please daniel...

wajojo

Senior Member
Apr 29, 2013
155
83
I know una uwezo wa kifedha, u are good physically,I can not compete with u for that, na una kila sifa za kupendwa na mwanamke yeyote, na najua una uwezo wa kumchukua demu wangu hilo sipingi , but please she means everything to me, najua kuna wasichana wengi but my heart umekwama kwake,sina jeuri yeyote ya kupambana na wewe daniel, nakuomba tu uniachie demu wangu, najua umenizidi kwa vyote but please...
 
Daah jamani msitumie fedha na elimu yenu na vyeo vyenu kutuchapia wanyonge mpaka kwenye love mnatuchawia jamn...
 
I swear nitacheka mpaka kesho. Teh teh teh. Dude what the hell? Don't you have it in you to fight for your woman? Nyani Ngabu come this way please.What's your say on this?
 
Last edited by a moderator:
Hivi sifa za mwanamke kwako ni zipi? If she cant be with you nadhani ndo atakuwa amejiondoa mwenyewe.kumbe!!!.
Katika mapenzi inapendeza mkiwa na ngazi sawa ya upendo. Lakini hii ya kwako unapenda huku jamaa anaendelea kwenye ulimwengu huu wa magonjwa.!!!
Wake uo you fool. Usijidanganye. Hakuna kushare na ukiona kushare kupo basi kazi yako hairidhishi.haithaminiwi.ni nbovu.
Sasa kwanini uendelee. Tafuta anayekujali.
 
ukienda kukoja na ukaona unakojolea viatu ni dalili mbaya, sana huwezi kuepuka kumegewa.
 
Linalia lia tu kibwege hapa. Huyo demu wako kanifata mwenyewe. Alafu hakutaki ujue!! Bora unajua nakuzidi kwa kila kitu, so why waste ur time crying for her? Bwegebwege sana wee dogo!!
 
Tatizo lako ni kutojiamini.SIDHANI KAMA KUNA MWANAMKE ANA HITAJI MWANAUME WA KULIALIA NAMNA HII.

PENGINE KAKUACHA SABABU YA KUTOJIAMINI.
BADILI MTAZAMO,MAMBO YA KULIALIA HIVI SI MAZURI.
i know una uwezo wa kifedha, u are good physically,i can not compete with u for that, na una kila sifa za kupendwa na mwanamke yeyote, na najua una uwezo wa kumchukua demu wangu hilo sipingi , but please she means everything to me, najua kuna wasichana wengi but my heart umekwama kwake,sina jeuri yeyote ya kupambana na wewe daniel, nakuomba tu uniachie demu wangu, najua umenizidi kwa vyote but please...
 
HAKYAMAMA HATA KAMA HUYO DANIEL ASINGEKUWA NA HELA,SURA NZURI,SIJUI AKO VIZURI PHYSICALLY walahi mwanaume wa aina hiii!
PTUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU sitaki hata bure!
WE Vipppppppppp?
DAADEKI ZAKO!
unalia lia hapa unafkiri mwanamke anataka kuliliwa!
SIMAMA KIUME WEWE!
MWANAUME MWENZIO MWENYE KENGELE KAMA WEWE UNADIRIKIJE KUMWAMBIA PLEASE?UNAMLILI AKUACHIE MWANAMKE!
walahi kama species yenyewe ya wanaume ndo imekuwa hii kipindi hiki bora niendelee kuwa na kina latifa tu!
naweza nkafa walahi nikutana na mtoto wangu wa kiume anaandika makitu ya aina hii!
:frusty:
 
I swear nitacheka mpaka kesho. Teh teh teh. Dude what the hell? Don't you have it in you to fight for your woman? Nyani Ngabu come this way please.What's your say on this?

First, this dude is a wimp.

Second, he is an embarrassment to all manly men all around the world.

Third, he is the epitome of a girly man.

And for that, he gets his man card stripped, then he needs to get his ass whupped and sent to a boot camp somewhere.

Hopefully that will toughen him up a bit.
 
Back
Top Bottom