Pole kwa watanzania ambao hela imewakataa

Mkuu tunakujua nje ndani usianze kupandisha mabega.
Mbona mama yako na dada zako tunawaona wamepauka kinoma hapa Karakana Singida au nikutumie picha ya nyumbani kwenu maana hata kwako huna.
 
Nilijua nasona uzi wa tajiri gani sijui, mpaka nilipoona mil5 nikaishia hapo
 
Hakuna Cha Maajaliwa huko ni kujifariji kisenge
 
Kama Ndege john angeandika uzi kuelezea anavyoshinda njaa hakuna ambae angempiga mawe,
Kama kawaida ya nongwa za waafrica, wanampiga mawe kisa ameelezea mafanikio yake.
 
najua sio rahisi kuamka account haina hata milion 3
majivuno

hali ya kujiona

kiukweli Sisi wengine tunaamka tunashika hela, tunakula kuku daily mpaka tushachoka, tunakunywa wine daily
limbukeni

mtu anayeanza kutumia au kupata kitu kwa mara ya kwanza

Lakini pole sana. Hata sisi wenye hela tunawaelewa tushapitia hayo maisha
beza

shushia hadhi mtu kwa maneno au vitendo

ila jamani msiokuwa na zali na hela mpunguze majukumu
dharau

kosa kuthamini mtu au kitu; vunjia mtu heshima

nikisema hela zimenikubali huu mwaka ni kweli zimenikubali ila pia shukrani kwa 1xbet umeninulia pair 6 za viatu jumla million moja umeninulia iphone 17 mpyaa aisee niseme nini
Kuna mtu humu ndani, kupitia uzi fulani alisema hivi kuhusu mtu anapopata kiasi fulani cha hela.

"Mara nyingi hela huikuza (amplify) tabia yako ya ndani iliyojificha."

Yaani unakuwa na ile tabia ila huwa haionekani mpaka upate hela!!!!!!!
 
Hii pole yako naipokea kwa mikono miwili huku mfukoni nikiwa na elfu 16 tu na penyee nimeagiza bia mbili za mawazo. Bia nyingi nataka ila walau hii ten itakayobaki niipeleke home madogo wakauone usiku.

Maisha haya, faken kabisa
 
Wewe mtu wa singida sasa yule mke wako ulimuachia nani? Ila nakushukuru miaka fulani zamani ulipa dili kwenye minada ya singida nilipata hela, tupe njia sasa za kufika Thailand
 
Hakuna Cha Maajaliwa huko ni kujifariji kisenge
Nakubali ila hakuna anependa kuwa masikini ndio maana kuna watu wanapambana asubuhi mpka kucha na wewe unaweza kuwa shahidi lakini pesa anayopata ikiingia kwenye mzunguko hatoboi
 
Maisha ndio haya haya mkuu wala mtu asikupe presha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…