Play Gal ( Tina zoa zoa)

Play Gal ( Tina zoa zoa)

Ilipoishia..
...Yule mlinzi akaushikilia ufunguo
wake wa getini vizuri huku
anamuita bosi wake Jerry kwa
sauti akienda mpaka mlangoni
nakutaka kuingia...
'
Endelea...
Yule mlinzi alifungua ule mlango nakuingia mpaka
ndani..
"..Aisha huyu mlinzi naona hatujui vizuri enh.."
Nilimwambia Aisha huku kila mmoja akipandisha
nguo yake vizuri tayari kwa nakuruka ukuta japo
haukuwa mrefu sana.. Ndani ya muda mchache kila tulikuwa nje ya geti
huku tukifurahia kitendo tulichomfanyia Jerry.
"..sasa shosti tukafanye shangwe wapi..?"
"..hilo tu wala usihofu, we twende pale 'nyumbani
lounge' tukaburudike na mdada Jide kisha turudi
zetu hostel.. *** Ilituchukuwa mwendo wa kama nusu saa kwa
mwendo wa bajaj huku tukifurahia kwa
mbwembwe zote..
Ilipotimia mida ya saa 8 usiku Aisha alikuwa
kalewa sana ila kwa upande wangu nilikuwa bado
niko freshi, hivyo tukatoka nje nakukodi tena bajaj mpaka chuoni kwetu Cbe zilipo hostel.
Ndani ya dakika chache tayari tulikuwepo hostel,
nilimkokota Aisha wangu mpaka bwenini,
tukajipumzisha japokuwa akili yangu ilikuwa haipo
pale kabisa, kila muda nilitamani japo nipige simu
ya Jerry nijue kama tumempa ulemavu wa maisha au limekufa kabisa..
"..naombea nisikie limekufa hata sasa hivi.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikiuweka mto
vizuri tayari kwa kulala..
Kesho yake asubuhi na mapema ambapo Aisha
alikuwa bado na uchovu kalala fofofo, nilichukuwa simu yangu nakutuma meseji ya kiuchokozi kwa
Jerry huku nikiamini kwa asilimia zote itajibiwa tu,
niliandika hivi..
'..Mambo Jerry, miss u..!'
Kweli haikupita muda nikapigiwa simu..
"..hallow.." "..sorry, naongea na Jerry..?"
Sauti niliosikia ni tofauti na ile ya Jerry..
"...Jerry yupo hapa Ocean road kalazwa yupo hoi
toka usiku wa leo kwani we nani mwenzangu.."
Nikajichekea kimya kimya na kwa dharau huku
nikiendelea kumdadisi yule mtu.. "..jamani mpe pole sana sana, mchana wa leo
nitakuja kumuangalia, mie ni rafiki yake naitwa
Tina.."
Nilipomaliza tu kuongea na simu, nilishikwa na
furaha ya ajabu huku mwili ukinisisimka nakuamini
alichonifanyia mara ya mwisho kwake tayari nimeshalipizia..
Ilipofika mida ya saa 5 tano tano, Aisha naye
alikuwa ameshahamka hivyo nikamwelezea kila
kitu, nakumwambia yeye abaki mie nitaenda huko
hospital kuhakikisha..,
Kwakujifanya na mie nilikuwa nampenda Jerry nikanunua Juici kubwa ya box na matunda
matunda mchanganyiko, kama kawaida kichwani
nikajifuka kwa mtandio huku chini nikiwa na gauni
refu lenye heshima, nikiwa ndio nakaribia tu
hospitali ya 'Ocean road' nikanyanyua simu
nakupigia tena ile namba ya Jerry.. "..samahani, unaweza kunielekeza wodi
aliyolazwa..?"
"..njoo huku 'block C' wodi namba 4 single.."
Nilifuata maelekezo mpaka hapo, na nilipoingia
nilikutana na wasichana wengi kama 10 na, huku
wakiwa wameleta vyakula mbalimbali, wanaume walikuwa wawili tu huku baadhi ya wasichana
wakishindwa kujizuia nakulia kwa sauti ya juu..
Jerry bado alikuwa usingizini hivyo nilishindwa
kumuona akiongea..
Yule niliyekuwa naongea naye kupitia simu ya
Jerry ni ndugu yake kabisa na Jerry, nilipofika yeye ndiye alikuwa karibu yangu sana nakunipa
maendeleo ya Jerry alivyoambiwa na dokta..
Nikuwa itamchukuwa muda mrefu kupona haswa
lile eneo la juu ya nanii yake..
Matamanio mengine yakanianza hapo..
"..duh, Kumbe ndugu zake Jerry wazuri, dah ila sidhani kama atakuwa na tabia kama za Jerry.."
Niliusemea moyo huku nikimpa vile vitu nilivyoleta.
Kama kawaida Tina mie nikishaonaga wanaume
weupe tu akili yote inahama nakuanza matamanio..
Nilijikaza Tina mie nakumuongelesha yule mkaka..
"...samahani naweza kukwambia kitu, mie nataka kuondoka.."
"..bila samahani wala usihofu.."
Alinifuata nikamtoa mpaka nje nakuanza maongezi
naye..
"..najua utashtuka kukuita huku lakini nachoweza
kukwambia ni kwamba..." Kabla sijamalizia kuongea, yule kaka akapigiwa
simu akapokea, alivyomaliza tu kuongea na simu
akanyong'onyea ghafla..
"...Ohh my God..!! Jerry hatunaye tena... Nikabaki na mshangao huku siamini amini,
tukajikuta wote tunakimbia mpaka wodini
kuhakikisha kama kweli Jerry kafa..
Tulipofika tu wodini wasichana walikuwa bado
wamemzunguka Jerry huku wakimlilia zaidi,
"..itakuwa kafa kweli nini..?" Niliusemea moyo huku nikijipenyeza katikati ya
wale wasichana.
Tabasamu kubwa alilokuwa analitoa ndicho kitu
kilichowatoa zaidi machozi wakinadada waliokuwa
wanamlilia, Jerry alikuwa hajafa japokuwa alikuwa
hawezi kuongea lakini macho yake yaliweza kuangaza huku na kule..
Bado swali moja lilinisumbua kichwa, ninani
aliyemwambia ndugu yake Jerry kwenye simu
kama Jerry kafa..?
Nilimshika tena mkono kwa mara ya pili yule
ndugu yake na Jerry mpaka nje.. "..embu niambie vizuri nani aliyekwambia Jerry
amekufa..?"
"..anhaa, ile simu nilipigiwa na mjomba na nikweli
Jerry amefariki.."
"..Jerry..? Jerry gani sasa..?"
"..Huyo mjomba wetu naye anamtoto anaitwa Jerry ujue jina la Jerry ni la marehemu babu yetu, sasa
huyo mtoto wake mjomba alizaliwa akiwa na moyo
mkubwa, na aliugua sana, ndio hivyo tena kazi ya
mungu haina makosa.."
"..dah, poleni sana.."
Nilisisimka kana kwamba na mie ni ndugu wao tena ukarimu niliomuoneshea huyu kaka..
"..kwa hapa Dar unakaa wapi..?"
"..mh, nakaa kinondoni pale 'mkwajuni.."
Alinijibu huku akinionesha tabasamu nakunifanya
nisisimke tena huku nikiuangalia 'lips' zake mara
mbili mbili jinsi zilivyokuwa pana.. "..hata kama wanamatatizo, sijui wamefiwa, sijui
wanauguza, mie hilo wala silitambui, huyu
Kaka kweli simuachi.."
Niliusemea moyo huku nikimrembulia macho
nakuvilazimisha vidimpozi vyangu feki..
"..ok, lakini unaonekana kama umeoa enh.." "..we bado umri haujafika, ndio kwanza nipo
mwaka wa kwanza pale Ifm.."
"..sasa hapo kinondoni unaishi na nani..?"
"..pale nimeamua kupanga tu kachumba kamoja,
sipendi kukaa hostel.. Wewe unakaa wapi..?"
Kabla sijamjibu dokta akaja maeneo yale tulipokuwa naye nakuongozana naye mpaka
ofisini..
Nilirudi kumuangalia Jerry kinafiki kujua anahali
gani..
Kwa kipindi hiki alikuwa kafunga macho kuonesha
kuwa anausingizi sana, nilitamani nichukuwe sindano pale pembeni yangu nakumchoma tena
nanilii yake..
Kitendo alichonifanyia Jerry cha kuniingilia
kinyume na maumbile ndicho kilichoniuma sana
nakumchukia Jerry kila nilipokuwa namuangalia
pale kitandani.. "..na kama amenipa ukimwi, naurudisha tena
kwenye ukoo wao, nitahakikisha natembea na
ndugu zake mpaka nawamaliza.."
Hasira kali nilizokuw nazo ilinibidi kuzipunguza
kwa kutoka nje kabisa huku nikimsubiria John
'ndugu yake Jerry' atoke huko ofisini kwa dokta.. Haikumchukuwa muda sana nikamuona John
ametoka huku akionekana mwenyehuzuni sana..
"..enhe vipi dokta kakwambiaje..?"
Nilimuuliza kwa shauku ya hali ya juu..
"...Dah, 'bro' maendeleo yake yanatia huruma, na
nikija kumjua aliyemfanyia hivyo, atanijua kama mimi natokea Pemba ama Unguja.."
"..ok, niambie basi kitu gani umeambiwa na
dokta..?"
"..ni kwamba bro Jerry anapata shida sana
kukojoa, hivyo watamfanyia upasuaji mdogo ili
kupata njia nyingine yakutolea mkojo. Na vile vile kunamshipa ambao unatumika kupitishia
'sperm' (manii/shahawa) nao ulichanjwa ukawa
wazi hivyo anaweza akakosa uwezo wa kuzalisha
tena maishani mwake.."
Pale pale nikajifanya kama muvi za kibongo
nikaanza kutoa machozi yakinafiki huku nikilazimisha kukohoa na makamasi kuyavuta
yalioambatana na chafya bandia..
Alinibembeleza sana, lakini ni kama alinizidishia
sauti, kwani nilizidisha sauti kana kwamba
nimefiwa.
Umati wa wauguzi pamoja na wapita njia ndio walionisaidia kuninyanyua pale chini nilipokuwa
natapatapa huku nikilitaja jina la Jerry mara nyingi
nyingi.
John alinibeba akisaidiana na wapita njia mpaka
kwenye gari ya Jerry kisha,
"..unaishi wapi nikupeleke..?" Aliuliza John kwa hasira, kwani nilivyolia kwa sauti
kulimkera sana, kumbe mie nilikuwa na mtego
wangu.. Nikashusha pumzi huku nikijifuta machozi
feki nakumuangalia John..
"..nipeleke kwako kwanza
nikabadilishe nguo yangu ya ndani imechafuka sana, niko katika mwezi.."
Nilimdanganya ili iwe rahisi kuwa naye lakini
alionesha kama kushtuka kitu,
"..lakini mbona hapa kuna vyoo na unaweza
kubadilisha tu.."
"..kama hutaki nishushe, kwani hapa kuna mabafu? Nataka nioge kabisa.."
"..ok, mie niko tayari kukupeleka hadi kwako hata
kama ni mbali..
"..naishi hostel, na leo Jumapili wanaume kibao
bwenini.."
Hadi mwenyewe akakubali nakuliwasha gari nakuelekea kwake, furaha ya ajabu iliyoamsha
mshawasha wangu huku nikijiamini kwa asilimia
zote huko tuendako lazima anifanye tu..
Ile tunafika njia panda ya kuelekea kinondoni,
John akapigiwa simu lakini hakupokea
alichoniambia nipokee halafu niweke 'laudi spika' kwakuwa yeye anendesha gari,
"..halow.."
"..vipi mpenzi wangu J uko wapi? Mi niko kwako
hapa...
Inaendelea...
 
Ilipoishia...
...John
akapigiwa simu lakini hakupokea
alichoniambia nipokee halafu
niweke 'laudi spika' kwakuwa
yeye anendesha gari,
"..halow.." "..vipi mpenzi wangu J uko wapi?
Mi niko kwako hapa... Sasa
'
endelea...

Hasira kali zialikuwa zimenishika ukichanganyia na
wivu niliokuwa nao wa ghafla, na hivi tena simu
nilikuwa nimeishikilia mwenyewe huku
nimemuwekea 'laudi spika' John aongee, nilijikuta
naikata ile simu nakumkunjia sura John huku
mdomo na sura yangu nikivikunja kisha.. "..John, embu niweke wazi..! Huyo uliokuwa
unaongea naye kwenye simu ni nani..?"
"..mh mh huyo ni dada yangu, mtoto wa Mama
yangu mkubwa, anaitwa Jescar.."
"..aaah Jescar enh, eti mtoto wa Mama mkubwa..?
Kwahiyo nyie huko Pemba mtoto wa Mama mkubwa anaweza kuwa mpenzi wako si ndio..?"
"..kwani ameniita mpenzi..?"
"..yaani mara hii unageuka nakujifanya hujui kitu
kabisaaa.."
"...wee elewa hivyo tu na uamini, kama angekuwa
ni mchumba wangu si ningeshakwambia..?" John alianza kukasirika huku akiongea kwa sauti
mule ndani ya gari nakunifanya niwe mpole kama
sijui kitu..
Ndani ya nusu saa tulikuwa tumeshafika kinondoni
mkwajuni na John alikuwa mtu wa kwanza
kushuka huku akienda upande wa pili wa mlango nakunifungulia kama vile mtoto wa malkia..
Ilitubidi tupaki gari mbali kidogo na kwake kani
msongamano wa nyumba ulivyokuwa umekaa bila
kupangiliwa ulitufanya tutembee kidogo mpaka
kwenye chumba chake,
Kulikuwa ni uswahilini haswa japokuwa tulipoingia tu ndani nilisahau kila kitu nakujiona kama vile
nyumbani kwa Jerry kuna kachumba kamoja,
"..karibu Tina na jisikie uko nyumbani.."
"..nashukuru, usijari, vipi huyo dada yako yuko
wapi sasa mbona hata hatujamkuta..?"
"...aaah yule mambo mengi, sema wewe humjui tu, atakuwa kasubiri kidogo kajiondokea zake, haya
chumbani na sebuleni kwangu ndio hapahapa,
sasa wacha mi nikupishe ubadilishe nguo ukaoge
si uliniambia kuwa una..."
Kabla hajamalizia kuongea nikamuwahi,
"..nikwambie kitu John..?" "..nimeghairi wala hata siendi kuoga, kwanza
nawaogopa majirani zako, embu ona walivyokaa
huko nje.. Ah ah mi sitaki..."
Nilimkatalia John maksudi huku akili yangu yote
nikielekezea jinsi nitakavyomtega mpaka anifanye..
"...John, embu niambie kweli mchumba wako yuko wapi..?"
"..wallah tena, bado hata sijaoa na wala sina kwa
sasa.."
"...ila kwa sasa ukipata unaoa..? Maana mie naskia
nyie wapemba mnachaguliwa mke wakuoa, na
unaoa mpemba mwenzako..?" "...mh kwa hilo sijaliwahi kulisikia hata.."
"..ok, kwahiyo hata mie unaweza kunioa.."
Nilimuhoji kimtego huku akionesha kama
kupagawa, kwani mua wote tuliokuwa tunaongea,
nilikua nikimrembulia huku nikipandisha gauni
langu juu nakuachia mapaja yote wazi, "...John, unapenda mwanamke bikra..?"
Japokuwa swali hilo wasichana wengi huwa
wanaogopa kuwauliza wanaume, kwangu Tina
mie ilikuwa tofauti kabisa, nilijivika moyo wa kijasiri
ukichanganyia na u 'play gal' niliokuwa nao ndio
usiseme kabisaa.. "..hiyo ipo wazi, kwani sisi wapemba mwanamke
utakayemtoa bikra ndio huyo huyo
utakayemuoa.."
"...hivyo tu..?"
"..yeah ndio hivyo.."
"..nikwambie kitu John.." Nikaanza kumdekea nakumlegezea jicho kana
kwamba labda ameshakuwa mume wangu wa
ndoa..
"..niambie kitu gani tena.."
"..am virginity gal..(mimi ni msichana bikra..)"
"..unasema kweli Tina..?" "..basi ni faraja kwa bro Jerry kwani atakuwa
amepata mwamamke safi aliyetulia na mwenye
kujali usichana wake.."
"..simtaki huyo kaka yako, kwanza yeye ni rafiki
yangu wakaribu kwakuwa tunafanya naye kazi
pale 'airport'.." "..unasema kweli Tina..? Dah kwa jinsi ulivyokuwa
unamlilia nakuwa karibu naye mie nikadhania
labda ni mtu wake.."
Niliona kama ananichanganya kuendelea kupiga
stori za kaka yake, nilichokifanya nilivua nguo
zangu nakubakiwa na bikini tupu huku maziwa yangu yakiwa wazi kwani tiyari nilishaivua sidiria
nakuitupia kwenye kochi..
"..haya John nipo tayari nitoe bikra sasa hivi
mwenzako natamani unitoe wewe.."
"..unasema kweli Tina..?"
"..kweli, nimeitunza sana na wala sijawahi kutembea na mwanaume yeyote maishani
mwangu.."
Kabla hata sijamalizia kumwambia, nilishangaa
John akifungua mlango nakutoka haraka haraka,
"..Tina, nipe dakika 2 narudi sasa hivi.."
Alitoka na nisijue hata anaenda wapi huku akiniacha pale chumbani kwake peke yangu,
niliichukuwa simu yake nakuanza kuitafuta ile
namba iliyopiga saa ile hadi akanidanganya ni
dada yake..
"..mshenzi mkubwa, na atakiona leo,na nalala hapa
hapa.." Nilijisemea kimoyo moyo huku nikijiongelea
mwenyewe baada ya kuigundua kuwa ile ni
namba ya rafiki yangu kabisaa Aisha sikukasirika
sana kwani tayari nilikuwa nina uhakika wa ku
sex..
Ndani ya muda mchache John alikuwa amesharudi huku mkononi kashika kondomu..
"..John, si nimeshakwambia mie bikra..? Sasa hiyo
mikondomu yako yanini sasa..? Embu tupa kulee..."
Nilichukuwa zile kondomu nakuzitupia chini, kisha
nikavuta vijimikanda vya ile bikini yangu
ikafunguka nakubakiwa uchi kabisa kama nilivzozaliwa... Muda wote huo John alikuwa kazubaa huku
anatolea macho kifua changu kilichokuwa na
chuchu ndogo utadhani kweli ni kabinti..
"..Tina, naruhusiwa kuyashika shika.."
"..wewe tu wala hata usijari, lakini uyashike
taratibu kwani mwenzako ni mara yangu ya kwanza hivyoo..."
Aliyashika maziwa yangu kisha akachukuwa
mdomo wake nakutoa ulimi akautelezesha mbele
ya chuchu zangu nakunifanya mwili wote
unisisimke..
"..nikwambie kitu John.." "..yeah niambie tu Tina.."
"..pliz pliz mie bikra na usinisababishie maumivu
pliz hivyo nakuomba uingize kichwa tu jamani.."
John alinielewa kisha akavua ile boxer yake
nakusex na mie alifanyak kama nilivyokuwa
nimemwambia alijikuta ananogewa nakudumbukiza yote, pale pale nikambadilikia...
"..nimeshakwabia ukiingiza yote utaniumiza ona
sasa nasikia maumivu sitaki tena tutafanya siku
nyingine.."
Nikazivaa nguo zangu huku nikimwacha John
akiduwaa.. "..haya vaa turudi hospitali tukamuone Jerry.."
"...Tina no no nipe mwenzio nina hamu.."
"..kwasasa sipo tayari tena na nguo
nimeshazivaa.."
"..usijari nitakusaidia kukuvua.."
"...John mie naogopa sana mwenzio kusalitiwa katika mapenzi.."
"..wallah, haitakuja kutokea Tina.."
"..hivi unajua ni wanaume wangapi nimewakataa
kisa hii bikra yangu..."
Nilimkazia macho John kisha nikamuonea huruma
nakumvulia nguo tena kwa mara ya pili huku nikitoa machozi bandia kana nina bikra kweli...
"..John taratibu pliz pliz.."
John alinivaa nakuanza kusex, mwanzoni alifanya
taratibu tenaj kwa juu juu lakini aliponogewa
aliingiza kwa nguvu tena yote..
"..John John enough is enough, naskia maumivu sana na nahisi bikra kama inataka kutoka.."
"..no no nakupromise tuache kwanza twende
tukamuangalie Jerry hospitali na tukitoka huko
tunarudi kuendeleaj mpaka asubuhi sawa John.."
John alifurahia nakuvaa nguo zake haraka haraka
na kupanda gari kwenda hospitali.. *** Umati wa wanawake bado ulizidi kumzunguka
Jerry, kwa kipindi hiki aliweza kutoa macho na
kuangaza huku na kule..
Nilikuwa namdekea John huku kila saa mikono
yangu ikiwa mabegani kwake kwa makusudi ili
kumkomesha Jerry.. Tulipomaliza kumuangalia Jerry tuliingia kupata
chakula kisha tukaelekea kwake kinondoni...
John alikuwa anashauku ya ajabu alikuwa
akiendesha gari kwa kasi ya ajabu na hiyo yote
nikuwahi kufika tu huko kwake na aweze kunitoa
bikra.. "..angejua bikra yenyewe hata aliyenitoa
nimeshamsahau..!"
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikiendelea
kumtolea jicho John aliyekuwa 'bize' kwa
kuendesha gari..
"..Nimesahau kukwambia John, mwenzio kesho asubuhi sana ninakipindi.."
"..hilo tu wala usijari kabisa, hapa tuna gari ya bro,
ntakuwaisha asubuhi asubuhi, sema kingine
mammii..."
John aliongea kwa kujiamini.
Haikuuchukuwa muda sana tukawa tumeshafika kwake, hakukuwa na sehemu yakulaza gari, hivyo
aliliachia kwa mbali kidogo, halafu tukatembea
mpaka kwake., njia nzima John alikuwa ni
wakunishika mara mabegani, mara mikono sijakaa
vizuri akanishika nywele zangu.
Kwakuwa tulishakula hivyo tulipoingia tulijifungia ndani kisha...
"..John nakuomba ukanitayarishie maji nioge.."
John hakuweza kukataa kwani ndani ya muda
mfupi alikuwa tayari mtumwa wa mapenzi na kila
nilichotaka alikuwa yupo tayari, haraka haraka
akatoka nje kwenda kunitayarishia maji,aliporudi tu nikaanza kumletea pozi..
"...haya nibebe mpaka bafuni.."
"..aaah acha hizo basi..!"
"..John unasemaje..? Kama hutaki kunibeba sikupi
bikra yangu.."
John alikuwa mdogo ghafla akanisogelea nakunipa mgongo wake ili anibebe..
"..haya panda basi.."
"..aha haa haa John hutaniwi mpenzi..? Nilikuwa
nakutania mwenzio.."
Nikachukuwa kopo la kuogea nakuongoza mpaka
bafuni kuoga, nilijisafisha vizuri kila kona na nilipotoka John naye alienda kuoga nakuniacha
chumbani kwake peke yangu..
"..yani leo simuachi mpaka nimuambukize tu kama
alivyonifanyia kaka yake japokuwa bado
sijapima.."
Nilijisemea peke yangu huku nikichukuwa hela kwenye kipochi changu nakukimbia mpaka nje
kwenye kiduka kununua 'tomato sauce' tena ile
inayotumikaga kwenye chipsi..
Niliificha nakuingia mpaka ndani kwa John napo
nikamkuta bado hajatoka bafuni hivyo
nikaifungua nakuiweka chini ya uvungu.. John alitoka bafuni na hapo hapo nikamuwahi
taulo lake huku nikimfuta futa kuanzia 'garden
love' lake mpaka mapajani mwake kisha nikaifuta
nanilii yake..
"..nzuuuri.." nikaibusu nakuanza kuinyonya
taratibu tena kwa pozi zote huku John akiishiwa nguvu nakujitupa mpaka kitandani..
"..John nikwambie kitu..?"
"..yap sema sweetie.."
"..embu zima taa yako, mwenzako naona aibu ndo
mara yangu ya kwanza leo.."
John alinielewa nakukimbilia mpaka kwenye kitasa nakuzima taa kisha akaanza kunipapasa kifuani
mwangu nakuanza kuninyonya tumbo langu
mpaka maeneo yakitovuni mwangu.,
Kiukweli sikusikia nyege zozote kwani nilikuwa
sugu kwenye haya mambo hivyo nilijilegeza
kiuzushi ili nimfurahishe John.. Giza lilikuwa limetanda haswa,
"..no no John, usiingize vidole vyako bwana,
utanitoa bikra kwa maumivu pliz pliz.."
Hapo hapo nikamvuta John kwa nguvu mpaka
kifuani kwangu..
"..John taratibu pliz usinifanye kama mchana, bikra ni yako, itoe taratibu bwana.."
John alianza kuingiza nanii yake huku nikimbania
mapaja kana kwamba nina bikra kweli..
John akiwa ndo kwanza ananifanya tena kwa juu
juu tu bila kuingiza yote, nikatumia mwanya huo
huo kuvuta ile chupa ya 'tomato sauce' uvunguni kwa kutumia mkono mmoja kisha nikaimwagia
kwenye kiganja changu nakuisambaza kwenye
nanii yangu..
Nikamsikilizia ile John anaingiza yote tu hapo hapo
nikamsukuma nakuanza kulia..
"..nilikwambia John, ona sasa ninavyoumia, umeshanitoa bikra, sina tena bikra na ole wako
unisaliti au usinioe John.."
John alienda kuwasha taa haraka haraka kisha
akakunja sura yake huku ananikaripia..
"..mpumbavu mkubwa wee, ushanichafulia shuka
unajua bei yake wew..?" "..John, mbona umenibadilikia hivyo ghafla.. Basi
kesho nitakufulia hizo shuka zako.."
"..mie ndio kidume cha mbegu, kama bikra
nishaitoa, kukuoa sahau, unahadhi yakuwa na
mimi wewe.."
"..ndio mana nilikuwa sitaki unitoe bikra yangu, nyie wanaume nawajua sana.."
"..embu toka toka, nenda hostel kwenu ukajifutie
mijidamu damu yako hiyo, tokaaaa.."
John alinifukuza kama mbwa vile, nikavaa nguo
zangu nakuchukuwa kimkoba changu mpaka nje,
"..John utanikumbuka siku moja.." "..akukumbuke nani wewe, niache kukumbukwa
Pemba na wachumba zangu eti nikukumbuke
wewe.."
Nilijichekea moyoni huku nikijifanya nalia
nakutoka mpaka nje huku nikimwacha John peke
yake, nilipofika tu kituoni nikachukuwa simu yangu nakutuma meseji kwa John..
'...John mpenzi, angalia chini ya uvungu wa kitanda
chako,
Kama ulidhani umenitoa bikra hapa umechemsha,
nakifupi tu, NIMESHAATHIRIKA... Itaendelea baadae..
 
Mkuu umetisha japo hii story team chaputa hawapaswi kusoma hata kama ni wazee tena usisahau shusha za jioni njema!!?
 
Ilipoishia... .
..nikachukuwa simu yangu
nakutuma meseji kwa John..
'...John mpenzi, angalia chini ya
uvungu wa kitanda chako,
Kama ulidhani umenitoa bikra
hapa umechemsha, nakifupi tu, NIMESHAATHIRIKA...
'
Endelea... Nilipomaliza kuituma tu, nikaizima simu yangu
nakuirudishia kwenye kipochi huku nikifurahia
kitendo nilichomfanyia John,
"..hapa na bado, nitahakikisha nimeumaliza ukoo
wao wote...!"
Nilijisemea peke yangu huku nikipanda daladala ya kuelekea posta kwa usiku ule..
Sikuumia moyoni kisa John ameniacha bali
nilikuwa nafuraha ya kumuambukiza ukimwi..
"..mh huenda sina hata huo ukimwi, halafu najisifu
sifu, embu ngoja kesho nikitoka kwenye kipindi
asubuhi niingie hospitali.." Bado nilikuwa nikijiuliza nakujijibu mwenyewe
huku daladala ikikatiza maeneo ya magomeni
kuelekea posta..
Mwendo wa kama dakika 20 ulitosheleza
kunifikisha pale chuoni 'Cbe ndani kabisa ambapo
ndipo hosteli zetu zilipo, Nilipofika tu kwenye 'rumu' yangu sikumkukuta
Aisha hivyo niliamini tu atakuwa kaenda kujirusha
viwanja hivyo breki ya kwanza nikabadilisha nguo
zangu nakuvaa kanga kisha nikaingia bafuni
nakujisafisha zile 'tomato sauce' bandia zilizokuwa
kwenye ile bikini yangu pia kwenye naniii yangu, Nilipomaliza nikarudi mpaka rumu nakuiwasha ile
simu yangu.
Meseji kama 5 ziliingia mfululizo na zote zilikuwa
zimetokea kwa John, alikuwa akinitukana na
kulaani kitendo nilichomfanyia nakunihakikishia
ama zangu ama zake siku akinishika, nilizisoma zile meseji kisha nikafyonza kwa dharau nakuzifutilia
mbali,
"..akijifanya mjanja namfanya kama nilivyomfanya
kaka yake 'Jerry..' eti anataka kuoa bikra..?, bikra
aende huko kwao Pemba tena vijijini na umalaya
wake ndio atapata mabikra.." Nilizungumza kimoyo moyo huku hasira kali
iliyoambatana na dukuduku rohoni vikinishika
nakutamani nimrudie usiku huu huu.. ~ Baada ya wiki 2 ~ Nilivalia nguo ya 'baibui' huku nikijifunika mpaka
eneo la paji la uso, kama muislamu vile sikutaka
kusindikizwa na mtu yeyote zaidi ya kubeba
kamkoba changu nakuelekea hospitali ya mnazi
mmoja tena kwa kujiamini...
Niliingia mpaka ofisi ya dokta niliyokuwa nikimfahamu nilimweleza nia yangu yakuja kupima
kisha akanichukuwa damu nakwenda kuipima.
Haikupita muda akarudi,
"..enh niambie dokta imekuwaje mzima.."
"...unaweza kuniambia huyo mtu mara ya mwisho
kukutana naye kimwili ni lini..?" "..dokta zimeshapita kama wiki mbili sasa.."
"...matokeo yako haya hapa hauna tatizo lo..."
"..kweli dokta..?"
"..yeah ni kweli kabisa haujaathirika ila sasa we leo
rudi nyumbani halafu njoo baada ya wiki mbili,
kwani magonjwa kama ukimwi ni mpaka mwezi upite ndipo vijidudu vionekane.."
Nilichukuwa yale majibu yangu japokuwa bado
nilikuwa kishingo upande nakutokumuamini
kabisa dokta japo huwa ananitibia mara nyingi
niumwapo..
Nilienda tena hospitali nyingine lakini majibu yalinionesha nimeshaathirika,
Njia nzima nilikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa,
akili, ukichanganya na hasira kali ilinituma niende
mpaka hospitali ile aliyokuwa amelazwa Jerry pale
'Ocean road' napo nilipofika ile wodi sikumkuta na
alikuwa amesharuhusiwa kama siku mbili zilizopita..
Kwakuwa nilivalia 'baibui' ilikuwa ni vigumu
kuonekana hivyo nikapanda daladala mpaka
msasani alipokuwa anaishi Jerry, nilibadilisha sauti
nakuwa nyembamba sana hivyo mlinzi
akaniruhusu nikapita pale getini mpaka sebuleni, nikamkuta Jerry yupo kwenye kibaiskeli spesho
kwa wagonjwa huku akiwa na wanaume wanne
na wanawake kama sita hivi lakini John
hakuwepo,
Sikuwa muongeaji wala kuonesha mapepe yeyote,
niliwadanganya kuwa mie ni jirani yao japokuwa sijaamia muda mrefu maeneo haya huku nikijitahidi
kuizuia hasira kila nikimwangalia Jerry na
nikikumbuka nilivyopima ukimwi nakukutwa nao,
"..haya yote umeyataka wewe Jerry.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimkazia Jerry
macho ya hasira.. "..nimeanza na Jerry na sasa hivi ni zamu ya
mmojawapo kati ya hawa.."
Niliongea mwenyewe huku nikiwatolea macho
wale wanaume waliokuwa wanamuuguza Jerry..
Haraka haraka nikaaga nakutoka nje, ile namuaga
mlinzi, akatoka ndani mzee mmoja wa makamu huku mkononi kamshika mwanae..
"..bado hujaondoka tu.."
Yule mzee aliniambia kiutani huku akiwa na lafudhi
ya ki pemba,
",mie mbona nimeshafika, nyumbani kweu jirani tu
hapo, sema naifikiria safari yakulekea kariakoo sasa hivi.."
Nilimtega maksudi kumwambia hivyo kwani
alikuwa na gari lake,
"..ok, mie kwangu magomeni, twende nitakuacha
magomeni uchukue daladala,"
Niliingia siti ya pembeni yake na mtoto wake alikuwa siti ya nyuma kabisa, huku nikijidai na
kujishembendua ovyo..
"..mtoto wako mzuri, anaitwa nani..?"
nilianza uchokozi taratibu bila ya yeye kujijua
"..anaitwa Latifah.."
"..ohh anajina zuri, hivi we na Jerry mpoje..?" "..Jerry ni mdogo wangu anayenifuata akitoka
Jerry anafuata John na ndio mtoto wa mwisho
kwenye familia yetu..
"..kazi imekwisha, sasa hapa ndio simwachi ng'o,
haijalishi ameoa au hajaoa au anamtoto sijui
anajiheshimu.., hapa kwangu kaisha...." NJia nzima nilikuwa nikimwangalia kwa jicho la
kuibia ibia huku matamanio yangu yakichukuwa
nafasi yake, mpaka alipofika magomeni pale
usalama, akapaki gari yake pembeni,
"...mie naishi hapo kituo cha mbele 'magomeni
mwembe chai' lakini natumai utapanda daladala pale za kwenda kariakoo.."
"..wala usijari, kuna kitu naenda kununua mara
moja halafu nakurudi kwangu 'Ilala'.."
Nilimdanganya tena kwa kujiamini, ile hali ya ujasiri
nilikuwa nayo bila hata kuwa na mshipa wa aibu..
"..amh nimesahau kujitambulisha, mie naitwa Grace ni mfanyakazi mwenzake na Jerry.."
"..ahaa, ni vizuri binti, mimi kama unavyomwona
mwanangu hapa pembeni, naitwa Baba Latifah au
ukipenda niite Ustadhi Juma..."
"...ok, usijali labda kwa hapa sina 'business card'
zimeniishia, labda ungenipa namba yako ya simu na mimi nikupe yangu.."
"..ooh, wala usijari Grace, namba yangu ni
0713133633.."
Niliichukuwa nakumpa namba yangu huku
nikiondoka na uhakika wa hali ya juu mpaka
kwenye daladala ziendazo posta na siyo tena kariakoo kama nilivyokuwa nimemdanganya hapo
awali,
"..na hivi leo sijaingia darasani, lakini Aisha
atanielekeza walichofundishwa leo.."
Niliendelea kuongea mwenyewe huku nikiwa
ndani ya daladala maeneo ya 'fire' karibu na kituo cha 'akiba' ambapo ndipo ninaposhukia kwenda
chuoni kwetu 'cbe'.
Nilipofika tu 'hostel' breki ya kwanza ilikuwa
nikuvua ile mi nguo ya baibui kwani ilikuwa
imenijazia joto sana,
"..shosti kwa mishemishe, hata hutulii..?" Alikuwa Aisha akiongea na mimi.
"..nitulie wapi wakati mjini kuna mambo mengi!
Haya embu niambie mlichofundishwa leo..?"
"..leo tumefundishwa somo moja tu.."
"..lipi hilo"
"..Entreprenuer.." "..na mwalimu wa 'Law' hakuingia..?"
"..yule katuambie mpaka wiki ijayo hivyo tujiandae
kwa 'test' kutoka kwake.." **** Usiku wote akili ilikuwa ikimuwaza Baba Latifah,
kila muda nilipotaka kumtumia meseji nilikuwa
nasita nakuhisi huenda akaipokea mke wake
nikaharibu kila kitu nakumkosa kabisa, hivyo
nikajilalia zangu mpaka asubuhi..
Nilikuwa nakipindi asubuhi hivyo nilitumia masaa mawili nikawa sina tena kipindi,
"..kwa muda huu kama hayupo ofisini sijui.."
Niliichukuwa simu yangu nakumpigia baba Latifah,
lakini iliita tu nakukatwa hapo hapo,
Woga ulianza kuchukuwa nafasi yake katika mwili
wangu huku akili ikinituma kuwa huenda ameshajua mchezo wote ninaoufanyaga..
Nikiwa ndani ya dimbwi la mawazo kwa muda
mfupi mara simu yangu ikaita, harakaharaka
nikaangalia jina lilikuwa ni baba Latifah, nikaipokea
kwa pozi na tabasamu zito,
"..hallow," "..yeah, nani Grace?"
"..ndio unaongea na Grace.."
"..nisamehe binti, nilikuwa naendesha gari ndio
maana niliikata simu yako lakini usijari, nimeshafika
na kwasasa nipo hapa hapa ofisini kwenu.."
"..uko wapi baba Latifah..?" Niko hapa 'aiport' unapofanyia kazi na mdogo
wangu Jerry, na nimekuja kufuatilia pesa zake kwa
ajili ya matibabu, wewe uko kwa wapi..?"
Nilijihisi mdogo ghafla kama kidonge cha 'piriton'
huku nikiamini kwa asilimia zote nitakuwa
nimeshaharibu haswa akiulizia jina la Grace akaambiwa hamna jina hilo nitakuwa simpati tena.
Hapo hapo akili yangu ikachemka ghafla nakupata
wazo nakumjibu..
"..nimetoka ofisini na nipo posta kuna bidhaa
tumeleta hivyo kwa leo sintoweza kurudi ofisini
mpaka kesho, lakini nahitaji kukuona leo jioni kuna vitu ninavyo nataka umpelekee mgonjwa
'Jerry' mie nimebanwa sana.."
"..wala usijari binti, wewe niambie nikukute
wapi..?"
"...kwa sababu nitakuwepo posta mpaka jioni
sana, nitakutafuta kwenye mida ya saa kumi na mbili, samahani kwa usumbufu lakini.."
"..kuwa na amani kabisa binti yangu.."
Nilimaliza kuongea na simu huku furaha kubwa
nikiwa nayo, nikatafuta nguo ya kuvaa ambayo
itaendana na zile za wafanyakazi wa 'airport'
Hatimaye nikapata kisketi cha bluu na shati jeupe lililonipana na nikachukuwa kikoti cha Aisha cha
bluu nachenyewe chakubana na kisha nikafunga
funga mtandio wa bluu ndio ikawa kama tai..
Saa kumi na mbili kasoro nilikuwa nipo 'Subway'
posta nikiwa nimeifunga kanga yangu ndani ya
karatasi la kuhifadhia zawadi na juu yake nikiandika maneno 'Get well soon Jerry' (ugua pole
Jerry) huku nikimsubiri baba Latifah...
Nilimpigia simu kujua amefika wapi,
"..hallow, nipo hapa 'subway' posta nakusubiri.."
"..nami nakaribia nipe dakika kama kumi.."
Sikusubiria sana akawa ameshafika, nilijifanya ninaharaka sana na nimechoka na mizunguko
toka asubuhi nilipotoka na wenzangu kumbe wote
uongo..
"...pole sana na kazi, ndio majukumu yalivyo.."
"..chukuwa hii ni zawadi kwa Jerry ataifurahia sana
akiifungua na utamwambia kuwa imetoka kwa wafanyakazi wenzake.."
Aliichukuwa,
"..ok, kwakuwa umechoka sana wacha
nikusogeze mpaka karibia na kwako, uliniambia
unaishi wapi tena..?"
"..Ilala boma.." Giza lilikuwa limeshatanda, tukaingia ndani ya gari
lake, Nikamuwahi kabla hajaliwasha nikamshika
mkono, akashangaa..!!
"...najua umeoa na una mtoto, ningependa leo
nikucheleweshe kidoogo kurudi kwako.."
Baba Latifah alikaa kimya huku akihema juu, hapo hapo nikavua kikoti changu nakusingizia joto..
Akiwa bado ananishangaa nikaanza kuvua
vishikizo vya shati huku kisketi nikikipandisha kwa
juu nakuachia mapaja wazi... Inaendelea saa 4 usiku………
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom