Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,021
A bastard is a liar.
Jamani faili la Blandina ni chafu huko Ikulu alikuwa analindwa tu na Luhanjo. Maadam Luhanjo kaondoka na wengine wameshika ofc then kumxhukulia hatua ni rahisi. Blandina amewahi kuwaambia wafanyakazi wa Wizara ya Afya kuwa hata wakitaka kwenda Ikuleu kumshitaki waende, ila yeye atajua tu wakiwa geti la Ikulu kabla hawajamuona mkuu. Maana yake kuna mtu ambaye alikuwa anamtegemea ambaye ni Luhanjo. Zaidi ya kwamna Luhanjo alikuwa ni mbena mwenzie lakini kuna tetesi kuwa alikuwa kimada wake pia.
PM alimwagiza Naibu Katibu Mkuu Kiongozi (correct me if I'm wrong kwenye cheo) kuwasimamisha kazi Bi. Blandina Nyoni na Dr. Deo Mtasiwa, hakuwasimamisha yeye moja kwa moja. Na, atakuwa alifanya hivyo akiwa na baraka za Rais kwani walikuwa wameshaongea baada ya kelele nyingi za wadau.Wadau Jf,
Kwa nia njema kabisa hebu niondoleeni SINTOFAHAMU, ama UTATA katika hili.
Mh. Pinda Mizengo, kama wote tulivyoona kawaadabisha kwa kuwasimamisha kazi viongozi wawili wa wizara ya Afya akiwemo katibu mkuu wizara hiyo Blandina Nyoni.
Rejea sakata la D. Jairo ilipofikia Pinda huyuhuyu kusema angekua anao uwezo wa kumuadabisha angefanya hivyo, lakini akadai kwa rank ya Jairo (katibu mkuu wizara iko juu ya uwezo wake)
Sasa Nyoni wadhifa wake na Jairo tofauti yake iko wapi ?
Na hata wakati anamsimamisha Nyoni hakusema namsimamisha (kwa niaba ya Jeikei ? )
alikosaje uwezo kwa Jairo, kwa Nyoni awenao ?
Wadau hii imekaaje ?
Hima mnizibue maskio !
Pinda kwa luhanjo alikuwa hawezi kuongea kitu yaani enzi za Luhanjo management structure ilikuwa akitoka Jk anafuata Luhanjo kisha ndio Pinda akitoka Pinda ndio yule Dr wa Nyukria, ila kwa sasa jamaa amepanda cheo yaani baada ya JK anafuata yeye
PM hawezi kumfukuza kazi waziri ama katibu mkuu bila ruhusa ya mkuu wa nchi (Raisi). Wakati wa sakata la Jairo mkuu wa nchi alikuwa safarini hivyo pinda ilibidi asubiri bosi wake arudi ili walijadili hilo suala kabla ya kutoa maamuzi. Lakini hili suala la huyu mama mkuu wa nchi yupo hivyo walipata muda wa kulijadili kiundani na bila shaka mkuu wa nchi akatoa baraka na ruhusa ya kumfukuza kazi mwana mama huyo.
nakumbuka sana maneno ya mh pinda alipokuwa akijib maswali na michango ya wabunge juu ya ufisadi wa wizara ya nishati na madini, alichokikisema ni kwamba ''hawezi kumwajibisha jairo kwa sababu kachaguliwa na rais kuwa katibu mkuu wa wizara husika'' je uliwezaje kumwajibisha blandina nyoni ambaye naye alikuwa katibu mkuu wa wizara ya afya ambaye naye pia kachaguliwa na rais@@ au ulimaanisha nini mheshimiwa pinda?
Wakati ule alikuwa anamuogopa Philemon Luhanjo ambaye alikuwa na nguvu kuliko yeye Pinda. Matunda ya kustaafu kwa Luhanjo ndiyo haya tunayafaidi, kosa moja Blandina OUT
Nakumbuka sana maneno ya mh Pinda alipokuwa akijib maswali na michango ya wabunge juu ya ufisadi wa Wizara ya nishati na madini, alichokikisema ni kwamba ''HAWEZI KUMWAJIBISHA JAIRO KWA SABABU KACHAGULIWA NA RAIS KUWA KATIBU MKUU WA WIZARA HUSIKA'' je uliwezaje kumwajibisha Blandina Nyoni ambaye naye alikuwa katibu mkuu wa wizara ya afya ambaye naye pia kachaguliwa na rais@@ au ulimaanisha nini mheshimiwa Pinda?
Nakumbuka sana maneno ya mh Pinda alipokuwa akijib maswali na michango ya wabunge juu ya ufisadi wa Wizara ya nishati na madini, alichokikisema ni kwamba ''HAWEZI KUMWAJIBISHA JAIRO KWA SABABU KACHAGULIWA NA RAIS KUWA KATIBU MKUU WA WIZARA HUSIKA'' je uliwezaje kumwajibisha Blandina Nyoni ambaye naye alikuwa katibu mkuu wa wizara ya afya ambaye naye pia kachaguliwa na rais@@ au ulimaanisha nini mheshimiwa Pinda?