please daniel...


Matters of the heart mkuu!
 
Pumbavvvvvv mwanaume gani unajiliza kibwege namna hiyo kisa mwanamke?

Nashangaa.......mi sio man lakini siwezi kunyaranyara ki fa la namna hiyo mbele ya demu......atakuona m s****e......
 

Lets hope so. Werent you too hard on him NN?
BAK, The Boss, what would you say to this dude in distress? SHERRIF ARPAIO
I now truly feel for him.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mademu ishi naye kwa akili. Akienda kombo usiende naye. Wapo wengi ambao wana uwezo kukufanya ufurahi zaidi ya huyo. Mara ya kwanza utaumia but ukivumilia utasahau tena fasta sana. Demu akinikukimbia muache atarudi analia.
 
mi nachowapendea WAUME ZANGU!
EHEHEHHEHEHHEH NI NAMNA MNAVYOWEZA KUNIPIGANIA ASEE!
ikiwa naleta ubishi ni bora MUONDOKE WOTE !hapo tu!
FEEELING VEEERY SPECIAL!!!
ahahahahhahhahhahah cha gharama HULINDWA atiiiii!

Hahaha kwa gharama yoyote ile tutahakikisha kuwa mke wetu unakuwa salama salimini.
 

Jolene x3 l am begging of u please don't take my man. You can have a choice of men, but l could not love again, he is the only one for me Jolene.

Dolly Parton aliimba.
 
Jolene x3 l am begging of u please don't take my man. You can have a choice of men, but l could not love again, he is the only one for me Jolene.

Dolly Parton aliimba.

There should be another for Daniel.
 
There should be another for Daniel.
Usher Raymond alijisemeaga SAME GIRL!
Michael Jaskon(ahahhahahha hii sijawahi kutaka iwe tofauti na ninavyoitamka)alijibizana na nani yuleeee
THE GIRL IS MINE!
hata wacko jacko na umayai wake wote ule lakini ALIKOMAA!
sasa huyu anatuletea habari za Dolly Parton na Esther Wassira aliyetoa swahili version ya same wimbo akauita "Sheila"
mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu!
MWANAUME AKIWA MWANAUME is a real THIIIIING! aseee
 
pole sana,

Naamini kabisa hajakuzidi ustaarabu na utu, ndio maana umeweka ujumbe kwake

wasiwasi wangu sijui huyo Daniel ndio kama Yahaya, au ni daniel wa kweli, na kama ni wa kweli... je yupo JF?

Kamanda, sio kila mwenye wajihi, pesa nk.

You may have a magic pill, and you dont know it

You need to man up a little
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…