Pole Joseph Kusaga kwa ajali !Mungu awaponye na mwenzio alieumia wa gari nyingine

daaah angekuwa RUGE KAHABA ningefurahi kishenzi ila huyo jamaa ni mtu poa sana ila KAHABA anaharibu sifa yake

#kunjani kuti
 
Iwekeni vizuri basi, alipata ajali akiwa na watu gani? Hali zao zikoje mnaweka nusunusu wengine majukumu yanabana unasikiliza habari 3 in a week
 
Hakuna asiyejua unazi wa clouds fm kwa cha twawala, ila kwa ajali aliyopata bwana Kusaga nampa pole sana na m'mungu amponye ili arejee kwenye majukumu yake kama kawaida.

plz Jina la Mungu heruf kubwa jaman
 
Ndugu zangu rafiki zangu wa clouds fm
polen sana kwa ajli ya br wetu joseph kusaga hapo kona ya clouds
ni wakati wa kuomba mungu awaponye na kuwapa nguvu wote walioumia
ni furaha yetu kuona mkirudi tena kuendesha gurudumu la kuendeleza jamii

zab 118:17
hatutakufa bali tutaishi tukiyasimulia makuu ya bwana

Matukio kama haya nayatukumbushe kuwa binadamu wote ni nyama na damu na tuache kujivika uungu mtu nyakati flani.
 
R.I.P Joseph Kusagwa...bwana ametoa bwana ametwaa...jina la bwana lihimidiwe..AMEN

Mimi sio mfuasi wa clouds lkn hii sio sawa,jf na nyie mnaojiita gt kwanini mnapost rumours na upuuzi,anyway nikisoma ulichoandika hukumaanisha Kusaga,u meant somebody Kusagwa.
 
Back
Top Bottom