Pita hapa kama unataka kujua chochote kuhusu biashara Kampala

Uzuri mzuri.. Ila Kuna Kitu 'sijaelewa, hizi ishu za kodi.. Maana jumuiya ya Afrika Mashariki, ilipoanza nilisikia kuwa Kuna ishu ya soko la pamoja.. Ambayo itasaidia kushusha kodi katika nchi za Afrika Mashariki.. Sasa itakuaje ishu ya kodi ni kama vita vile...
 
Stand hapo
 
Attachments

  • IMG_20170408_083825.jpg
    IMG_20170408_083825.jpg
    170.9 KB · Views: 152
tatizo usawa wa anko magu sio ....tra wanabana sana pale+naul go and return 200000+hotel hapo bado mzigo ila ukiwa na 2 or 3 milions unapiga hela...japo raha ya uganda uende na kuanzia million 3 kwenda mbele ndio utapiga faida.....

Iyo 2 or 3 million iwe ya mzigo tu au mzigo nauli kulala ushuru na kila kitu ?
 
I wish ningempaga mtu anaeishi huko nikafanya nae biashara. Lakini now days uaminifu 0
Usijaribu kuamini mtu tofauti na mama yako dear. Fanya hivi, nenda Kampala, onana na mmiliki wa garment ya nguo, fanya nae biashara, mpeleke linapopaki basi unalotumia, then anza kununua kwa kutuma pesa na yeye anakupelekea mzingo kwenye basi. Mpesa Uganda inafanya kazi kama kawaida na yeye atachange pesa to Uganda shillings, muhimu ufahamu rate exchange iliyopo kwa siku hiyo
 
Hapo suala la ushuru bado Hapo boda
 
Huko naskia ni balaa... Eti dar haikamati hata kidogo kwenye biashara..kuna mtu nilikua namshangaa anatoka dar kwenda kuchkua mzigo kampala...yeye ndo akanishangaa zaid..ipo cku ntaenda kujionea... Naskia hawana mabidhaa feki kama bongo..halafu fashion mpya znaanzia kule eti
kuna haja ya passport kwenda UG ukitokea Tanzania?
 
Ni wazo tu jamani hivi kwanini mtu asianzishe uzi ambao utamuwezesha mtu kuchangia kuuhu jinsi alivyopata mafanikio yake ili wengine wapate kitu ila yawe ya njia halali
ANGALIZO: Huu ni ushauri tu
 
Back
Top Bottom