Ilipoishia...
...'NENDENI TU KWANI TINA MWENYEWE
ANAYEPELEKEWA HELA NI MIMI..'
Nikaizima simu kisha nikabadilisha
nguo zangu nakujitupa kitandani huku
nikiutafuta usingizi..
'
endelea...
Nilipokuja kushtuka tayari ilikuwa imetimia saa sita
za mchana.
Nilikuwa peke yangu kitandani huku nikiwa
sijielewi elewi na uchovu niliokuwa nao toka usiku
kutwa nilivyokuwa na Biggy.
Niliiwasha simu yangu nakukutana na meseji mfululizo zote zikiwa zinatokea kwa Biggy..
Nilichokifanya nikumpigia simu bila aibu yeyote
Tina mimi.
"..hellow Biggy wangu..!"
"...Gizzle..?"
"..Eeh Gizzle? umekosea bwana! au Jerry hajakwambia kuwa naitwa Tina?"
"..hivi unajua kuwa nipo msibani enh? na
ulichonifanyia asubuh nakipenda sana tena sana,
sasa basi kuanzia sasa ama zangu ama zako..?"
"..Biggy Bwana Yesu hapendi hivyo..?"
"...kumbe ndio makucha unavyoyaficha enh? eti mlokole..? weewe? wewe? yani ole wako..?"
Niliona kama ananizingua tu hivyo nikamkatia simu
huku nikiinuka pale kitandani nakuchukuwa
kitenge changu mpaka bafuni kwenda kuoga.
Ndani ya nusu saa nilikuwa nimependeza haswa
sio tena Tina yule unayemjua wewe kwani nilivalia kipedo changu cheusi huku juu nikivaa kiblauzi
kifupi kilichoachia matiti yangu wazi kidoogo..
Nikaingia kantini kupata chakula kisha nikatoka
nje kabisa ya geti kwa lengo la kwenda kwa
shangazi yangu Ubungo.
pesa ile alioniachia nayo Biggy nilikuwanayo hivyo nilikodi teksi kutokea hapa Cbe mpaka ubungo.
Nikiwa njiani ndani ya teksi tena nikiwa nimekaa
siti ya mbele mara simu yangu ikaingia meseji,
haraka haraka nikaichukuwa nakuiangalia
kwanza namba lakini sikuweza kumfahamu ni nani
hivyo nikaifungua nakuisoma.. "...UNA CHAKUJITETEA..? GEUKA NYUMA YAKO..?"
Sikutaka kabisa kuamini macho yangu ila ni kweli
alikuwa Jerry peke yake kakaa siti ya nyuma,
"...Nisamehe Jerry..!"
"..what? eti nisamehe Jerry? we si unajifanya mtoto
wa town siyo..? sasa mimi ni zaidi yako? dereva? embu ongeza spidi mpaka Sinza.."
Mwili ulianza kunitetemeka huku nikiamini kwa
asilimia zote dereva anajua na ndio aliopanga dili la
kukamatwa kwangu..
Mwili ulinilegea huku nikiona kama ndoto tena
inafanana na ile niliyoiota kipindi kile mpaka eti nikashonwa kinanii changu.
Nikiwa bado kwenye dimbwi la mawazo mara Jerry
akatoa simu yake nakupiga..
"..yap Bro, tayari nimeshampata yule dada wa
asubuhi? nimehakikisha nafanya kila njia na
nampata na tayari yupo mikononi mwangu.." Tina mie nilijihisi kama kojo linatiririka kwenye
kipedo changu huku jasho likianza kutanda
kuzunguka matiti yangu, ilinibidi kubadilisha sura
na sauti huku nikijifanya mtakatifu..
"..jerry, nawaombeni mnisamehe, kama hela zenu
hizi hapa..?" Nilishangaa napokea bonge la kofi kutoka kwa
Jerry..
"..aliokwambia tuna dhiki kama hizo nani? na leo
utajuta kuzaliwa..?"
Ilituchukuwa kama nusu saa mpaka kufika Sinza,
muda wote yule dereva taksi alikuwa kimya tu, tulifika mpaka pale nyumbani kwa Biggy kisha
akanifungia nakutoka nje na yule dereva.
Nikiwa bado nashangaa pale sebuleni kwa Biggy
mara Jerry akaingia tena na kijana ambaye hata
simjui..
"..haya Vonso, kidemu chenyewe hiki hapa..? narudi baada ya dakika kumi na tano, ngoja
niende msibani mara moja, hakikisha hapigi kelele,
akikusumbua, funga domo lake libake ndio dawa
yake hilo.."
Bado nilikuwa sijielewi elewi huku mdomo wangu
ukinitetemeka na meno kuumana.. Jerry alitoka zake nakuniacha ndani na yule Vonso
huku tayari nikiwa nimefungwa kamba mikononi...
Mwili wangu ulikuwa bado ukinitetemeka kila
nilipokuwa namuangalia huyu Vonso.
Kwanza kwa jinsi limwili lake lilivyokuwa kubwa,
pili macho yake na weusi wake ndivyo viliniogopesha Tina mie.
Nilitamani japo nimuongeleshe, lakini kuvimba
kwake mdomo Vonso kulinifanya niwe mdogo
tena kama kifaranga cha kuku kilichonyeshewa
maji ya baridi.
Kamba nilizokuwa nimefungwa zilinifanya nisiweze kuwa na ujanja wowote, ila nilichokifanya
niliinamisha kichwa chini kisha,
"..eeh Mwenyezi Mungu uliye juu, weza kuniokoa
na kunisimamia katika haya yote, Mungu Baba.
Baba mtakat..."
Nikiwa katika kujisalia mwenyewe kabla sijamaliza nilishangaa kuvutwa nywele zangu na Vonso,
"..nyamaza hukoo..?"
Vonso alinifokea huku akinitolea macho ya ukali.
Nilikaa kimya kama dakika kumi nzima huku
nikifikiria kwanza nitajiteteaje pindi wakirudi Jerry
na Biggy kutoka msibani? pili nitamtokaje hapa huyu Vonso kwani u siriazi wake tayari
umeshaniogopesha sana.
Nilitamani japo nimvulie blauzi niliyoivaa japo
niweze kumlaghai lakini sikuweza kutokana
nakufungwa kamba mikononi,
mara wazo likanijia.. "...Vonso..? Vonso..?"
Nilimwita kwa sauti ya chini na ya kubembeleza.
"..unasemaje..?"
"..mkojo umenibana..!"
"..umekubana..? jikojolee.."
Hakutaka kunielewa kabisa, alinijaza hasira nikataka kumtemea mate usoni mwake lakini
ikanibidi kuwa mpole nakuishia kumuangalia tu.
Ni masaa kama mawili yameshapita tangu Jerry
aondoke nakuniacha na Vonso, nilikuwa
nimeshachoka kwa kufungwa kamba pili kukaa
sehemu hiyn hiyo kwa muda mrefu. Vonso naye alikuwa katulia mbele yangu huku
akichezea simu.
Safari hii nilijikaza Tina mie nakumuita tena.
"..Vonso..? Vonso..?"
"..enh shida yako..?"
"..pliiz nakuomba, uje uchukuwe simu yangu hii hapa.."
Nilimdanganya kuwa simu nimeiweka kwenye
matiti lakini haikuwa hivyo kwani simu ilikuwa
kwenye kipedo changu.
Vonso alinisogelea mpaka karibu huku kaikunja
sura yake. "..iko wapi..?"
Vonso aliuliza kwa ukali.
"..ipo huku, ingiza tu mkono kwani niliiweka ndani
ya matiti yangu na hapa mmnifunga kamba siwezi
kuitoa.."
"..iko wapi?" "..kwenye matiti yangu, we ingiza tu mkono uitoe.."
Vonso hakujiamini amini, akachukuwa mkono
wake nakuanza kuingiza taratibu huku
akiyapapasa matiti yangu kwa lengo lakuitafuta
simu yangu.
"..mbona haionekani.." "..Vonso, we tafuta tu, nimeiweka chini chini ya
matiti yangu.."
Ukumbwa wa matiti yangu ukichangia na kiblauzi
cha kubana nilichokivaa vilimchanganya sana
Vonso, huku akiangaika.
Kama kawaida Tina mie nilitumia mwanya huo huo kujilegeza huku nikitoa sauti ya mahaba na
kujinyonga nyonga kiuno changu mithili ya yule
mwanamuziki 'Shakira'..
Vonso alitafuta bila mafanikio huku akiutoa mkono
wake..
"..hakuna, unanidanganya sio? enh?" Vonso alinibadilikia baada ya kuingiza mkono
wake nakuambulia patupu.
"..ipo Vonso, embu kama huamini, nakuruhusu
nifungue vifungo vyote uone."
Vonso akanifungua vifungo vyote vya blauzi huku
akiniacha na sidiria tu iliyobebelea matiti yangu mithili ya matikiti..
"..haya malizia sasa na sidiria uitoe hiyo simu.."
Tayari Vonso alikuwa kaama kiakili, kwani
aliponivua tu sidiria, matiti yangu yote yakajiachia
nakumchanganya kiakili Vonso, kwa jinsi
yavyokuwa makubwa na meupe vilimfanya hata lile wazo lakuitafuta simu limpotee huku akiyatolea
macho nakuyashika shika kisha..
"...mh, mh haya yote ni yako..?"
Vonso alibaki nakigugumizi asijielewe..
"..hapo tu unashangaa Vonso..? haya ebu nifungue
kamba nikuoneshe mwili wangu wote.." "..kukufungua kamba..? aha ha ha ha, hilo siwezi
kufanya.."
Vonso alikuwa njia panda huku akisita sita,
"..we nifungue tu jamani Vonso, halafu unanifanya
utakavyo mpaka uridhike.."
Kusema hivyo tu, kulimfanya Vonso kuwa na midadi ya ajabu nakujikuta akinifungua kamba
haraka haraka huku akinivua kile kipedo changu
nakubakiwa na bikini tu..
"..Vonso..? malizia tu kunivua bikini..?"
Alinimalizia kunivua kila kitu kisha nikamvua tisheti
yake nakumalizia jinsi lake. Kitendo cha kujiweka tayari kwa kusex, mara
tukasikia mlio wa honi ya gari ikiashiria inaingia
ndani, nguvu ziliniisha ghafla,kwani lengo langu
nikumlaghai Vonso na kumtoroka..
"..ahaa mabosi wengine bwana..?"
Vonso alisema kwa sauti ya kukereka huku akivaa nguo zake haraka haraka,
"..unashangaa nini..? we hujasikia mlio wa gari?
embu vaa vibikini vyako..?"
Vonso alikuwa kaikunja sura yake huku akijutia
kitendo cha kuniacha Tina mie.
Alinifunga kamba nakunirudishia kama nilivyokuwa mwanzo kisha Vonso akaufungua
mlango ule wa nje.
"..anhaa, vipi hajakutoroka enh?"
Jerry alimuuliza Vonso huku akiingia mpaka ndani
na Biggy.
Nje giza lilikuwa limeshaingia. "..Huyu anabahati sana tupo kwenye matatizo,
'anyway' Vonso embu tumpeleke kwenye gari
nje.."
Aliongea Jerry kwa sauti ya hasira huku Vonso
akininyanyua nakunipeleka mpaka nje kabisa
kwenye gari lao.. Muda wote Biggy hakuwa na lolote la kuongea
zaidi yakuniangalia mara mbili mbili..
"..Bro..? nimepata wazo..? kwa usiku huu
nimeshajua cha kumfanya.."
Jerry alikuwa akiongea na Biggy huku wote
tukiwa ndani ya gari. Gari iliwasha huku wote tukiwa ndani ya gari, mimi
Vonso na Biggy na dereva alikuwa Jerry, njia yote
nilikuwa sina raha huku nikitetemeka nisijue
napelekwa wapi na nitafanyajwe...?
Kila mmoja wetu alikuwa kimya nakunifanya
niingiwe na woga zaidi Tina mie, niliamini watakuwa walishapanga kitu cha kunifanyia.
"..lakini mimi ndio Tina bwana, Tena Tina zoa zoa,
hapa nawageuka tu.."
Nilijipa moyo huku nikimuangalia pembeni yangu
Vonso na kwa siti ya mbele alikuwa amekaa Biggy
huku akituendesha Jerry. Tulikuwa maeneo ya magomeni tena kwenye
foleni pale usalama, akili ilikuwa bado inanichemka
huku nisielewe hatma yangu niendako, wazo
likanijia huenda wananirudisha hostel pale Cbe
wakaniaibishe.
"..hapa hadharirishwi mtu.." Kwa hasira niliokuwa nayo nilijkuta naropoka kwa
sauti ya juu na ya ukali huku macho nimeyakaza.
Wote waliniangalia nakunishangaa kwa
nilichoropoka.
"..unasemaje..? hudharirishwi enh?"
Aliongea Jerry kwa kunikaripia kisha akaongeza spidi, ilinibidi niwe mpole nijue mwisho wangu.
Ndani ya dakika kumi tulikuwa tupo maeneo ya
akiba karibia kabisa na chuo cha biashara 'Cbe',
mapigo yangu ya moyo yalizidi kwenda kasi tena
kasi ya ajabu, nilitamani labda iwe ndoto lakini
ilikuwa ni kweli kabisa, kitendo cha Jerry kupunguza mwendo kisha akamuangalia Biggy
kama ishara ya kuafikiana kitu ndicho
kilichonitetemesha sana.
Akili yangu niliiamishia haswa kwa wavulana na
wasichana wanaonijua hapa chuo.
Nikiwa bado kwenye dimbwi la mawazo Tina mie mara nikashangaa Jerry ameongeza mwendo
kisha tukapapita pale chuo nakuitafuta ile bararaba
iendayo 'Ocean road'.
Baridi kali iliyoambatana na upepo huku harufu ile
ya baharini ndio iliyonipa akili kuwa tupo maeneo
ya ufukweni, kwani Jerry alisimamisha gari kisha akashuka yeye na Biggy wakaniacha ndani ya gari
mimi na Vonso.
"...au wanataka kunirushia baharini niliwe na
samaki?"
Ni kati ya maswali niliokuwa najiuliza bila kuyapatia
majibu huku nikiyaangalia maji yale ya baharini kupitia dirishani.
Nikiwa ndani ya gari na Vonso huku mwili wangu
ukiwa umeshakata tamaa kabisa mara.
"..Vonso?"
Jerry alifungua mlango nakumuita Vonso kisha,
"..hakikisha unamvua nguo zake zote mpaka chupi unaziacha humo humo ndani ya gari kisha
unamtoa uchi kama alivyozaliwa huyo
mpumbavu.."
Jerry alimwambia Vonso kwa sauti ya ukali na
hasira.
Nilitia huruma Tina mie hata na Vonso sura yake dhahiri haikuafikiana na suala la mimi kuvuliwa
nguo lakini kwakuwa wameongea mabosi zake
hakuwa na jinsi zaidi ya kunivua.
Nilishindwa hata kugoma kwani niliamini
nitasababisha wanigeuzie adhabu japo sikufahamu
adhabu wanayoenda kunipa. Ndani ya muda mchache Tina mie nilikuwa uchi wa
mnyama huku Vonso akinifungulia mlango na
kutoka mpaka nje.
"..gud? unapendeza sasa?"
Aliongea Jerry kwa sauti ya kukejeli huku
akifurahia yeye na Biggy wake kisha, "..Kesho tunamzika kaka yetu 'Baba Latifah na yote
umesababisha wewe, si ndio?"
Biggy aliongea kwa sauti ya kupanda na kushuka.
Sikuwajibu zaidi ya kukaa kimya huku matiti yangu
yakipigwa ubaridi nakufanya niendelee
kutetemeka. "...hiyo bahari unayoiona hapo mbele ni yako
kuanzia sasa, unachotakiwa kukifanya, hivyo
hivyo na uchi wako malaya wewe, tembea mpaka
tuhakikishe hatuoni kichwa kisha baada ya nusu
saa hatuondoki ukitoka tunakubadilishia adhabu"
Aliongea Jerry kwa kunikaripia huku Tina mie nikijikaza, sikuwahi kuogelea maji ya baharini hata
siku moja lakini sikuwa na jinsi kwa wanaume
hawa ilinibidi nianze kutembea huku nikifuata kina
cha maji,
"...leo kwangu kesho kwao"
Nilijisemea kimoyo moyo huku maji yakinifikia mpaka kiunoni na nikitetetemeka kwa baridi kali la
ndani ya maji.
"..endelea? endelea tukikufuata tunakuchinja.."
Aliongea Jerry kwa sauti ya ukali.
Kwa muda huu maji yalianza kunifikia mabegani,
nilitetemeka sana niligeuka nyuma kuwaangalia lakini kwa mbaali nikawaona wanageuza gari lao
kwa kuondoka.
Nilitulia ndani ya maji kwa muda mpaka nikawaona
wamepotelea.
"..walijua nitadharirika na kufa enh?"
Nilijisemea mwenyewe huku nikigeuza nakurudi taratibu, sikuogopa kwa kuwa uchi nilichothamini
kwanza ni uhai wangu ndio baadaye niuthamini
uchi wangu.
Ndani ya dakika chache nilikuwa nimeshatoka
baharini, mwili wote ulikuwa ukinitetetema mpaka
meno yote yalikuwa yana ganzi kwa jinsi mdomo ulivyokuwa unanitetemeka.
Nilipotoka kwenye yale maji nilikaa kwanza
ufukweni huku nikijifikiria nitatumia njia gani
mpaka kufika hosteli kwetu pale chuoni Cbe.
Nikiwa bado najiuliza mara mwanga mkali wa gari
ukanimulika nyuma yangu huku ukiambatana na mlio mkali wa honi..
"..umetoka? hujafa enh..?" ******* ** Je, unavyodhani ni Tina atatoka salama hapo? ** Njia zipi atazitumia kuhakikisha yupo salama? ** Kisasi chake kitakuwaje?