Plasidus Luoga afukuzwa kazi TRA kutokana na sakata la Escrow

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,290
2,000
Wanaukumbi.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.

Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.

Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.
 
KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,832
1,195
Asante kwa Taarifa Ritz
Kuwajibika au Kuwajibishwa
kusiishie kwa watendaji wa chini mbona wengine munawatetea?
 
East African Eagle

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
3,761
1,195
Wanaukumbi.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.

Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.

Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.
Acha uongo Luoga alishaondoka TRA Kwa kustaafu kabla ya Hii escrow acha uzushi
 
MBATATA

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
544
225
Kafukuzwa kazi? Ndio utaratibu wa serikali huo? Yaani mtu akikutwa amepata pesa nyingi basi anafukuzwa kazi halafu? Msishangae akatumia hela hizo hizo kugharamia kumshtaki mwajiri na akalipwa fidia mara dufu! Stupidity!
 
Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
7,004
2,000
Wanaukumbi.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.

Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.

Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.
Amefukuzwa vuipi nkazi wakati alishastaafu miaka kadhaa iliyopita? Au alirejeshwa kwa mkataba?
 
kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,727
2,000
Amefukuzwa vuipi nkazi wakati alishastaafu miaka kadhaa iliyopita? Au alirejeshwa kwa mkataba?
Acha uongo Luoga alishaondoka TRA Kwa kustaafu kabla ya Hii escrow acha uzushi
Mbona huyu jamaa alishastaafu mbona.
Ebu tupeni ufafanuzi vizuri juu ya hii hoja yenu, ninachojua mimi huyu mtumishi ametajwa katika ile Report ya CAG na isitoshe ametajwa kama mtumishi wa TRA inamaanisha CAG amekosea au huyu alikuwa ni miongoni mwa watumishi hewa pale TRA ni vema tukalijua hili na kupata uhakika juu ya hizi hoja zenu.
 
DoubleOSeven

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
661
0
Wanaukumbi.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.

Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.

Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.
... Huyu keshastaafu au anafukuzwaje tena?
 
Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
18,646
2,000
Anna Tibaijuka aliyewekewa bilion anapeta tu,huyo wa mamilion ndo afukuzwe jamani
 
masopakyindi

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
14,803
2,000
Wanaukumbi.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.

Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.

Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.
Mkuu nafikiri, pamoja na malumbano bungeni, somo limeeleweka serikalini.
Lakini jiridhishe kwanza kama bado alikuwa TRA.

RUSHWA!
Wengine watafuata baada ya malumbano.
 
Dawa ya Mjinga

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
382
195
Wanaukumbi.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.

Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.

Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.

Wanaweza kuwa wanamtuhumu kupewa rushwa. Hata kama ni fedha binafsi, ikitolewa kama rushwa ni kosa. Ngoja tujue ukweli wake. Anaweza pia kuwa kondoo wa kafara ili kuwafanya wadanganyika wasifuatilie tena waheshimiwa. Ni hatari kubwa isiyo kifani kwa wafanyakazi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom