House for sale Mbezi beach Africana
Nyumba inauzwa upande wa chini wa Africana
Nyumba ina vyumba vitatu ndani ya fence
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 700
Hati miliki ipo
Bei za nyumba hii ni 200 millions tsh tu
Contact us. +255742892195
View attachment 3130303View attachment 3130304