Ngeleja, Malima, Jairo na wakurugenzi wale wote walioitikia mwito wa kumwaga zile million 50 wafukuzwe kazi mara moja kama hawataki kujiuzuru. Hii issue ni simple sana na wala haihitaji uwe kipanga saaaana kuitolea maamuzi. What's wrong with Kikwete? where is Makamu wa Rais? yupo nchi hii kweli?
Baada ya hawa, then Malima abanwe awataje wabunge wote waliolambishwa mshiko. January Makamba nae anawafahamu, awataje ili nao warudishe zile pesa and then washughulikiwe.
Watunza hazina wa zile idara zote zilizotoa pesa wafukuzwe kazi pia