Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,657
Ni jambo la kushangaza sana January kulalamika kwenye vyombo vya habari. Unafiki tu
Kama kweli Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mnatafuta fedha kwa ajiri ya kuongeza mapato ya kuwa wezesha kusambaza umeme vijijini nashauri serikali iache ubaguzi wa kimatabaka kati kodi ya PAYE.... Wa heshimiwa wabunge wote na baraza lote la Mawaziri nao walipe PAYE kama tunavyo lipa sisi wafanyakazi hohe hahe. Pia walipe withholding tax ( asilimia 15%) kwa allowances zao. Mathalani wabunge wanapokea mshahara wa zaidi ya sh 11,000,000/=. Kila mbunge atachangia sh 3,189,700/= na tufanye bunge letu lina wabunge 345... serikali itakusanya sh 1,100,446,500/= au kwa urahisi ni bilioni 1.1. hiki ni chanzo kabla ya kuhusisha baraza la mawaziri[/QUOTE]
Thubutu!! Mwenye nacho anaongezewa