Hakuna asiyejua unazi wa clouds fm kwa cha twawala, ila kwa ajali aliyopata bwana Kusaga nampa pole sana na m'mungu amponye ili arejee kwenye majukumu yake kama kawaida.
Kwa nini asingekufa??? si ameruhusu redio yake itumiwe na Ma-oppressor CCM!! he deserved to die.
Some pple ar alive b'se it z illegal to kill them
R.I.P Joseph Kusagwa...bwana ametoa bwana ametwaa...jina la bwana lihimidiwe..AMEN
Ndugu zangu rafiki zangu wa clouds fm
polen sana kwa ajli ya br wetu joseph kusaga hapo kona ya clouds
ni wakati wa kuomba mungu awaponye na kuwapa nguvu wote walioumia
ni furaha yetu kuona mkirudi tena kuendesha gurudumu la kuendeleza jamii
zab 118:17
hatutakufa bali tutaishi tukiyasimulia makuu ya bwana