Play Gal ( Tina zoa zoa)

Play Gal ( Tina zoa zoa)

ilipoishia...
"..Biggy lakini hujaniambia kama
umeoa, mie nilijua utakuja na mkeo..?"
"..dah bado hata sijaoa lakini ndani ya
miezi hii mitatu ntakuwa nimeshaoa.."
Hapo hapo ndo ukawa mwanya
kwangu.
'
endelea...
kwa bahati nzuri nilikuwa napafahamu kanisa
ambalo huwa kuna maombi mara kwa mara.
"...kunja kwa hapa kushoto kwa mbele kidogo
tutaliona kanisa la KKKT hapo hapo.."
Nilimwelekeza kwa kujiamini kanakwamba kila
siku huwa nakuja hapa kusali. ndani ya muda mchache tayari tulikuwa ndani ya
kanisa, waimba kwaya wachache walikuwa
wamejipanga kwa vikundi vikundi, tukapitiliza na
kwenda kukaa mbele kabisa huku tukisubiri ibada.
"..ukisikia kuumbuka Tina mie ndio leo..?"
Nilijisemea peke yangu baada ya kukaa zaidi ya nusu saa bila kuonekana dalili zozote za ibada zaidi
ya wanakwaya ambapo walikuwa wanafanya
mazoezi kisha wakatawanyika.
Nilianza kumchokoza Biggy pale pale kanisani.
"..Biggy nikwambie kitu.?"
"..enhe niambie tu.." Nikakaa kimya kwa muda huku nikiona kaaibu
fulani kisha nikamwambia..
"..samahani sana kwa kukusumbua leo kupoteza
muda wako mpaka sasa, itakuwa jana nilipokuja
hapa kwenye maombezi nilimsikia vibaya
mchungaji hivyo nikajua na leo atakuwepo kama kawaida.."
"..Hilo tu wala usihofu mpendwa katika bwana.."
"..ameni.."
Niliitikia kwa kujiamini huku tukitoka pale kanisani
nakuelekea nje mpaka alikopaki gari yake..
"..haya embu niambie unakaa wapi nikusogeze.." Nilimwangalia kwa jicho la uchokozi kisha
nikamjibu kwa kumtega,
"..Biggy mie nakushukuru kwa kuja, kuhusu
kuondoka usihofu nitamsubiri mume wangu
atanipitia akitoka ofisini.."
"..kwani wewe Gizzle unakaa wapi?" "..am mh mh naishi mabibo"
"..Sasa mie naishi Sinza twende nikuache pale njia
panda ya kwenda huko Mabibo.."
Niliitikia kwa shingo upande huku nikiingia ndani
ya gari la Biggy.
Giza lilikuwa limeshaanza kutanda, kafoleni kapale Manzese kalinifanya nijifanye nimechoka sana
kwani hata na biblia niliiweka kwa mbele karibu
nakioo, akilini mwangu nilikuwa najua nini
nafanya kwani giza lilipofunika tu nilijifanya
usingizi umenipitia haswa tena nakoroma utadhani
nimetoka safari ya mbali sana kumbe magomeni mpaka manzese tu.
"..Gizzle, Gizzle haya tumeshafika njia panda, wacha
mie nielekee kwangu.."
Aliniamsha Biggy nakunitaka nishuke, ndio
kwanza mwili wote ukanilegea zaidi.
"..mhh Biggy, najishangaa sijui ni homa? kwani mwili unanitetemeka sana embu ona.."
Nikauchukuwa mkono wake nakuugusanisha
kwenye shingo yangu kisha nikauamisha
nakuupeleka mpaka kwenye matiti yangu
nakuumalizia mapajani mwangu.
"..Nisamehe sana Biggy kwani naumwa, naumwa kweli..?"
Biggy akawa hajiamini amini huku ananitolea jicho
la uoga.
"..ok, mpigie mumeo simu basi aje kukupitia
hapa.."
"..hapana Biggy, niliogopa kukwambia ukweli, mie sijaolewa bado.."
Wanaume kama hawa wala hawanisumbui Tina
mie, pale pale nikauvua ulokole kwa muda..
"..Biggy, nakuomba nikwambie siri kubwa ambayo
iko moyoni mwangu.."
Biggy tayari alikuwa msikivu huku akinitolea macho nikatumia mwanya huo huo kumdanganya,
"...pliz pliz Biggy nakuomba story hii usije mwambia
hata Admin kwenye lile group ataniandika kwenye mastory
yake.."
Biggy alicheka kidogo kisha.
"..ondoa hofu kabisa Gizzle.." Sikuwa na story yeyote zaidi ya kumpotezea muda
wake pale..
"..nakuomba uniruhusu nikakusimulie huko huko
kwako kisha utanirudisha mpaka mabibo au?"
Muda wote naongea naye Biggy alikuwa
anaonekana hajiamini kabisa. Aliwasha gari yake na safari ya kuelekea huko
Sinza anapoishi ikaanza.
Ilituchukuwa kama nusu saa kutoka pale njia
panda ya mabibo na tulipofika tu, cha kwanza
nilishuka huku nikiiacha ile biblia kwenye gari la
Biggy. "..unaishi peke yako kweli..? nisije nikapigwa binti
wa watu wakilokole mie.."
Nilijisemea kiutani huku Biggy akitoa funguo
mfukoni nakuanza kufungua mlango wa
chumbani kwake kwani alikuwa na chumba
kimoja na sebule tu tena nadhani ilikuwa ni nyumba ya kupanga ile..
"..Mh Biggy unajipenda? ubarikiwe na bwana.."
Bado nilimpa vijimaneno vya uchokozi na
tulipoingia tu ndani,
"..Biggy samahani, lete mikono yako mara moja.."
Alishangaa kisha akanipa mikono yake, nikaishikilia nakumuamuru tufumbe macho
tuombe..
"..Bwana Mungu, mkuu uliye mbinguni, nasema
ahsante Baba kwa kunileta katika nyumba hii,
Baba weza kumbariki kijana huyu niliyenaye katika
mambo yake ya ofisini hata na nyumbani, najua hakuna lishindikanalo mbele zako Baba..,
Nikiwa katika maombi ya uongo na kweli pale
mara mlango ukafungulia nakuingia msichana
huku akionekana mwenye hasira kali...
Sikutaka kujifanya nimeshtuka, pale pale
nikaendeleza maombi. "..tazama Baba wa mbinguni, nimekuja humu ndani
kuweka baraka, kwa jina la Yesu mbariki Biggy na
wapangaji wake wote.. nasema ahsante Baba.."
"..Ameni..!!"
Wakaitikia wote Biggy na yule msichana aliyeingia
mule ndani kwa pamoja. "..karibu.."
Biggy alimkaribisha yule mdada, huku akimtolea
macho.
"..ahsanteni, za hapa lakini..?"
"..salama tu, Gizzle..? huyu dada unayemuona hapa
ni mpangaji mwenzangu na yeye pia ameokoka nadhani maombi yetu yamemtia nguvu
nakujongea mpaka hapa.."
"..ahsante kwa kumjua, Bwana wetu asifiwe.."
"..Ameni.."
Aliitikia yule mdada huku akitoa kijikaratasi
nakumkabidhi Biggy nakudai kuwa ni bili ya maji imeletwa kwani wapangaji wako wawili tu katika
ile nyumba.
Alimpa kile kijikaratasi nakuondoka huku
akituacha mie na Biggy wangu peke yetu.
"..Gizzle sijui unatumia kinywaji gani..?"
"..Maji ya kunywa tu yatanitosha.." "..hapana, mie naenda kukununulia Juici.."
"..mh haya bwana kama umependa hivyo.."
Biggy alifungua mlango nakutoka nje kabisa
kwenda kuninunulia juici huku akiniacha peke
yangu pale kwenye sebule yake..
"..nadhani sasa ndio atanielewa vizuri nimeokokaje, ngoja arudi, mbona atajuta na Tina
zoa zoa mie.."
Nilijisemea kwa sauti ya kimya kimya huku
nikifungua kijipochi changu nakutoa wanja kisha
nikafunua nguo yangu hadi maeneo ya tumboni
nikajichora mstari kidogo. Ndani ya muda mchache Biggy tayari alikuwa
ameshaingia huku mkono wake mmoja akiwa
ameshikilia juici ya boksi.
Alipofika tu alifungua kabati lake nakutoa glasi
mbili kisha akafungua juisi nakuimimina.
"..haya mpendwa katika Bwana karibu juisi.." Haya tufumbe macho Biggy tuiombee.
"..Eeh Mwenyezi Mungu muumba wa vyote, karibu
tujumuike wote katika juisi hii, ibariki.."
"..Ameni.."
Tayari kwa asilimia zote nilikuwa tayari
nimeshamteka Biggy huku akiamini kabisa kuwa mie ni mlokole..
"..yaani hapa leo simwachi.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikichukua glasi
nakuanza kuinywa ile juisi..
"..haya Gizzle uliniambia kuna kitu unataka
kuniambia, ndio uniambie sasa.." "..haa Biggy nawe? husahau..?"
Nilimwambia kiuchokozi huku nikijifanya nina aibu
kweli..
"..hapana Biggy roho inanisuta, najiona mzito sana
kukwambia jambo hili.."
"..wee kuwa na imani tu ya Bwana, hata katika maandiko huwa yanasema, roho ya kusita ni ya
kishetani, usiiruhusu hapa siku moja ikutawale
katika maisha yako, haya niambie tu Gizzle niko
tayari kukusaidia.."
Maneno yale aliyoongea Biggy yaliniogopesha
nakuona huenda Biggy akawa mlokole kweli japo mie namzuga tu.
"..Biggy..?"
"..enh niambie..?"
"..kama nilivyokuambia, nisingependa hadithi hii ya
maisha yangu ukamwambia Admin wa lile group ataniandika
kwenye mastory yake yule, na nitaonekanika sina thamani tena katika hii dunia.."
"..Gizzle..?"
"..abee"
"..embu nakuomba uniamini nakunielewa, ni leo tu
tumejuana lakini niamini, hutakuja kusikia popote
pale, kwanza mie nimelelewa kwenye maadili ya kidini toka nikiwa mtoto na mpaka sasa
nimeokoka.."
"..Bwana Yesu asifiwe sana Biggy.."
"..Ameni.."
"..kama unavyoniona Biggy, kwanza toka
nimezaliwa sijawahi kumjua mwanaume Gizzle mimi.
Baba yetu alitulelea katika mazingira yakumjua
Mungu mpaka hivi sasa.., umri wangu wakuolewa
umefika sasa, na sikt zote nilikuwa namuomba
Mwenyezi Mungu anioneshee njia nimpate mume
bora mchapakazi na mcha Mungu, nimeangaika sana hadi kwa waganga, nikaona njia sahihi
nikumrudia tena Bwana nakumuomba, ndipo
nilipokutana na wewe.."
Muda wote huo Biggy alikuwa anatetemeka tu
huku kijasho chembamba kikimtelezesha kupitia
shati lake la mikono mirefu alilokuwa amelivaa. "..Biggy mie ni msichana kama wasichana wengine
na nimekamilika na bikra yangu kabisa, nahaki
kuwa na mwanaume kama wasichana wenzangu
wengine waliookoka katika huu utukufu wa
Bwana.."
Pale pale nikatoa mchozi wa uongo huku nikijifanya kuchanganyikiwa. Biggy alitoa kitambaa
mfukoni mwake nakuanza kunifuta yale machozi
yaliokuwa yakinidondoka..
"..Biggy, naamini wewe ni mwanaume
niliooneshwa na Mwenyezi Mungu.."
Biggy alikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa fulani huku mikono yake ikimtetemeka.
"..Gizzle nimekuelewa, ila najisikia na mimi uchungu
kwani tayari nimeshamchumbia binti mmoja yupo
Tanga anaitwa Mwajabu na ndio maana
nilikwambia kuwa ndani ya miezi mitatu nitakuwa
nimeshaoa.." "..Lini nitakuwa na bahati Gizzle mie, we ni
mwanaume wa tatu kuniambia hivyo, ni bora tu
nisiwepo duniani bora, bora.."
Nilibadilika sura kabisa huku nikijifanisha kwikwi
imenishika kwa sababu yakulia, pale pale
nikajifanya nimepoteza fahamu. "..Gizzle..?Gizzle..?"
Biggy aliniita lakini nikajifanya sisikii lolote zaidi
yakulegeza viungo vyangu vyote vya mwili.
Biggz alininyanyua nakunipeleka mpaka chumbani
kwake nakunilaza kisha akatoka nakurudi na feni
akaiwasha inipepee pale kitandani. Ndani ya dakika kama kumi nzima nilijifanya bado
fahamu hazijanirudia, muda wote nilichomoza jicho
langu kwa mbaali nakumuona Biggy akiwa
pembeni yangu amekaa na nguo zake zile zile za
ofisini.
Alifungua Biblia nakuanza kuniombea huku mkono wake akiuweka kichwani mwangu.
Nilijipindua upande wa pili ili kumshtua Biggy
nakujifanya nimeamka.
"..Gizzle..? Gizzle."
"..mhh, abee..!"
Niliitikia kwa kujinyoosha, huku nikifumbua macho yangu taaratibu nakumfanya Biggy aoneshe uso
wa furaha kwa kuzinduka kwangu.
"..pole Gizzle, enh unajisikiaje na hali..?"
"..kichwa kinaniuma sana, pia nasikia kizungu
zungu sana.."
"..najua sasa hivi utakuwa unatafutwa sana nyumbani kwenu, nakuomba nikurudishe.."
"..hapana Biggy nyumbani hakuna shida, wacha
nilale tu hata kama ni sebuleni.."
Biggy hakuafiki kabisa swala la mie kulala kwani
alidhani huenda nikazimia tena wakati mie
nilimzuga tu.. "..Biggy..? Biggy..?"
".enh unasemaje..?"
"..Nimeanza kusikia maumivu ya ajabu tumboni
mwangu na sijui ni nini..?"
Nilivua gauni langu kwa makusudi mpaka tumbo
lote likabaki wazi na mapaja yote yakionekana bila kuonesha woga wowote ule.
"..Biggy embu niangalie maeneo ya kitovuni
kushuka chini.. umeona nini?"
"..kuna mstari mkubwa tu kama ile ya wajawazito.
kwani we ni mjamzito..?"
"..we we ninavyoogopa, tangu lini bikra akawa mjamzito..? huu mstari ukiwa mkubwa zaidi halafu
huna mimba ujue we ni bikra.."
"..anhaa kuumbe.."
"..Biggy sogeza sikio lako nikwambie kitu.."
Hapo hapo sikutaka kupoteza nafasi, alipoleta tu
sikio lake, nikamwingizia ulimi kwenye sikio lake nakuanza kulichezea huku Biggy akilegea
nakutojiamini kama nimeshamwingiza mtegoni..
Niliutoa ulimi masikioni mwake nakuuamishia
mdomoni mwake, Biggy alikuwa mshamba wa
mapenzi kwani alikuwa hajielewi kabisa.
Nilianza kumvua vifungo vya shati lake taratibu huku mkono wangu ukipapasa likifua lake lililojaa
matiti utadhania mwanamke vile, nilimvua nguo
zake zote kisha namimi nikivua nguo yangu ya
ndani nakumkalia Biggy pale kitandani tena bila ya
kutumia kinga yeyote.
Unene wake ulinifanya nishindwe hata kubadililishia staili japokuwa tayari nilianza
kuridhika si unajua sie wanawake tena.
"..Biggy..? Biggy..?"
"..yeah niambie Gizzle.."
"..Pliz nakuomba unitoe bikra yangu sasa hivi.."
"..Biggy akawa kama mtu aliyeingiliwa na pepo mchafu, kwani alinifanya kwa vurugu zote mpaka
nikafurahia haswaa..
Tukiwa bado katika mapenzi mazito, mara simu ya
Biggy ikaita huko sebuleni..
Haraka haraka tukayakatisha mapenzi yetu kisha
Biggy akaenda kuipokea huku mie nikimfuata kwa nyuma nakumsikiliza anavyoongea na simu,
Aliongea mara moja tu akaikata kisha akanifuata
huku akionesha kuchanganyikiwa,
"..Biggy vipi mbona umekuwa hivyo ghafla.."
"..matatizo Gizzle, tumefiwa.."
"..poleni sana, kwani nani aliyefariki..?" "..kafariki mjomba wangu kabisa anaitwa Baba
Latifah.. anaishi magomeni, ngoja nimpigie mdogo
wangu Jerry nimwambie..
 
mzee mwenzangu STUNTER nipo nakupata hapa mubashata mashkhofu tuko pamoja we tupia vitu tu...
Ilipoishia...
'..NIPO NJIANI NAKUJA CHUONI
KWENU KUKUCHUKUWA
TWENDE KWANGU..."
Nikaangalia mara mbili mbili kujua
imetokea wapi, nikaja kugundua
kuwa jina limeandikwa Jerry..
'
Endelea...
"..Aisha, Aisha Jerry yuko wapi..?"
Nilishtuka usingizini na kitu cha kwanza
nikumuuliza rafiki yangu Aisha,
"..nawewe Tina kwa ndoto zako za mchana
mchana tumeshakuchoka sasa, huyo Jerry ndio
nani..?" Maskini Tina mimi kumbe yote ile ilikuwa ni ndoto
eti mpaka nimekutana na mdogo wake Jerry
anaitwa Nyemo na mpaka nikamng'ang'ania
kwenda ku sex naye duh..
Nilijichekea kimoyo moyo huku nikivuta
kumbukumbu vizuri imekuwaje kuwaje ndoto hii, ndipo wazo likanijia kuwa mara ya mwisho Jerry
alinipigia simu kuwa amepata dharula mara moja
ataenda Temeke, hivyo nilikasirika nakurudi zangu
mpaka bwenini nakubadili nguo zangu kisha
nikajilaza ndipo usingizi uliponipitia nakuanza
kuoto ndoto hizi.. "..natamani ingekuwa kweli..? Mbona huyo Nyemo
angenitambua.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikichukuwa simu
yangu nakutaka kumpigia Jerry, nilihangaika
kuitafuta namba yake bila mafanikio lakini
nikakumbuka kuwa niliifuta pindi kile aliponiambia amepata dharula mara moja.
"...sasa namba yake nitaipata wapi..?"
Nilikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa fulani
huku muda wote Aisha akinitolea macho,
"..yeees..!! Furaha ilinirudia pale nilipokiona kikadi
chake cha ofisini alichonipa kilikuwa kimeandikwa hivi,
"..Jerry .M. Ng'onye..
Asst... Supplies officer..
Fax ; +255 265451733
Mob ; +255 713 214656 "
Nikaikopi ile namba ya simu haraka haraka kisha nikai sevu upya nakumpigia..
"..mambo Jerry.."
"..enhe niambie Tina.."
"..jamani niambie basi unatoka huko saa ngapi
mwenzakn nimeshachoka hivyo kukusubiri.."
"..unaskia Tina, wala usijali yaani swala la kuonana na wewe lipo pale pale.."
"..nikuulize kitu Jerry..?"
"..uliza tu wala usijali.."
"..umeoa..?"
"..dah nadhani mwakani ndio nampango huo
lakini kiukweli nina mchumba tu.." Moyo ukanilipuka, huku nikijihisi vinyweleo
vyangu mwilini vimesimama ama kupulizwa na
upepo wa ghafla..
"..unaishi naye huyo mwanamke.."
Nijikaza nakumuuliza kwa makusudi..
"..hapana, yeye anaishi nakufanyakazi huko huko Tanga ila mie naishi peke yangu hapa Dar.."
"..Jerry huna mdogo wako..?"
Nilimuuliza kwa makusudi,
"..mh hapana, ila nina dada tu.. Kwanini umeamua
kuniuliza hivyo..?"
"..amh, nilitaka tu kujua jamani, kwani ni vibaya Jerry..?"
"..ok, nina muda mfupi nitatoka huku Temeke,
lakini itanibidi niunganishe moja kwa moja mpaka
home nikabadili nanguo kabisa then tutatoka
usiku kwa ajili ya 'dinner'.."
Furaha iliniongezeka mara mbili nailivyokuwa, "..jamani Jerry, mbona mie niko tayari hata sasa si
unipitie tu nikapajue na kw..."
Kabla sijamaliza kuongea simu ikakata, nikajua
labda huenda Jerry amekasirika nilivyomwambia,
lakini haikuwa hivyo kwani nilipouliza salio langu
lilikuwa ni sh. 0. Nikiwa bado najishangaa na kwa muda huu rafiki
yangu Aisha alikuwa ametoka hivyo chumba chote
nilibaki peke yangu mara simu ikapigwa..
"...nitajitahidi kupambana na foleni, naanza safari
ya kuja hapo chuoni kwenu 'be prepared..'"
"..mie mbona niko tayari ni wewe tu Jerry.." **** Pedo nyeusi yenye vitundu vidogo vidogo, chini
nikiwa na viatu vya chini huku kichwani nikiwa na
wigi lakushonesha, blauzi yenye mistari ya pinki na
nyeusi mikononi nikiwa na bangiri kubwa nyeupe
na nyeusi ndivyo nilivyovalia huku nikiishikilia
pochi yangu ndogo nyeusi. Niliichukuwa simu yangu nakumpigia tena Jerry..
"..enhe niambie jamani umefika wapi..?"
"..ndio nakaribia maeneo ya Mnazi mmoja,
nikukute kwa nje basi ili iwe rahisi kuendelea na
safari.."
"..pouwa.." Giza lilikuwa limeshazama ndicho kilichonipa ujasiri
zaidi huku nikitoka nje kwa makogo yote..
Haikuchukuwa muda nikawa nimeshaonana na
Jerry, alionesha kuchoka sana kwa kazi
ukijumlisha na mizunguko,
"..mh, hapa atake asitake leo lazima alale na Tina mie.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimlegezea
macho Jerry huku akiendesha gari kuelekea
kwake,
"..enh, niambie Jerry mbona kimya ghafla.."
"..unafikiri nina usemi basi, enh embu niambie we kabila gani..?"
"..mie ni mdigo mtu wa Tanga.. Wewe je..?"
"..mie mpemba, kwani unanionaje..?"
"..ndio maana, nywele, sura na weupe ulionao
vinajitosheleza kujua.."
Stori zilinoga mpaka nikaona kama safari fupi, ilituchukuwa kama dakika 40 kufika anapoishi
Jerry,
Jerry alikuwa anaishi jumba kubwa mwenyewe na
mlinzi, tulipoingia ndani tu Jerry alipitiliza mpaka
chumbani kwake huku Tina mie akiniacha
sebuleni, "..hajanijua tu.."
Nilijisemea peke yangu huku nikiyarekebisha
maziwa yangu vizuri kisha nikainuka pale kwenye
kochi nakuongoza mpaka chumbani kwa Jerry
nakuanza kubisha hodi mpaka akafungua,
"..vipi unasemaje tena Tina..?" "..am, mh, mh plizi Jerry unaniruhusu
nikakuogeshe...?
"...anhaaa Tina embu acha utani wako huo..."
"...Jerry huniamini, au ndo unaona aibu..?"
Jerry alikuwa hajiamini amini kama Tina mie
naweza nikamuuliza maswali yale na tena nikiwa 'siriaz' kabisa..
"..nikwambie kitu Tina.."
"..yap, niambie Jerry..!"
"..nakuomba, pliiz rudi ukanisubirie sebuleni, nioge
fasta fasta tuondoke..."
Nilimwitikia kwa shingo upande huku nikijirudisha mpaka sebuleni.
Nilikaa kama dakika 2 nzima huku akili ikinihama
kabisaaa, nikaona kama Jerry anachelewa kutoka,
nikarudi tena mpaka mlango wa chumbani kwake
kumgongea.
Nilipiga hodi bila majibu yeyote mpaka nikaamua kuufungua mlango nakuingia kwani bafu na choo
kilikuwepo ndani ya chumba chake 'self
container'..
Niligonga ule mlango wake wa bafuni bila majibu
yeyote. Akili ikanituma nijilaze pale pale kitandani
kwake akitoka atanikuta na lazima kitaeleweka tu. Haikuchukuwa muda Jerry akatoka bafuni..
"..hee, Tina unafanyaje tena hapa..? Inamaana
nilivyokuambia uende sebuleni hukwenda..?"
"..aku.."
"..Tina mie nlishakwambia kuwa ninajiheshimu na
ninamchumba kwanini unanifanyia hivyo lakini..?" Jerry alilalamika mpaka nikaingiwa na moyo wa
kutoka mule chumbani..
"..Jerry wala usiwe na hofu na mie jamani, kwanza
mie mwenyewe nina mchumba na hapa nilipo na
'bleed'.."
"..sawa nimeshakuelewa Tina nenda basi sebuleni.."
Niliondoka nakumuachia uhuru Jerry ili avae
nguo..
Ndani ya dakika kama 7 tayari Jerry alikuwa
ameshavaa nguo tena amependeza, nywele zake
zilikuwa zinang'aa sana na weupe alionao ndio ulionidatisha sana Tina mie..
"..haya nipo tayari sasa Tina twende.."
"..kabla hatujaondoka Jerry pliz nisaidie kitu
kimoja.."
"..kitu gani tena..?"
"..kiss! Jerry kiss yako tu ndo ninahitaji.." "..Haa haa haa hicho ndo unachohitaji..?"
Jerry alikuwa hajanielewa mchezo gani ninaotaka
kumchezea, alinipiga busu la shavuni mpaka
nikajihisi niko dunia nyingine..
"..one more Jerry..(Jerry tena..)"
"..umeshaona raha enhee.." Jerry alinibusu shavuni, nikampa na mdomoni
akanibusu..
"..Jerry naweza na mie nikakubusu..?"
nilimuuliza kiuchokozi
"...yeah"
Nilitumia mwanya huo huo kujifanya kama nammbusu mdomoni, hapohapo nikatoa ulimi
nakumdumbukizia kwenye mdomo wake naye
nikamshuhudia akinipa denda lililonifanya mwili
wangu wote usisimke ghafla huku nikiyafumba
macho yangu nakutoa pumzi ya kimahaba..
Jerry alinogewa na kujisahau, akajikuta amevamia kifua changu nakukusanya maziwa yangu huku
akizipapasa chuchu zangu za mbele..
"..no.. Noo Jerry nipo kwenye 'bleed' usinishike
maziwa yananiuma.."
Nilimwambia makusudi ili nijue kama kweli
kalainika au la! "..Tina unasema..?"
Jerry alikuwa anauliza huku akiongea sauti ya
kimahaba..
"..na leo ataisoma namba, nitahakikisha anakuwa
mtumwa wa mapenzi ghafla, nalitesa kwanza wee
baadaye kabisa ndio nitaliachia linifanye.." Niliongea kimoyo moyo huku nikiendelea
kumtolea macho Jerry ambapo bado alikuwa
ameng'ang'ania matiti yangu..
"..Jerry, nakuruhusu nichezee kuanzia kichwani
mwisho tumboni tu.."
Kabla sijamaliza kusema nilimshangaa Jerry akinitupia kwenye kochi nakuanza kuninyonya
kuanzia masikioni mpaka shingoni huku ulimi
wake akiutelezesha mpaka kwenye kitovu
changu..
"..noo noo Jerry huko sitaki tena acha,
nimekwambia nableed' kwahiyo nishike kote lakini usinishike matiti yangu wala sehemu zangu za
si**.."
Ama kweli na wanaume kumbe dhaifu kama sie
wasichana,
Nilimshangaa Jerry akitamani japo ku sex,
"..Jerry, twende basi ulipotaka kunipeleka tukapate hiyo 'dinner'"
Jerry alinyong'onyea nakukaa kama dakika moja
kisha akachukuwa funguo ya gari na simu yake
kwa shingo upande uku akionesha kutoridhishwa
kabisa na mie,
"..ok, twenzetu" Nilijirekebisha nguo zangu vizuri kisha
nikaongozana na Jerry mpaka kwenye gari yake
nakuingia kisha akaliwasha gari lake nakuondoka.
"...Jerry hujaniambia ni wapi huko tunapoelekea
kupata chakula.."
"..tunaenda pale makumbusho na leo wikiendi huwa kuna 'live band'..
"..ok.."
Saa ya kwenye gari la Jerry ilinionesha imeshatimu
saa 08:14 usiku, tayari tulikuwa maeneo ya
morroco nikaanza kumchokoza tena Jerry.
"..Jerry, nikwambie kitu.." "..yeah, niambie tu.."
"..ujue muda wote kule kwako nilikuwa
nakudanganya, mwenzako hata si bleed.."
"..unasemaje.."
Nikavua kile kipedo changu nakutoa 'pedi' feki
niliyokuwa nimeivaa ambapo ilikuwa haina hata chembe ya damu, kisha nikamuonesha Jerry,
nikaitupa nje huku nijirudishia nguo yangu vizuri
nakumchekea jerry ambaye bado alikuwa kapigwa
na butwaa..

Inaendelea
 
ilipoishia...
"..poleni sana, kwani nani aliyefariki..?"
"..kafariki mjomba wangu kabisa
anaitwa Baba Latifah.. anaishi
magomeni, ngoja nimpigie mdogo
wangu Jerry nimwambie
.

endelea
... Sikuwa najiamini amini kama kweli ndio
nimeshawapa ukimwi ukoo wote au la.
Nilitega masikio vizuri kumsikiliza Biggy akiongea
na Jerry alipomaliza tu kuongea na simu, nilianza
kumdadisi Biggy.
"..kwa hiyo huyo mdogo wako Jerry anaishi mkoa gani sasa..?"
"..wala hata haishi mkoani, yupo hapa hapa Dar,
yeye ananyumba yake huko Msasani.."
Nilishtuka na kukaa kimya huku moyoni nikiguna
guna..
"..Mungu ailaze roho ya marehemu pahala pema peponi.."
"..Ameni."
Akili ya Biggy ikawa imeshamruka, na alijisahau
kama alienda kupokea simu sebuleni huku amevaa
boxer tu, na hata mie nilimfuata na kibikini changu
huku chuchu zangu zikiwa wazi bila hata kuvaa sidiria yeyote.
Tulirudi chumbani kuchukuwa nguo zetu lakini
kwa upande wangu nilikuwa hata sijaridhika na
huyu bonge, hivyo nikaanza kwa kumchokoza
huku nikimrukia mgongoni nakupenyeza mikono
yangu kwenye mjifua wake. "..Gizzle embu tuache bwana, tuangalia hili jambo
lililonifika kwanza.."
"..mh hapana bwana, mwenzako hata
sijatosheka..? japo nishike shike basi nitaridhika.."
Nilimdekea utadhani nimezoeana naye kwa muda
mrefu kumbe tumeonana leo leo.. "..Gizzle..? si unajua leo nilikuwa ofisi, na
nilishakwambia nimechoka sana, hivyo nionee
huruma basi, kwani kesho asubuhi sana mdogo
wangu Jerry atanipitia hapa twende kwenye msiba
Magomeni..
Mapigo yangu ya moyo yakawa yamebadili muelekeo baada ya kusikia jina la Jerry..
"..mie ndio tina, na asipojiangalia hata huyo Jerry
atakuja ku sex na mie kwa mara ya pili bila hata
kujigundua.."
Nilijipa moyo huku mwili ukininyong'onyea.
Nilichukuwa mikono yangu mpaka tena kifuani kwa Biggy huku nikiendelea kuyashika maziwa
yake yalioambatana na minywele mpaka kwenye
kitambi chake.
"..haya tulale Biggy wangu, lala enh.."
Nilianza kwa kumbembeleza huku tukiwa
tumejiegesha kitandani na taa tumeshaizima. Ndani ya dakika kama kumi na tano, Biggy alikuwa
amepitiwa na usingizi na nilichokifanya nilimvua ile
boxer yake nakuanza kumnyonya nanii zake
taratibu huku ulimi wangu nikiupeleka mpaka
kwenye kitambi chake nakuanza kukichezea
kitovu chahe kilichokuwa kimebonyea kwa ndan. Nilimchezea mpaka nanii yake ikasimama, hivyo
nikavua kile kibikini changu nakupanda juu yake
huku nikikatika nakujisikia furaha moyoni
mwangu.
Furaha ilinizidia pale nilipojikuta nakaribia cha
kwanza huku nikizidisha kukatika nakumfanya mpaka Biggy kushtuka..
"..no no Biggy acha, acha usitoe pliiz.."
Biggy alinielewa na yeye akaendelea kukatika
hivyo akanizidishia furaha na hamu mara mbili ya
pale..
"..Ooh Biggy, unaweza, unaweza na pliz nakuomba uwe wangu wa maisha Biggy.."
"..lakini si nilishakwambia nimemchumbia
msichana huko Tanga na anaitwa Mwajabu.."
"..kwahiyo umeshatoa mahali..?"
"..mahali ndio jambo linalofuata, nilituma washenga
wakapeleka barua, nikaitwa nijitambulishe kwao na tayari nimeshapewa masharti ya mahali jinsi ya
kutoa.."
"..sasa kumbe hata mahali hujapeleka, nenda na
kwetu basi jamani Biggy, nakuomba pliz japo
nibahatike kuolewa Gizzle mie.."
Nilimlegezea sauti huku nikivuta pua zangu kama zinakamasi vile nakujifanya nimechanganyikiwa.
"..Gizzle, jambo lako ni lakukaa chini nakulifikiria,
na subiri kwanza haya matatizo ya msiba yaishe
kwanza, tutakaa chini nakuyazungumza.
Nilijifanya kumuitikia kwa sauti ya chini huku
nikichukuwa kichwa changu nakukilaza kwenye likifua lake nakupitiwa na usingizi. **** Nilipokuja kuzinduka alfajiri, nilijikuta nipo peke
yangu kitandani huku nikisikia sauti ya Biggy kwa
mbali ikitokea sebuleni wakiwa wanajadiliana.
Hapo hapo halmashauri ya kichwa changu
ikanituma kuwa itakuwa ni Jerry huyo kaja
kumpitia Biggy waelekee msibani. Nikiwa bado nipo kitandani najiuliza nakujijibu
kimoyo moyo mara nikasikia sauti ya Biggy ikiniita..
"..Gizzle..? Gizzle mpenzi,.?"
Nilitamani ardhi ipasuke nakudumbukia,
nilinyamaza kimya bila kuitika mpaka Biggy akaja
mwenyewe chumbani nakuniamsha.. "..Gizzle, Gizzle embu hamka bwana ukamsalimie
mdogo wangu pia ukatengeneze japo chai.."
"..bwana Biggy nimechoka mwenzio.."
Biggy alionesha kukasirika kwa kumkatalia.
"..hapa tu umeanza kuringa je nikikuoa..?"
Biggy aliongea kwa sauti ya chini na ya hasira, mpaka ikanibidi niamke..
"..lakini Biggy..?"
"..lakini nini..?"
"..kweli nikamuone mgeni hata mswaki sijapiga..?"
Nilijitahidi kutoa visingizio lakini ni kama viligonga
mwamba kwa Biggy. Hivyo nikatoka pale kitandani nakuvaa nguo
zangu huku sura nimeikunja mithili ya yule
muimbaji 'bibi kidude'
Hatua mbili tatu nilikuwa nipo sebuleni huku Biggy
akiwa nyuma yangu..
"..haya yuko wapi sasa huyo mdogo wako..?" Niliongea kwa kujiamini huku nikiona hamna mtu
pale sebuleni..
Biggy alifungua dirisha la nje kumchungulia kama
ametoka kisha..
"..huyo hapo nje anaongea na simu.."
Nilijifanya siogopi kitu na mie nikachungulia dirishani ndipo nilipoamiani **** ni Jerry kweli..
Nilitamani niende nikajifiche huko jikoni lakini
nikawa sina tena ujanja kwani hata jiko lenyewe
lipo huko huko upande aliosimama Jerry, hivyo
ikanibidi nikae na Biggy pale sebuleni huku
tukimsubiria.. Haikuchukuwa muda nikaona kitasa
kinafunguliwa, uzalendo ukanishinda nakukimbia
mpaka chumbani kwa Biggy..
"..nilikuwa namtaarifu shangazi wa Mwanza, vipi
bro huyo alioingia ndani kama namfahamu..?"
Nilianza kuishiwa nguvu huku nikitetemeka nisijue nitatokaje..
"...Gizzle..? we Gizzle..?"
Biggy alianza kuniita tena kwa mara ya pili
nakuufanya mwili na moyo wangu kuishiwa
nguvu kwa pamoja.
Ndani ya sekunde chache Biggy alikuwa yupo chumbani,
"..hivi wewe unamatatizo gani? mbona umerudi
tena chumbani?"
"..jamani Biggy mie sijazoea kutambulishwa pliiz"
Nilijifanya kujitetea lakini Biggy hakutaka
kukubaliana na mie kabisa, "..haya tangulia nakuja.."
Biggy akarudi zake sebuleni nilichokifanya
nikuchukuwa kipochi changu nakutoa poda,
lipustiki na wanja, kisha nikajiremba uso mzima
kwa lengo la kujibadirisha lakini nilipojiangalia
kwenye kioo nilibadilika kidogo sana na sivyo nilivyotaka,
"..ah liwalo na liwe bwana mie ndio Tina.."
Nilijipa matumaini nakubeba kipochi changu huku
nikielekea sebuleni huko alipo Biggy na huyo
mdogo wake Jerry.
Kitendo cha kutoa sura yangu tu pale sebuleni kulimfanya Jerry asimame kutoka kwenye kochi
alilokuwa amekaa..
"..Aah Tina? Tina?"
Jerry aliita kwa mshangao huku akinisogelea,
muda wote huo Biggy hakuwa anaelewa chochote
zaidi kutoa macho nakusikiliza. "...Hee shem..? utakuwa umenifananisha, mbona
mimi siitwi Tina?"
Kabla sijamalizia kumjibu Jerry nilishangaa
amenipiga bonge la kibao nakumfanya hadi Biggy
naye asimame kwa mshangao..
"..Jerry..? Jerry? vipi tena mdogo wangu? umechanganyikiwa? mbona sasa unampiga shem
wako?"
"..Bro huyu demu ni nyoka? tena yule mwenye
sumu kali..? yeye ndio chanzo cha msiba wa Baba
Latifah.."
"..lakini si nimemsikia akisema kuwa umemfananisha? we unajua mie nimemtolea
wapi?"
Biggy alianza kumsema mdogo wake huku
akimpandishia sauti ya ukali akinitetea.
"..We Gizzle? unamfahamu huyu mdogo wangu au
marehemu Baba Latifah..?" Aliniuliza Biggy huku nikibaki nakigugumizi
kutokana na Jerry kunitolea macho kisha
nikamjibu.
"..unasikia Biggy, kwetu tupo mapacha mimi na
mdogo wangu anaitwa Tina anasoma pale Cbe.. na
nimefanana naye kisura hata ukituona japo maumbo siyo sana, sasa namshangaa shem Jerry
kunipiga vibao.."
Niliongea kwa kujiamini huku nikitoa machozi
yakujilazimisha nakumfanya Jerry awe na huzuni
ghafla.
"..Shem? samahani nakuomba unisamehe kwa nilichokifanya kwako muda si mrefu, ila mdogo
wako huyo Tina anamakosa sana.."
Sikuamini macho yangu, Jerry alinipigia magoti
huku akiniomba msamaha kisha akampigia goti na
kaka yake 'Biggy'.
"..Shem, nimeshakusamehe, ubarikiwe na Bwana.." Nilimjibu Jerry kwa kujiamini kisha.
"..Biggy pliz nakuomba ukanichukulie biblia yangu
niliiacha jana kwenye gari lako.."
Kwa asilimia zote Jerry akawa ameshaamini kuwa
amenifananisha hata Biggy alipotoka nje kwenda
kunichukulia Biblia yangu, Jerry alikuwa ananiangalia kwa jicho la uogo huku akionesha
kutetemeka.
Biggy aliporudi niliichukuwa ile biblia kisha
nikafungua kurasa za ndani halafu.
"..Shem? Biggy? tufumbeni macho tusali kabla
hatujaondoka.." wote wakafumba macho.
"..Baba katika jina Yesu, nasema ahsante Bwana
kwa kutuamsha salama, baba tunamtanguliza
ndugu yetu 'Baba Latifah' weza kumpokea Bwana.
Tusikilize somo katika, Mathayo sura ya kumi na
tatu mstari wa kwanza mpaka wa sita.. 'Bwana asema, kheri wao wamcha Mungu maana
watauona ufalme wa mbingu, na bora mtu yule
alitangazae neno la Bwana kila pahali kwani
atabarikiwa na kujazwa nguvu..,
na hilo ndilo neno la Mungu.."
"..Amen.." Wakaitikia wote Biggy na Jerry kisha baada ya
hapo tukatoka wote nakuelekea kwenye
mgahawa tukapata chai na baada ya hapo safari ya
kuelekea Msibani huko magomeni mwembe chai
ikaanza,
Tulipokaribia kufika nikaanza visingizio, "..Biggy nimesahau kukwambia kitu, nilipewa hela
za matumizi nyumbani nimpitishie pacha
mwenzangu 'Tina' pale Cbe.."
"..ok, kwakua hakuna foleni kwa sasa, wacha
tukukimbize then tutarudi wote.."
"..itakuwa vizuri tu.." Jerry alikuwa kimya tu huku akiangalia nje,
ndani ya dakika kumi na tano tulikuwa getini pale
Cbe huku wakinishusha kisha Biggy akanipa
shilingi elfu ishirini..
"..Haya Gizzle hiyo utamuongezea huyo Tina, pia
ufanye haraka kidogo, si unajua bado hatujafika hata msibani.."
Aliongea Biggy kwa sauti ya kawaida na
yakubembeleza.
"...narudi sasa hivi, hiyo Biblia yangu niwekee
vizuri.."
Niliongea kwa maringo huku nikitokomea ndani mule chuomi Cbe.
"..mh, wangejua Tina mwenyewe ndio mimi..?"
Nilifika hosteli kisha nikamtumia meseji Biggy,
'NENDENI TU KWANI TINA MWENYEWE
ANAYEPELEKEWA HELA NI MIMI..'
Nikaizima simu kisha nikabadilisha nguo zangu nakujitupa kitandani huku nikiutafuta
Itaendelea..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom