(Abnormal Feelings Problem) Nisaidieni kunishauri kuhusu hili linantesa

Status
Not open for further replies.

Jackyme

Member
Sep 16, 2023
62
29
JF members habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote mko salama.

Dah guys i need advice katika jambo lenye limekua linanipa stress na mawazo na sijui nitafix vipi niwe normal cas nishajitahidi sana ila narudi nyuma.

Nilisoma thread moja hapa i think iliandikwa na somebody Bharka if nakumbuka vyema, na alivyo andika hadi nkaogopa nikasema au mtu ananifahamu ameamua kuniandikia JF akijifanya ni mtu mwingine ok tupotezee hiyo.

Ndugu mimi kama mwana JF mwenzenu, mdogo wenu, mtoto wenu, ndugu yenu nna changamoto moja, ambayo hata JF naogopa kuiandika, Sjawahi kupenda mschana, ndio nnademu wa kuzugia kama huyo bharka sjui, ila kiukweli najihusisha kwa siri sana na mapenzi ya jinsia moja(gays), whats wrong with me? Nimelelewa familia nzuri as normal, nmesoma private schools nzuri tu za bei ghali , nmesoma degree yangu university of Nairobi tena course ngumu ina ma physics issues, nimeshi ulaya kiasi, nilipata job nzuri and everything is ok, but why navutiwa sana na handsome mens than beautiful ladies? why?

Je, wazazi wangu wamenizembea? ni uzembe wangu mwenyewe maybe hisia nazilazimisha? but why ma manzi hawanvutii but handsome mens wananivutia sana? au kuangalia porn tangu mdogo kuliniharibu? cas dah nahisi porn ziliniharibu psychology hadi one day nilipoona ya gays ikanivutia zaidi?

Ndugu kama una watoto wadogo hebu wakatazeni kutumia tumia cm zenye internet, au laptops ets zinaharibu watoto, i think hata me ndio ziliharibu mindset yangu, imagine nmekua nachezea na laptop na internets, smartphones etc, wawekeeni mipaka ya baadhi ya vitu ni muhimu sana, hata i hate kuzaliwa family yenye uwezo, imeniharibu

Sasa nahitaji msaada wenu, im very serious katika hili, rafki zangu wanaoa, wengine wana watoto wazuri tu, na very serious relationships why not me? why sivutiwi na women? i hate this feelings, msaada wenu please najiskia vibaya,wazazi hawajui na kila cku wamauliza taoa lini nazuga tu, naondoaje hii hali, please help me guys nashindwa na nishafika 27 old now, nipeni ushauri wenu tafanya na kufata kila ushauri , nishauri nifanye nini niache, nisaidieni please, sitaku haya na feelings, ni ushetani.

Natanguliza shukrani.
 
Sijakusikia Vizuri una sema nn...sketi haina marinda😳
Screenshot_20230903-131642~2.jpg
 
Kama wewe ni me kazania ume wako oa zaa vikishindikana walau Uwe uliacha mbegu...hujatuambia wewe unapanda au unapandwa....GIA inafanya kazi ama umekufa?
 
Kama wewe ni me kazania ume wako oa zaa vikishindikana walau Uwe uliacha mbegu...hujatuambia wewe unapanda au unapandwa....GIA inafanya kazi ama umekufa?
Asante mkuu, kweli nioe hata kwa lazima maybe wife atanifanya niwe perfect again, mimi dio nafnywa
 
Ushauri.. kaa na WANAUME muda mwingi itakupa confidence na itakuondolea hali ya Matamanio.. ila ukijitenga itakuletea shida zaidi
Yeah ni kweli mkuu, japo washkaji nko nao fresh tu na hata hawajui hii issue kua nnayo, na nikiwa open huezi hata hisi cas hata madem wananipenda ile mbaya niwe boyfriend wao but sina feelings at all
 
Ni vizuri kujua kama kibiologia upo vizuri, namasnisha urijali wako je upo vizuri ? Kwani wakati mwingine tatizo hili ni la kisaikolojia tu, wakati mwingine linatokana na maumbile ya kibiologia. Na je wewe huwa upande wa me au ke katika hayo mahusiano?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom