Pole January Makamba

Wewe mchungaji ni mnafiki sana tena sana na sijui una chunga kondoo gani?

hivi haya maswali kwa nini haukumuuliza mlipokuwa pamoja kama wewe ni msema kweli?

Ukimsoma huyu so called mchungaji utagundua ni mwana siasa wa chadema kwa maneno yake na anajificha kwa kujifanya hawajui viongozi wa upinzani heti anasema kiongozi fulani wakati anamjua kabisa jina.

Wewe mchungaji acha siasa.
Tunajua umetumwa kusafisha tuhuma na unatakiwa kujua tuhuma hazisafishwa kwa tuhuma.

HAPA HAKUNA MCHUNGAJI BALI NI MWANA MWANA SIASA.

HII HABARI INA UONGO MWINGI SANA.
 
Mkuu we ni mnafiki ulishindwa nin kuhoji huko hotelini. BTW ni haki ya kikatiba kwa January kugombea urais kwani tatizo ni nini?

Go Makamba.


Duu ni wewe! Hata siamini!
 

usishangae atapachikwa kweli,hili halinipi shida,,,,
 
Hivi mtu mlikiwa nae masaa yote pale kwanini haya maswala usimuulize pale pale nadhani angekupa majibu stahiki,sasa umeyaleta hapa kutaka kumdhalilisha au kutaka nini? Sijaelewa nia yakuleta haya hapa

Hawa ndiyo watanzania kutumika kwa sana na hasa njaa ikiuma wanakuwa vigeugeu
 

swali kwNn anunue/ahonge wapiga kura?

yes kugombea ni haKi yake!
kwann kuhonga?
 
ni haki yake ndio.
ss kwnn ahonge fedha yote hyo?
si angenunua ht madawati apeleke kwny jimbo lake huko km kweli ana nia nzuri.
kwnn awanunue wapiga kura?

Mkuu huwezi kuuliza kwanin ahonge akat ndio mfumo huo wa CCM, Mimi hoja niliyojikita ni kuwa ni haki yake agombee ili wawe wengi tuweze kuwapima vizuri na hiyo ndio demokrasia ya kweli.
 


Wewe zuzu kweli! eti "mtu kishakula posho na mtu walikiwa nae aliyasema hayo mbele yao..."

1 Kumbuka wajinga ndo waliwao! Tulichofanya ni kula Alivyoiba wananchi! We mtu ya wapi? Na akituita tena tutakwenda ila tutamchafua... kwa sababu Mh huyo anaonekana mpuuzi kuliko tulivyomfikiria. Anatutongoza kwa pesa!!

2 Watanzania wameaswa kuwa kula kwa ccm ila kura kwa .... (malizia wewe).
 

Ukisikiliza sauti utapata majibu yako yote. Kilichoandikwa hapa ni unafiki mtupu. Tena January alikemea kiongozi wa dini wanaopenda kuhongwa pesa kwamba ni kinyume cha miiko ya uaskofu, na aliitaja yote mbele ya maaskofu hao. Akasema taaluma ya maaskofu imeingiliwa na matapeli, kama jinsi taaluma ya wanasiasa ilivyoingiliwa na matapeli. Alifanya bandiko hili ni kielelezo tosha cha utapeli huu.
 

KIbano KIkali kwa kweli unagombana na mchungaji kwa sababu kasema musiyotaka kuyasikia matapeli wakisiasa wa MACCM mchungaji hujatuambia meza kuu alikaa na nani
 
Mkuu huwezi kuuliza kwanin ahonge akat ndio mfumo huo wa CCM, Mimi hoja niliyojikita ni kuwa ni haki yake agombee ili wawe wengi tuweze kuwapima vizuri na hiyo ndio demokrasia ya kweli.

ehee
ss mkuu huu mfumo ndo hatuutaki.
 


You are too smart not to jump into this Anti-January bandwagon. There is no weighty accusation here, just rubbish. If January is not a rocket scientist, how come each day people are hell-bent on inventing fiction against him? Think about it.
 
January Makamba aombwe na maaskofu wa dhehebu gani jifunze kuadanganya uroho wa madaraka utamtokea puani aibu January Kuhonga
 
You are too smart not to jump into this Anti-January bandwagon. There is no weighty accusation here, just rubbish. If January is not a rocket scientist, how come each day people are hell-bent on inventing fiction against him? Think about it.
ant you sayng January was invited in Mwanza ha ha you must be frustrated some one spilled the beans ,January the alleged corrupt he should visit JF and tell the truth
 

Mkuu asante sana kwa majibu yako, hivyo nasubiri huo mwaliko wa Maaskofu pamoja na sauti. Kama unakavideo tuweke kabisa ndio kakataka mzizi wa fitina.
 
January Makamba aombwe na maaskofu wa dhehebu gani jifunze kuadanganya uroho wa madaraka utamtokea puani aibu January Kuhonga

Hapo ndipo pameniacha hoi, Yaani Maaskofu ninavyowafahamu wamwalike Makamba?? Ngoja tusubiri barua ya mwaliko kutoka kwa Kamisaa
 
Last edited by a moderator:
Kageuka mnafiki kwa kutushirikisha wana JF , January si ni public figure kaanza na wachungaji na wainjilist dau 50,000 kweli watanzania bei poa wameongeza kutoka t-shirt kofia kanga na chumvi mpaka 50,000 hizi ni dharau za rejareja kwa wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…