@Wee jigoku, tena kila siku ukijiita Msukuma mwenzangu, Msukuma gani wewe mwenye tabia za kike kike?. Mbona wasukuma sio watu wa kujipendekeza pendekeza na kimbelembele kama wale jirani zetu kule juu?. Mijitu mingine kudandia tuu makabila ya watu kwa vile umezaliwa Usukumani?.
!
Pasco kwa ni njema nitatumia uzi huu kukuyesha jinsi ilivyo inawzekana hujui lakini mambo kama haya sometime ndo yanasaabisha labda watu wakuhusishe na mambo ya ajabu........
Chukulia mfamo comment yako juu hapo maandish niliyowekea rangi.
Kwa kuwa wewe ni msuku-ma basi unadhani kiasili kwenye DNA na genetics characrtertics umerithi tabia za wasukuma wengi lakini comment zako kwenye misiba miwili tu ya wanasiasa zimeu expose uwa hauko hivyo.Huna tofauti na hao unawaita jirani zako( hope ni wahaya). yaani kwa kimbelembele na kujipendekeza.
So angalia usikose Identity ukawa msukuma jina tu kitabia ukawa kama jirani unayemshutumu. Bora ungekuwa kama sisi wahaya kama unavyomsema ningekuelewa. Yaani kama hujaambiwa basi ndio naumbia watu wasigeshtuka kama wewe ungekuwa muhaya "mwezetu" lakini hata wananzengo wa kisukuma wa "kweli" wanakushangaa kuwa wewe ni msukumawa kichina........
au wewe ni wale wasukuma ambao hata ukimwambia daladala anajua ni zile za dar.
So usidhani msukuma akibehave kama muhaya atabaki kuwa msukuma. atakuwa kituko..........
Mami Pasco mhhhh ni hayo tu.......