ilipoishia...
Ilinichukuwa karibu dakika ishirini
nzima kujiandaa tu.
Nilipomaliza nikaenda kupanda
daladala ya kuelekea magomeni
kwenye msiba wa Baba Latifah.
.
endelea...
Mwendo wa dakika kumi na tano ulinitosha kabisa
kufika mpaka magomeni mwembe chai ambapo
niliposhuka tu nikaulizia maeneo ambapo kuna
msiba nakuoneshwa.
Akili yangu ilikuwa ikinicheza kwa muda wote na
hata nilipofika nilipishana na Biggy bila yeye kunitambua moja kwa moja nikaelekea mpaka
kwa akina mama wenzangu ambapo nilijifanya
kimbelembele kusaidiana nao katika kuandaa
chakula huku nikichukuwa ungo tayari kwa
kupepeta mchele.. ***** Ndani ya masaa matatu kila mmoja alikuwa
ameshakula huku nikipata nafasi ya kuuona ukoo
wote wakina Biggy.
"..kumbe ukoo wakina Biggy wazuri kiasi hiki..?"
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimtolea jicho
mkaka mmoja aliyekuwa karibu na Jerry. Weupe wake ulinifanya hata nisimwache kwani
tayari alikuwa katika hesabu zangu kichwani.
Hatimaye ukafika muda wa kwenda kuzika, na
kwakuwa katika ukoo wa kina Biggy ni Baba
Latifah pekee ndiyo alikuwa amebadilisha dini
nakuwa muislamu. Watu walikuwa ni wengi sana wakiomboleza huku
Tina mie nikiwa katika orodha hiyo hiyo, muda
wakwenda kuzika walitakiwa wanaume pekee
wakazike hivyo nilitumui kila njia niweze kuonana
na yule mkaka aliyekuwa amevalia tisheti ya msiba
yenye picha ya Baba Latifah, nilifanikiwa kumpata kabla hawajapanda kwenye basi kwenda kuzika..
"..Sorry, naomba kuuliza kitu"
Ndani ya muda mchache nilikuwa nimeshamshika
mabegani huku akinitolea macho..
"..uliza tu..?"
Nilibaki kigugumizi huku nikijiuma uma nisielewe nitamwanzaje..
"..am mh mh nilikuwa na mimi naomba hizo tisheti
za msiba.."
Ile nammalia tu kumwambia, jicho langu moja kwa
moja likakutana na Jerry akitufuata mpaka eneo
tulilopo.. "..Steve vipi? tunachelewa na kule kuna gari ya
wanandugu embu twende tukapande.."
Aliongea Jerry akimwambia Steve na hapo hapo
nikajua kumbe anaitwa steve.
"..unajua vipi Jerry, huyu dada anaomba Tisheti ya
msiba vipi si bado zitakuwepo.." "..zipo tena sebuleni nenda basi ukamletee fasta
fasta mie nakusubiria naye hapa sawa?"
Nilijihisi kama presha inapanda na kushuka haswa
kila nikimtokea jicho Jerry nilitamani hata asiijue
sauti yangu kwani ningeharibu kila kitu..
"..mimi naitwa Jerrson ama Jerry, sijui wewe unaitwa nani jirani mwenzetu.."
Jerry aliniuliza, nilitamani ardhi ipasuke
nidumbukie, kwani anaijua vizuri sana sauti yangu
hata nikikohoa., nilijikaza na kuongea sauti ya besi
kidogo..
"..naitwa Asia.." "..sijakusikia vizuri unaitwa nani?"
"..nimesema naitwa Asia?"
Masikini sikujua kumbe nilivyomwambia mara ya
pili nilijisahau nakutoa sauti yangu..
Nikiwa bado katika hali ya uwoga nakutojiamini
amini mara Steve akatokea.. "..nimebahatika kuipata hii hapa, haya Jerry
twende zetu"
Steve akimuamrisha Jerry baada ya kunipatia
tisheti, Jerry alisita kuondoka.
"..haya Asia, ngoja tukazike tunarudi muda sh
mrefu.." "..hata mkirudi mimi ndio Tina hamnipati na huyo
Steve lazima awe kwenye orodha ya kunifunua
chupi yangu nakuninanilii.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikiichukuwa ile
tisheti nakurudi ndani.
Muda wote akili bado ilikuwa haijakaa sawa, ule ugonjwa wangu wakumpenda mtu mpaka
nahakikisha nampata, bado ulikuwa unatawala
ndani ya ubongo wangu.
Matamanio yangu yote nikumsubiri Steve mpaka
watakapotoka kwenye kuzika kieleweke.
Ndani ya Masaa mawili na nusu tayari wote walikuwa wamesharudi, nilijitahidi sana kumtafuta
Steve mpaka nikampata,
"..poleni nakuzika.."
Nilimwambia Steve kwa jicho la uchokozi..
"..usijari tumeshapoa na inshallah tumemaliza
salama kumzika kaka yetu mpendwa.." "..kwahiyo kuondoa matanga lini?"
Nilimuuliza kichokozi nakumsikia atasemaje.
"..dah hapa kwa mimi itanibidi niondoke leo leo
kwangu kwa maana nina mlundikano wa mikazi
ofisini.."
Nilifurahi kimoyo moyo huku roho yangu ikifurahi nakujiwekea uhakika..
"...kwani huko kazini ni mbali na nyumbani?"
nilijikuta nimoropoka tu hilo swali nakufanya Steve
ashtuke..
"..naishi Bagamoyo nakazini ni huko huko na
itanibidi nitoke na mke wangu usiku huu.." Nikiwa bado kwenye maongezi na Steve mara Jerry
akatokea tena na safari hii alikuja na Biggy mpaka
eneo tuliokuwa tumesimama na Steve kisha,
"..Biggy Asia mwenyewe niliokuambia huyu
hapa..? Mwili wote ulianza kunitetemeka huku lile baibui
nililolivaa nikihisi kama linaniletea fukuto la ajabu
haswa alipoongea Jerry.
"..Steve? unamjua huyu mama?"
Aliongea Biggy nakuniacha kwenye fumbo huku
nikiamini Tina mie leo utakuwa mwisho wangu. "..ndio namfahamu, si anaitwa Asia?"
",ahaa, kama unamfahamu ni vyema kwani
tulimfananisha na binti fulani.."
Kabla Biggy hajamalizia kuongea nikazuga
nimechukizwa na maneno yake yakufananishwa.
"..Steve? safari njema, wacha nijirudishe makwetu hapo jirani.."
Nilimwambia Steve makusudi ili tu nione kama
kweli mwanaume kweli atawaacha wenzake
nakunifuata.
"..ok, wacha nikusindikize mpaka hapo juu.."
Aliongea Steve kwa sauti ya chini kidogo nakuwaacha Jerry na Biggy wakimshangaa kwa
kitendo alichofanya.
"..na leo leo lazima kieleweke, simwachi
mwanaume huyu, na hivi alivyo mweupe?"
Niliusemea moyo huku nikiushika mkono wa Steve
mpaka hatua kama kumi na tano, tukakatisha uchochoroni na hapo ndipo ikawa nafasi yangu ya
kujidai Tina mie.
"..Steve, umesema unarudi na mke wako leo leo
huko Bagamoyo?"
"..ndio, kwani kama kuzika tumeshazika leo,
kwahiyo sioni kitakachoendelea kuniweka hapa wakati mikazi kibao inanisubiria.."
Nilijitahidi kumbembeleza Steve abaki japo nia
yangu kubwa alikuwa haielewi, ndani ya muda
mchache tena tukiwa katika maongezi mke wake
Steve akampigia simu.
"..mke wangu kanipigia simu kaniambia kunakikao cha wanandugu cha kumalizia msiba,
hivyo wacha niende, nipe namba yako ya simu
nitakutafuta siku nyingine.."
"..Steve, hata usijari, namba yangu nimeisahau
kichwani na simu niliacha kwenye chaji nilikuja
hapa kwenye msiba, lakini usihofu ngoja.." Alinisubiri nikaenda kwenye kiduka cha jirani
nakuchukua kalamu na kikaratasi..
"..haya nitajie namba yako?.."
Nilichukuwa namba yake ya simu nakutokomea
zangu huku nikijipa asilimia zote nitamnasa tu. ****** Usiku kutwa sikupata usingizi huku nikifikiria ni
njia gani nitaitumia kumpata huyu mwanaume
Steve.
Ilipofika saa saba za usiku nilichukuwa simu yangu
nakumpigia, simu iliita bila kupokelewa, nilijaribu
mara mbili tatu mpaka akapokea.. "..Hallow Steve?"
"..yeah, niambie naongea na nani?"
"..mh mara hii hata sauti yangu umeshaisahau?
naita Asia"
"..anhaa, nimeshakukumbuka, upo?"
"..nipo nipo tu, usingizi hata haupandi, nipo hapa Mwenece Grocery hapa mitaa ya magomeni
usalama, niko peke yangu tu napoteza mawazo na
uchovu niliokuwa nao, karibu tujumuike?"
Nilimtega kwa makusudi..
"..dah, umesema wapi?"
"..kama unakuja ukifika magomeni usalama nishtue.."
"..hapa kwenye msiba, kila mtu kalala hamna
chochote vinywaji haswa mlevi mie, ngoja niwashe
gari langu, nipe dakika kama kumi tu.."
Furaha ya ajabu ilitawala ndani ya moyo wangu,
sikutaka kuchelewa fasta fasta nikavaa kimini changu na blauzi ya pinki nakuchukuwa pochi
yangu huku nikiiweka ile dawa yangu ya usingizi
ninayoitumiaga kwa wanaume sugu ndani yake.
Dakika tano zilinitosha kufika hapa Mwenece na
Taksi na ilikuwa ni 'night pub' nikatafuta enen
lililojificha kidogo kisha nikaagiza kinywaji. Haikupita muda Steve akanipigia simu, haraka
haraka nikaipokea.
"..enhe umefika wapi?"
"..nipo hapa magomeni usalama kwenye hiyo
grocery uliyoniambia.."
"..Mwenece?" "..ndio mwenece grocery"
Nilitoa macho huku na kule sikumuona ikanibidi
niinuke nakuwafuata..
"..Njoo niko hapa Asia.."
Niligeuza jicho langu nakumuona Steve akiwa na
Jerry na Biggy... Akili ilizidi kunichemka huku nikibaki natetemeka
mwili mzima, nilichokifanya nilijiangusha makusudi
huku nikijifanya mtu mwenye kifafa kwa
kutapatapa,
"...Steve ona sasa? Umeyataka mwenye, si
tunakuacha" Aliongea Jerry huku akimshika mkono Biggy
nakutaka kuondoka naye.
Nilizidi kutapatapa huku na kule pale chini huku
chupa za soda,glasi na bia zikinimwagikia.
Ndani ya dakika kama tano tayari umati wa watu
na wahudumu wa baa hii walikuwa wameshafurika huku Steve akinishikilia mikono
kwa nguvu.
Mate mengi niliyokuwa nimeyatoa pembeni ya
mdomo wangu huku macho yangu nikiyageuza
nakuyatunisha mithili ya mtu aliyekabwa na mfupa
wa samaki. "..Asia, Asia..?"
Aliniita Steve kwa sauti ya ukali nakufanya ule
umati kuendelea kupiga makelele..
"..nipe maji, nipeni maji ninywe..?"
Nilijifanya nimezinduka kutoka katika
kuchanganyikiwa huku nikijifanya kuyazungusha macho kwa hisia kali..
"..Asia? Nini tatizo jamani?"
Steve aliendelea kuniongelesha kwa huruma, akili
yangu ilikuwa ni kuwaangalia Jerry na Biggy kama
watakuwepo bado katika huu umati uliokuja
kuniona. Nilitizama bila kumuona cha Biggy wala huyo Jerry
zaidi ya kushikiliwa na Steve huku akiyafungua
maji nakunipa niyanywe.
Baada yakunywa tu maji.
"..Steve nisamehe jamani..?"
"..nikusamehe kwakipi tena Asia..?" "..kwa kilichonitokea kwani kila inapofikaga tarehe
hizi huwa nadondoka kifafa.."
"..Usijari Asia, hali kama hiyo mbona niyakawaida,
kwani hata na mke wangu anamatatizo hayahaya"
Niliguna kimyakimya huku nikimwangalia kwa
jicho lakutia huruma nakufanya ule umati uliokuwa ukinishangaa ukasambaratika wote hadi nikabaki
mie na Steve pale.
"..wenzako wako wapi sasa?"
nilimuuliza Steve kwa makusudi..
"..achana nao? Ujue nilikuja nao hapa kwa lengo la
kunisindikiza kwani sijazoea vizuri maeneo ya huku Dar, sasa tatizo lakudondoka lilivyokutokea
nikashangaa wamenikimbia..?"
"..usijari Steve yatakwisha tu.."
Nilijikamua machozi bandia huku nikivuta kamasi
zangu mithili ya mtu aliyepatwa na mafua ya ghafla.
"...Asia, embu acha kulia bwana, ujue mie sipendi kabisa kuona mtu ananyanyapaliwa kisa ugonjwa
kama huu ambao unao wewe na mke wangu.."
Kimoyo moyo nilibaki nikijichekea huku nikifuta
mchozi feki taratiiibu..
"..Steve? Mpaka sasa nashindwa hata nikushukuru
vipi?" "..usijari Asia hayo mambo madogo tu, embu
twende kwenye gari nikirudishe kwako, si kule
kule maeneo ya msibani?"
"..ndio..!"
nilimwitikia Steve huku akinishika mkono wangu
nakuongozana naye mpaka kwenye gari lake alipolipaki.
"..na hapa kwenye gari simwachi, mbona atajuta
kuzaliwa au kukutana na Tina mie?"
Niliusemea moyo huku tukiingia kwenye gari lake
kisha kabla hajaliwasha gari tu.
"..no, no Steve?" nilimzuia kuwasha gari huku nikiuchukuwa
mkono wake ambao tayari ulikuwa umeshikilia
funguo za gari..
"..nini tena Asia..?"
"..nikuulize kitu?"
"..uliza tu?" "..leo mwili wangu nausikia wamoto kweli haswa
baada yakudondoka pale chini, nashangaa ute ute
katika sehemu zangu za siri, kwani hata mkeo hali
hii humtokea anapoangukaga?"
"..mh, hajawahi hata kuniambia wala kumtokea
ndio nasikia kwako?" "..embu nipe mkono wako?"
alinipa mkono wake na ndio ukawa mwanya
kwangu kwani niliuchukuwa nakuupenyeza
mpaka sehemu zangu za siri huku Steve
akitetemeka nakupumua juu juu.
Nilijikaza nakutoa sauti ya kimahaba huku niking'ang'ania kumvua suruali yake.
Steve alilegea nakuvua nguo yake tena kwa
papara akaniwahi juu juu nakuniingizia nanii yake.
Utamu ulituzidia nakujikuta Steve anaanzisha tena
raundi ya pili,
Akiwa anajiandaa kwa mara nyingine tena, ghafla tukasikia sauti inatokea siti ya nyuma tena
inafanana na ya Jerry..
"..Steve..? Steve my brother? Jana tu, tumemzika bro
kwa kosa la huyo huyo mpuuzi, na tulishakwambia
kuwa ameathirika, ona sasa umeshaingia mkenge..
Wote tumekuwa safari moja.." *****