Pinda: Wanaopinga kodi ya simu hawana jema


mkuu molemo, mi nadhani tuachane na huo uenyekiti wa uvinza. tujipange kwa uchaguzi ujao ili tuje iongoza hiyo council sisi kama sisi. hayo mafungamano na huyo aliepewa viti maalum na jk siyaafiki kabisa mkuu.
 
Kweli alishasema"wapigwe tu maana tumewachoka" na sisi tunapigwa tu huku tukihamaki tusijue cha kufanya.
 

Mkuu wangu acha tu yaani, tunahitaji mabadiliko ya as soon as possible aiseee,excuse ya kijinga sana eti wanataka kuwapelekea watu umeme vijijini bila hata aibu, vyakula vyenyewe hawana.

Yani hai make sense kabisaaaa hata chembe, kuna namna nyingi sanaaa za kuweza kuwasaidia ila sio kwa namna hii wanayofanya, serikali ndio mwisho wake hapo kufatilia na kuwasaidia wananchi wak, inahuzunisha sana
 
Mbona km kodi tnlipa wakat wa knnua vocha, ukpewa salario wankata, uknunua chochote kile wankata sasa itafkia mahal hata uraia utalpiwa
 
Viongozi wetu wanajisahau saana! Si mnamuona PM mstaafu mwingine i.e. mzee wa ukitaka mafanikio njoo CCM! Sasa yuko upande wa walalahoi! Huyu sijui atakuwa upande gani baada ya miaka miwili ijayo!
 
Sio hawana jema tu, Walipishwe tu, na wakipinga wadaiwe, wasipo lipa wafuatwe hadi mtaani wanapoishi walipe tuu!
 
Huyu mtoto wa 'Mpagazi' ni mtu mmoja very useless person. Uwaziri wake Mkuu hauna maana wala msaada wowote kwa WaTanzania. Ni bora awe anafunga bakuli lake tu kuliko kumwaga upup*u kila mara. Ati naye huyu anajiita 'mtoto wa mkulima'....sssshhh arrgggg...mkulima my foot!
 

Wapigwe tu, tena me nasema wapigwe tu maana tumechoka!
Liwalo na liwe!
 

Liwalo na liwe!
 

Ukweli umenena, tusubiri waliotajwa wajibu....si ajabu kila mmoja wao atakuja na majibu mengine tofauti...watch.
 
Kwa motto ambaye amabahatika kuzaliwa leo na kukua le oleo anaweza akaamini kuwa mpango huu wa serikali wa kutaka kumaliza matatizo ya Umeme, Maji, Barabara na mamabo mengine ya maendeleo ni wa kweli!!.



Lakini kabla sijaanza kubonyeza hivi vitufe nimejiuliza sana, hivi tangu tupate uhuru, Tanzania imepata misaada mingapi kwa ajili ya sekta hizi na imefanikiwa kiasi gani ukiacha hii tunayoipata kupitia mnada giza wa kuiuza Tanzania yetu?!!



Tanzania ni moja kati ya Nchi chacvhe duniani zinazoongoza kupata misaada mingi yenye riba nafuu au mingine isiyokuwa na masharti, lakini ukiangalia kile tunachokipata na kile kinachotumika katika jamii, havina uwiano kabisa!! Sasa tujiulize kama tumeshindwa kufikia malengo kwa matirilioni ya pesa taslimu, Je, tutaweza kumaliza hili kwa kodi hii ya shiulingi 1000 ya kadi ya simu?!

TAFAKARI
 
simu ninunue mimi, line ninunue mimi vocha ninunue mimi na vyote ninalipia kodi wakati wa kununua. Sasa hii tozo ya 1000 kila mwezi ya nini? Mbona majanga
 
Siku 3 za Vitendo: Julai 29 tunagomea (Voda), Julai 30 (Airtel), Julai 31 (Tigo na laini nyingine zote). Tumia nguvu yako ya fedha kulazimisha mabadiliko ya sera. Chomoa SIM Card siku hizo kugomea Kodi hiyo kwa mwezi kutumia line.Gomea Kodi ya SIM CARD: Huu ni mgomo wa mwanzo: Sambaza kwa angalau watu 10!!
 

Mkuu hivi Pinda NI NANI KATIKA TANZANIA?
 
Pinda atabaki kuwa Oinda, sifa aliyopewa na Mh. Sugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…