Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,530
Mkuu Ritz mshauri Baba yako, najua una-access naye muda wowote na unaweza kumweleza, mwambie aamuru viongozi wote wa kisiasa waliotajwa waachie ngazi!

Nasikia ile mitambo ni mtumba na wamenunua kwa tsh 15,000.Sina ushahidi
lakini ni mwehu pekee anaweza kuamini kwamba uwekezaji wa pale ni elfu TZS 50,000.
Wanaukumbi.
Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.
Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.
Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.

Ni pesa ndogo sana hiyo mkuu...haimfikishi popote
Anna Tibaijuka aliyewekewa bilion anapeta tu,huyo wa mamilion ndo afukuzwe jamani
sasa kufukuzwa kwa huyo mwizi kutasaidiaje kurudisha fedha za wananchi? mpuuzi mkubwa sana wewe dada Ritz?
Sina ushahidi
lakini ni mwehu pekee anaweza kuamini kwamba uwekezaji wa pale ni elfu TZS 50,000.
Mkuu naomba kuuliza, hivi hii adhabu ya kuhasiwa kuna nchi yeyote duniani ambako inatumika?sio kufukuzwa tu...... hata kuhasiwa (castration) kuhusike pamoja na kufilisiwa (insolvency) .
Tujadiliane mimi na wewe baba wa nini tena unamjulia wapi mbona mimi sijamtaja mama yako.Mkuu Ritz mshauri Baba yako, najua una-access naye muda wowote na unaweza kumweleza, mwambie aamuru viongozi wote wa kisiasa waliotajwa waachie ngazi!