile sana mkuu. Mpe pole shemeji pia.
RIP baba mkwe
 
PakaJimmy kafiwa na baba mkwe na hivi sasa yuko safarini kuelekea Mbeya msibani. Kwa udau wake mkubwa hapa JF nimeona niwajulishe.
Mungu ailaze pema roho ya baba mkwe.
Amina kiongozi wangu. Nakushkuru sn kwa ku' break nyuz kwa wanabodi, japo hadi dakika hii sijafanikiwa kukujua. Kwa maombi yenu wote naamini kabisa kuwa Mungu atasikiliza na kutenda kwa favor yetu sote. Be blessed!
 
Inna lillahi wa inna Illahi Rajjunn!
Pole sana mkuu. please transmit my condoleances to your wife and the extended family too. Mungu ailaze roho ya marhem mahala pema until the day you are reunited again.
 
Komred PakaJimmy,

Pole sana tafadhali wanaJF Arusha tujulisheni kama kuna utaratibu wa michango na nk.
Mkubwa wetu Ngongo , thanxs alot kwa kujali na kuonyeha moyo wa upendo. Naamin taratibu zipo kabisa na ukimPM kiongozi wetu mtukufu Mzee wa Rula atakufahamisha. Tuko pamoja mkubwa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu PJ, tupo pamoja katika wakati huu mgumu mliyonayo wewe na familia nzima ya kwako na ya mkeo. Mungu awaongoze muendako na mrudipo.
 
PakaJimmy kafiwa na baba mkwe na hivi sasa yuko safarini kuelekea Mbeya msibani. Kwa udau wake mkubwa hapa JF nimeona niwajulishe.<br />
Mungu ailaze pema roho ya baba mkwe.

Pole sana mpiganaji, tupo pamoja sana katika kipindi hiki kigumu!!
 
Pole sana PJ, Mungu awatangulie katika safari na kila jambo.................
Raha ya Milele umpe ee Bwana, na mwanga wa Milele umwangazie; Astarehe kwa Amani, AMINA
 
Amina kiongozi wangu. Nakushkuru sn kwa ku' break nyuz kwa wanabodi, japo hadi dakika hii sijafanikiwa kukujua. Kwa maombi yenu wote naamini kabisa kuwa Mungu atasikiliza na kutenda kwa favor yetu sote. Be blessed!

Usijali kutokunijua - nitajitambulisha hivi karibuni utakaporudi na itabidi uninunulie wine.
 
mkuu pmwasyoke asante kwa taarifa.
Mkuu Pj pole sana,Mungu awatie nguvu na kuwapatia faraja na pia uwe na safari njema.
 
Last edited by a moderator:
pole sana Mkuu PJ. Mungu akupe nguvu, uvumilivu na faraja katika kipindi hiki cha majonzi. Mungu ailaze roho ya mzaa chema mahali pema peponi, Amen
 
Back
Top Bottom