Play Gal ( Tina zoa zoa)

Play Gal ( Tina zoa zoa)

Ilipoishia...
Nikiwa bado najiuliza mara mwanga
mkali wa gari ukanimulika nyuma
yangu huku ukiambatana na mlio mkali
wa honi..
"..umetoka? hujafa enh..?"
'
endelea...
Nilitamani nirudi tena kwa mara ya pili ndani ya
maji lakini ikawa sina tena jinsi zaidi ya kujiamini
huku nikiongoza kuufata ule mwanga wa gari..
"..mtakufa nyie sio Tina mimi.."
Nilijisemea kimoyo moyo tena kwa sauti ya chini
chini na ya magambo huku nikijiamini mpaka nikafika lile eneo.
"..kweli nimeamini wewe mwanamke shujaa..?"
Niliguna na kumuangalia yule mtu aliyekuwa
ananiongelesha huku kalipaki gari nakunimulika
na mwanga wa ile gari.
"..Vonso..? umefuata nini huku tena? au wamekutuma? kwanza wako wapi?"
Mwili ulianza kuishiwa nguvu baada ya kumuona
Vonso tena akiwa na taksi pamoja na dereva taksi..
"..Tangu walipokuleta kule Sinza nimekuwa
nikikuonea sana huruma, na mbaya zaidi
ulipoletwa humu baharini ndio kabisa nimeumia.." "..Kweli Vonso..?"
Nilikuwa kwanza sijiamini amini kama kweli
naongea na Vonso yule alionileta huku pamoja na
wakina Biggy na Jerry, kwani alionekana kuwa na
huruma sana na mie.
"..sasa Vonso nguo zangu ziko wapi?" "..nguo zako, kina Biggy na Jerry walimpa mtu pale
hostel kwenu apeleke mpaka bwenini kwako.."
"..hadi na chupi?"
"..vyote"
Nilizidi kuishiwa nguvu huku nikijishika sehemu
zangu za siri nikizificha na kuachia maziwa yangu wazi kabisa.
"..Tina? usijari nimewaacha wamerudi msibani, ila
nakuomba ingia kwenye gari nikupeke mpaka
kwangu kwani mke wangu kaenda kwao na
watoto na kwa sasa naishi peke yangu, kwakuwa
sasa ni usiku sana hivyo twende nikakupatie japo khanga halafu nitakurudisha hadi chuoni kwenu.."
Vonso alionesha kuwa na huruma sana na mimi,
mwanzoni nilisita lakini kwakuwa nilikuwa uchi,
haikuwa na jinsi nikaingia ndani ya gari na safari
ikaanza yakuelekea mwananyamala anapoishi
Vonso. Nilikuwa nimekaa siti ya nyuma na Vonso alikuwa
mbele na dereva, muda wote nilikuwa kimya huku
mawazo tele yaliombatana na dukuduku moyoni la
kisasi kwa Biggy na Jerry.
Mwendo wa nusu saa ulitosha kutufikisha
Mwananyamala kwani hakukuwa na foleni njiani. Vonso aliingia ndani kwake nakutoka na khanga
mbili ambapo nilivalia kisha..
"..ahsante sana Vonso kwa moyo wa huruma
uliouonesha kwangu, nakuomba unirudishe basi
chuoni.."
Vonso aliniangalia kwa jicho matamanio huku akiwa hajiamini amini.
"..no no Tina, kwa sasa huwezi kurudi ukiwa
katika hali hiyo, pili Jerry anahasira sana na wewe
na lazima ataenda tena chuoni kwenu ndivyo
alivyoniambi.., hivyo wewe dereva chukuwa hela
yako hii hapa, ntakutafuta tena kesho.." Maneno aliyokuwa anaongea Vonso yaliniingia
akilini.
"..haya twende ndani"
Nilijikuta naogopa hata kukaa pale nje hivyo
tukaingia mpaka sebuleni kwake Vonso.
"..Vonso pliiz nihakikishie usalama wangu kwanza, hapa wakina Jerry hawawezi kuja?"
Hofu nilikuwa nayo lakini nikajipa moyo kuwa
liwalo na liwe..
Vonso bila hata ya kuniuliza, alikimbilia moja kwa
moja mpaka nje kisha akarudi na chipsi mayai na
maji makubwa. "..Tina hapa jisikie upo nyumbani, karibu ule.."
Aliniambia Vonso huku akifungua vizuri mfuko
nakuziweka zile chipsi vizuri kwenye sahani..
Njaa kali nilikuwa nayo nilijikuta nafakamia zile
chips kisha nikashushia na maji.
"...asante sana Vonso.." Vonso alikuwa bado ananiangalia juu mpaka chini
kisha akanifuata hadi kwenye kochi nililokuwa
nimekaa peke yangu..
"..Tina twende tukalale chumbani kwangu..?"
"..usijari Vonso hata hapa hapa sebuleni
panatosha, we kalale tu" Niliongea kwa kujiamini japo nilishamuelewa
Vonso nia yake.
Vonso hakutaka kukubaliana na mimi kabisa hapo
hapo akauchukuwa mkono wake nakuanza
kuupenyeza katikati ya mapaja yangu..
"..Tina, nataka tufanye kama tulivyofanya mchana.."
Vonso aliongea kwa sauti ya chini na
yakubembeleza..
"..hapana? siwezi Vonso, kwanza nimechoka sana
leo..?"
"..wote tumechoka, nielewe Tina jamani..?" Vonso alilegea hadi nikaingia moyo wa huruma wa
kumuachia mwili wangu..
"..haya kazime taa kwanza..."
Haraka haraka Vonso aliinuka kwenye kochi
nakwenda kuizima taa, mara simu yake aliisahau
kwenye kochi ikaita, jicho langu moja kwa moja likakutana na jina na namba ya Jerry...
"..embu niangalizie nani huyo anapiga?"
Vonso aliongea kwa kujiuma uma kabla hajaizima
ile taa.
"..jina, inaonesha Jerry 'Boss'"
"..kata, halafu izime kabisa hiyo simu.." Woga na tamaa katika mwili wangu aliyokuwa
Vonso vilimfanya azime taa haraka haraka huku
akinifuata mpaka pale kwenye kochi nilipokuwa
nimekaa, aliichukuwa simu yake nakuitupilia
pembeni kisha akanikumbatia huku akipapasa
mikono yake juu ya kifua changu, japokuwa nilikuwa nimechoka lakini niliapa hata
huyu Vonso simuachi lazima aingie kwenye kundi
moja na wakina Biggy na Jerry kwani Vonso
anajifanya anatamaa sana ya kufanya ngono.
Kwa muda huu Vonso bado alikuwa kanogewa na
mwili wangu kwani alikuwa akizitekenya chuchu zangu nakuzinyonya kwa papara..
"..Vonso Stoooop.."
Alibaki kaduwaa huku anahema juu juu
sambamba nakunitolea macho.
"..where is Condom Vonso?"
Alibaki nakigugumizi huku akionekana kama kuyeyuka ovyo kama barafu inapochanganywa na
maji.
"..am mh mh mh, usijari kondomu zipo chumbani
kwangu.."
"..sasa kama ziko huko chumbani kwako ndio
huwezi kuzifuata au? yaani unipe nyege sebuleni then ukaninanii huko chumbani, kwahiyo mimi
umeniona kama malaya si ndio Vonso ?"
"..aah ah hapana bwana Tina, haya ngoja niende
nikazichukue.."
"..ufanye haraka na ukichelewa kurudi hunikuti
tena hapa sebuleni kwako..?" Vonso alitoka spidi ya hali ya juu na ndani ya
dakika chache alirudi mpaka sebuleni.
"..aina gani ya kondomu hiyo?"
"..ahh Tina hizi zinaitwa Familia.."
"..kwahiyo tunapanga uzazi wa mpango hapa?
kwani umenioa? tuna watoto? sasa hiyo mikondomu yako kairudishe chumbani kwako
umsubiri mkeo muendelee kupanga uzazi wa
mpango sio Tina mie.."
Nilimkazia jicho Vonso haswa hadi akajiona kama
hana bahati na mimi alinisogelea karibu huku
akionesha ishara kama ya kunibembeleza. "...usiniguse Vonso? niacheee?"
Vonso alizidi kuwa mdogo kama vile anaugua
homa kali tena ile yakulegea na kuetetemeka mwili
mzima.
"..Vonso, nakuomba unijibu swali moja.., kesho
watazika wapi huo msiba wa Baba Latifah..." "..nilisikia wakisema kuwa watazikia makaburi ya
kinondoni.."
"..saa ngapi?"
"..kwa muda bado sijajua.."
Vonso bado alikuwa hajiamini amini hata hivo
nilimuonea huruma nikamvua suruali yake kisha nikamalizia na chupi,
nilivua blauzi yangu nikamalizia na sidira huku
matiti yangu yakijidondokea, Vonso aliyawahi
nakuanza kuyanyonya tena.
"..haya Vonso nimekubali nakukuamini chukuwa
mwili wangu naufanye utakavyo lakini fanya kavu kavu hiyo mikondomu yako inaharufu kali sana.
"..sawa usijari Tina.."
Vonso mwanaume huyu kwejh alikuwa
amekamilika kila idara kwani alikuwa na nanii
kubwaa lililofanya niumie sana kwa papara zake
alizokuwa nazo. Ndani ya muda mchache nilikuwa na maumivu
makali katika mwili wangu na hii yote imetokana
na sex ya huyu Vonso.
Tulipomaliza tu chakwanza sikutaka hata
kuendelea, tulilala.
Asubuhi namapema Vonso alikodi taksi mpaka chuoni kwetu,
Mshipa wa aibu niliuweka pembeni Tina mie,
nikashuka na mijikanga yangu hivyo hivyo mpaka
bweni.
Niliingia bafuni nikaoga fasta fasta, hakukuwa na
pochi yangu wala nguo walizozileta hapa, Kilichoniuma ni simu yangu tu iliyokuwa kwenye
hiyo pochi..
"..ama zangu ama zao..?"
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikivalia baibui
langu lenye kunifunika mpaka usoni nakuachia
eneo la macho tu. Ilinichukuwa karibu dakika ishirini nzima
kujiandaa tu.
Nilipomaliza nikaenda kupanda daladala ya
kuelekea magomeni kwenye msiba wa Baba
Latifah.

.
Inaendelea…
 
Isije kuwa zoa zoa yupo humu maana kitu inauhalisia kabisa hongera sana mtunzi
 
Hivi uyu Tina zoazoa kama hatokuwa na disco basi atakuwa na supplementary masomo yote khaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom