Pole Joseph Kusaga kwa ajali !Mungu awaponye na mwenzio alieumia wa gari nyingine

amaaaa,akifa ujue na fursa ndo zimekufa

Ama!! Fursa zipi? Za kutuchapia ma dada zwetu pale THT? Au za kuwalipa wasanii wetu malipo ya airplay badala ya cash? Fursa za kuwababia kina Alli Kibba, Prof Jay na kina Anaconda? Fursa zipi wewe fungua macho acha kudanganywa!
 
Ndugu zangu rafiki zangu wa clouds fm
polen sana kwa ajli ya br wetu joseph kusaga hapo kona ya clouds
ni wakati wa kuomba mungu awaponye na kuwapa nguvu wote walioumia
ni furaha yetu kuona mkirudi tena kuendesha gurudumu la kuendeleza jamii

zab 118:17
hatutakufa bali tutaishi tukiyasimulia makuu ya bwana

Ah mi nilidhani ni li Rugwe mu-kabaha? Kama ni Kusaga, Mola ampe afya njema. angekuwa yule jambazi la Entertainment and Music Industry, ningefanyaje sijui! Ninge....dah! Anyway ni ndoto tu.
 
Kusaga Kama kalala na bundi mbona wanaompenda ni wachache hivi? Akaoshwe na mpendwa pendwa
 
Ni ubinadamu tu kutakiana heri...lkn kuna watu wanaiharibu sana hii jamii,kupandikiza chuki na kueneza propaganda!!!wakati mwingine unaona ni bora watangulie tutawakuta,mana njia ni moja
 
Msiwalizimishe kufa,Kufa watakufa wakati ukifika, wao wagome kufa kama nani? Wamekufa mitume,farao,nk
 
Hili si jukwaa la wahuni.Wewe ni nani uhukumu?
Kila jambo lina mahala pake sio kuropoka tu.

Pole sana Joe.

haahaaa mkuu usiumize kichwa nao
unajua hata baibo inasema wacheni wafu wazike wa....wao
 
R.I.P Joseph Kusagwa...bwana ametoa bwana ametwaa...jina la bwana lihimidiwe..AMEN

yesu aliletewaa kahaba akaambiwa huyu ame..........mwisho akawaambia kama kuna ambae anajua hana kosa awe wa kwanza kumrushia yule mawe akamweka kwenye ekichuguu nahis utakuwa mmoja wa liokimbia bila kumwaga YESU
Mungu turehemu na maneno yet
 
R.I.P
aaah kumbe bado upo? Jifunze kuheshimu kazi na haki za wasanii au kuwashughulikia waoharibu kituo chako cha redio,kwa namna moja au nyingine utakuwa umepunguza mikosi maishani.
 
Back
Top Bottom