Kumbe demu mi nilifikiri ni mke wako wa ndoa!
dem si ndo mwanzo wa mke wa ndoa......huyo daniel amuache dem wa mwenzake atafute wake maugomvi ya nini?Kumbe demu mi nilifikiri ni mke wako wa ndoa!
i know una uwezo wa kifedha, u are good physically,i can not compete with u for that, na una kila sifa za kupendwa na mwanamke yeyote, na najua una uwezo wa kumchukua demu wangu hilo sipingi , but please she means everything to me, najua kuna wasichana wengi but my heart umekwama kwake,sina jeuri yeyote ya kupambana na wewe daniel, nakuomba tu uniachie demu wangu, najua umenizidi kwa vyote but please...
I swear nitacheka mpaka kesho. Teh teh teh. Dude what the hell? Don't you have it in you to fight for your woman? Nyani Ngabu come this way please.What's your say on this?