Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,402
- 7,310
Uzuri mzuri.. Ila Kuna Kitu 'sijaelewa, hizi ishu za kodi.. Maana jumuiya ya Afrika Mashariki, ilipoanza nilisikia kuwa Kuna ishu ya soko la pamoja.. Ambayo itasaidia kushusha kodi katika nchi za Afrika Mashariki.. Sasa itakuaje ishu ya kodi ni kama vita vile...