tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 21,921
- 18,373
Wanaukumbi.
Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.
Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.
Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.
sasa kufukuzwa kwa huyo mwizi kutasaidiaje kurudisha fedha za wananchi? mpuuzi mkubwa sana wewe dada Ritz?
Last edited by a moderator: