Pinda: Rais amenipa maagizo mapya

Mh.Lowassa ameshasema serikali ina ugonjwa wa kuogopa kufanya maamuzi magumu,full stop!
 
Kupotezea huyo JAiro sidhani, ila ni jinzi ya kumuisolate atoke peke yake.
waliobakia, yani Waziri, naibu Waziri, Raisi, Wizara nyingine zilizopitisha bajeti kwa pesa, zisifuatiliwe mie ndio naona tutapotezewa. Nivema bajeti zote zilizopingwa na wapinzani, ziangaliwe upya!!!

Ni kweli Rais wetu hayuko serious na maswal makubwa ya Rushwa!
inasikitisha sana lakini ndio ukweli,

Uongozi wa CCM utaponaje?
Masikini,
 
Mimi nionavyo pinda angejiuzuru ili kuonesha kukerwa kwake na jambo hili, la sivyo peoples power!!!!!!
tutaandamana mpaka kielewekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Tunataka Jairo out sasa hivi na ngerengereja wako wote!!!!
 
HTML:
Yaleyale msingenishikilia angenitambua, Pinda ni msanii wa kimataifa anataka tumuone mchapakazi wakati hana lolote mbona rais akiwepo hatujaona ushauri wake.

kwa uelewa wangu ni kwamba, bajeti ni ya serikali, waliotoa rushwa ili bajeti ya serikali ipite ni watendaji ndani ya serikali, anayewakilisha serikali bungeni ni waziri mkuu. sasa serikali inatuhumiwa hapa kupitia watendaji wake. Waziri mkuu anaponaje hapa?
Bado nadhani si katibu mkuu wa wizara peke yake anapaswa kuwajibika, ni mlolongo wote husika lazima uwajibike yaani Katibu, waziri, naibu wake na kwa sababu bosi wao bungeni ni waziri mkuu, na yeye anawajibika kuondoka.
 
Ingekuwa ni nchi za wenzetu hii ni kashfa kubwa by this time watu wangekuwa wameshawajibika
 
Si ajabu kuambiwa Jairo kaenda Marekani, ili baadae tuambiwe amekufa kifo kisichokuwa na mazishi kama Daud Balali!
 
Mimi sishangilii sana Jairo kutimuliwa kazi, hata kidogo.

Imani yangu na nitazidi kuamini hivyo mpaka siku ya Mwisho ni kwamba jairo hakuamka kitandani kwake na kuingia ofisini aandike ile barua.
Kama lilikua wazo lake Binafsi lazima walikaa vikao na kushauriana na waziri husika au mkubwa mwingine.

Kama sio wazo lake ni lazoma alipewa maelekezo na aliye juu yake.

Inaposemekana rais ametoa maagizo mapya nakubaliana mia kwa mia na na hilo kwasababu Ni issue kubwa ambayo hamhusu Jairo peke yake au haimhusu yeye kabisa.

Hivi katibu mkuu ndio anafanya maamuzi ya wizara?
be blessed
na huu ndio ukweli
 
Ni maagizo gani mapya hayo ambayo Pinda hayasemi, halafu kulifanyia kazi maana yake ndio nini na nani analifanyia kazi????
hapo itabidi wah wawe macho maana nshaanza kuona usanii unatakakujitokeza na yeye mkuu wa kaya kwa nini anaondoka uku nyumbani kwake kumeungua..
 
Mimi sishangilii sana Jairo kutimuliwa kazi, hata kidogo.

Imani yangu na nitazidi kuamini hivyo mpaka siku ya Mwisho ni kwamba jairo hakuamka kitandani kwake na kuingia ofisini aandike ile barua.
Kama lilikua wazo lake Binafsi lazima walikaa vikao na kushauriana na waziri husika au mkubwa mwingine.

Kama sio wazo lake ni lazoma alipewa maelekezo na aliye juu yake.

Inaposemekana rais ametoa maagizo mapya nakubaliana mia kwa mia na na hilo kwasababu Ni issue kubwa ambayo hamhusu Jairo peke yake au haimhusu yeye kabisa.

Hivi katibu mkuu ndio anafanya maamuzi ya wizara?

Mkuu mbona unazunguka zunguka mbuyu? just hit a point ina maana Ikulu ndiyo ndiyo alimwagiza waziri Ngeleja atumie njia hii ili bajeti ipite? na ndiyo maana Jairo akaandika dokezo hilo?




 
Pinda amefichua siri kiaina. Inawezekana alimshauri JK nini kifanyike ila Vasco Da Gama yeye amepinga...na ametoa ''maagizo mapya'', tofauti na yale Pinda aliyokuwa anapendekeza yafanyike

Huwa najiuliza sana kama kweli tunahitaji nafasi ya makamu wa kwanza wa Rais.
 
Mimi nionavyo pinda angejiuzuru ili kuonesha kukerwa kwake na jambo hili, la sivyo peoples power!!!!!!tutaandamana mpaka kielewekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.Tunataka Jairo out sasa hivi na ngerengereja wako wote!!!!
Pinda kujiuzulu haiwezi kutokea, ikiwa tu walio chini yake wanatafuta namna ya kujikwamua!
 
jamani hivi mnajua Jairo alipewaje kazi ya ukatibu wa wizara nyeti kama hii?
****** aliuliza swali kwamba nani aligundua umeme,mheshimiwa jairo akajibu haraka na kwa usahihi,hapo hapo ****** akamwambia inabidi nikupeleke ukawe katibu mkuu nishati na madini.

Hivi ndio vigezo raisi wa nchi hii anatumia kumteua mtu kushika wadhifa mkubwa serikalini

****** ni zaidi ya umjuavyo!!!
 
Pinda ashukuru kwamba hapa JF kuna sheria na ban, otherwise baada ya kusoma hapa ningeporomosha matusi yangu yote kwake! Nimekereka first class. Sidhani kama...bora nisiendelee
 
Kiini macho hicho,kama watachukua hatua watamwamisha wizara nyingine.
Na sisi wa tz matatizo yetu tunasahau mapema,pindi tunasahau anapewa wizara nyingine.
end of story.
 
Pinda ashukuru kwamba hapa JF kuna sheria na ban, otherwise baada ya kusoma hapa ningeporomosha matusi yangu yote kwake! Nimekereka first class. Sidhani kama...bora nisiendelee
Alichokosea Pinda ni kujifanya naye amekasirika kwa barua ile ya Jairo. Haya mambo hayajaanza leo serikalini na wala hayafanyiki hapo nishati tu. Hili ambao tumewahi kuwa watumishi kwenye taasisi za UMMA tunalijua na Pinda analijua zaidi.
 
Wakati Beatrice Shellukindo akitoa hoja yake iliyomkaanga Jairo la kushangaza alikuwa mwepesi kumsafisha mkuu wa nchi, nanukuu: "Mheshimiwa Spika, sisi siku zote tumekuwa tukisema watendaji wakuu wa wizara ndiyo wanaomwangusha mkuu wetu wa nchi sasa ona hapa kwenye hii barua wanavyomsingizia mheshimiwa mkuu wa nchi eti ameagiza hiki na hiki kifanyike kumbe sio wanamsingizia" .Mwisho wa kunukuu. Kumbe kwenye ile barua ya Jairo (Shelukindo hakusoma yote) ilimtaja raisi kwamba ndiye aliyeagiza ili jambo la kukusanya hela milioni 50 kila idara zifanyike.

Halafu mnategemea kikwete amfukuze Jairo?
 
Back
Top Bottom