Sasa kama polisi ndio wanamnail mtu namna hiyo basi tuna kazi ya kupambana na mafisadi kwa kweli. Muro kuna vitu kachemsha na yeye; ni nani aliyempigia simu kumuambia juu ya mkutano wa waandishi wa habari. Hamtaji.
Individual Vs The System .............and the winner is.....................
the winner iz ........(.....)?
huyo huyo ulomfungia kwenye mabano ndo ze wina!!!!
hayo mabano yamekaa kama pingu!
the winner iz ........(.....)?
..Usiniambie pingu ina matumizi mengine mwana...mi nilidhani nikufungia yale mahalifu tu...hebu tujuzane basi wajameni...Nilikuwa sifahamu matumizi yake mengine nami niko mbioni kununua
Hapa napo nimejiuliza baada ya kumsikliza Jerry jana nimeconclude kuwa, bado mazingira yanaonyesha police kuna kitu wamefanya, ila!! Nimejiuliza level ya shule ya Jerry!! Hizi kazi ni kama wamezivamia bila kujua tactcs zake!!Sasa kama polisi ndio wanamnail mtu namna hiyo basi tuna kazi ya kupambana na mafisadi kwa kweli. Muro kuna vitu kachemsha na yeye; ni nani aliyempigia simu kumuambia juu ya mkutano wa waandishi wa habari. Hamtaji.
..Usiniambie pingu ina matumizi mengine mwana...mi nilidhani nikufungia yale mahalifu tu...hebu tujuzane basi wajameni...
alirashidou
alirashidou has no status.
Junior Member
Join Date: Wed Mar 2008
Posts: 5
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
dah!wazee mambo mengine ni kama hayawezekani hivi