Plasidus Luoga afukuzwa kazi TRA kutokana na sakata la Escrow

Wanaukumbi.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.

Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.

Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.

sasa kufukuzwa kwa huyo mwizi kutasaidiaje kurudisha fedha za wananchi? mpuuzi mkubwa sana wewe dada Ritz?
 
Last edited by a moderator:
Wanaukumbi.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.

Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.

Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.

Ritz,watanzania kwa upole tulionao ndiyo maana hawa wanasiasa wanatuliza kila siku,viongozi wakuu wakituingiza kwenye HASARA iliyopitiliza.Hivi nivipi tutaweza kutoka hapa tulipo jiwekeza.
 
Siyo Zitto hiyo ni ripoti ya PAC tufahamishe wewe weka na ushahidi waliwekeza kiasi gani?

Sina ushahidi

lakini ni mwehu pekee anaweza kuamini kwamba uwekezaji wa pale ni elfu TZS 50,000.
 
Wanaukumbi.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.

Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.

Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.

Kufukuzwa kwake kazi hakumaanishi hizo pesa ni za Umma, kwa mfanyakazi yoyote wa Serikali hawezi kuingiziwa kipato kisichokuwa na maelezo na ukaachwa kazini,

Wafanyakazi wengi tu wa TRA wamefukuzwa kazi kwa kuchukua Pesa/Rushwa ambazo sio pesa za Umma
 
hahahahahahahahahahahaaaaaaaaaa
 
Wanaukumbi.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.

Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.

Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.
MWONGOZO!
Huyu jamaa hakufukuzwa kazi ila taarifa ziizopo ni kwamba mkataba wake uliisha na mwajiri wake hakumwongeza mkataba mwingine na siyo jana wala leo ni siku nyingi tu, tengeneza santuri nyingine hii ina scrutch sana hivyo rythim ya mziki haina utamu kabisa.
 
Ritz acha uzushi. Kwa taarifa yako Luoga alishaondoka TRA miaka mingi, tena kabla hata ya Kitilya. Sasa hivi ana ofisi binafsi ya Tax Consultation iliyopo jengo la Baraka Plaza.

Reading between the Line ni kwamba unataka kutuaminisha kwamba eti wizara ya fedha ndio imemchukulia hatua kwa sababu tu waziri wa fedha ni wa dini yetu. huna lolote we gamba.
 
Last edited by a moderator:
Wanaukumbi.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.

Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.

Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.

Tukuulize wewe hili swali, ccm hamna msimamo kabisaaaa mara huku mara kule hamueleweki kabisaaaa
 
Wanaukumbi.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.

Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.

Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.

Acha kudanganya umma Luoga alishatoka TRA miaka mitatu iliyopita.
 
Invisible na Mods wengine ondoeni huu uzushi na tusiendelee kuruhusu thread za uongo kwenye jukwaa hili tukufu. Haiwezani mtu anaanzisha thread za uongo kisa mahaba yake kwa mtu fulani
 
Last edited by a moderator:
Acha uongo Luoga alishaondoka TRA Kwa kustaafu kabla ya Hii escrow acha uzushi

Hilo ndilo tatizo letu Watanzania. Tunapenda kusema uongo ili uonekana na wewe unasema yale wanayosema wengine. Hatuwezi kusimamia ukweli hata ikibidi kukataa wengi. Msemo wetu ni: Mkataa wengi ni mchawi.
 
Ebu tupeni ufafanuzi vizuri juu ya hii hoja yenu, ninachojua mimi huyu mtumishi ametajwa katika ile Report ya CAG na isitoshe ametajwa kama mtumishi wa TRA inamaanisha CAG amekosea au huyu alikuwa ni miongoni mwa watumishi hewa pale TRA ni vema tukalijua hili na kupata uhakika juu ya hizi hoja zenu.
Kinachotakiwa ufahamu ni kwamba huyu bwana alishastaafu so mambo mengine sijui.
 
Wanaukumbi.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.

Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.

Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.

mh mkuu asante kwa kuwa mzalendo...
 
Wanaukumbi.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.

Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.

Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.
Kama sii za umma zingekaa BOT?rais angeamrisha zilipwe?mkuu Ritz ccm itakuumiza kichwa bure pesa wanatafuna wao, nyie mnalipwa ujira mdogo kuwatetea mafisadi
 
Last edited by a moderator:
Wanaukumbi.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.

Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.

Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.

Huyu alishastaafu. Wakati anapata mgao alikuwa tayari nje. Ni zawadi kwa kazi ya nyuma
 
Wanaukumbi.

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imemfukuza kazi afisa wake wa TRA Plasidus Luoga kutokana kuwa mmoja wa watu waliochukuwa pesa za Escrow.

Plasidus Luoga,aliwekewa kiasi cha Milioni 121.2 kwenye akaunti yake Mkombozi Benki.

Cha kujiuliza kama siyo pesa ya umma kwa nini serikali imemfukuza kazi.

Tunasubiri papa amfukuze kazi kilaini
 
Back
Top Bottom