Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Blandina Nyoni,kama walivyo Waziri na Naibu Waziri wa Afya,ameteuliwa na Rais.Pinda hana wala hakuwa na mamlaka ya kumsimamisha asiyemteua.Mbona Jairo alimshindwa? Kisheria,Nyoni bado yu kazini.Pinda,Msomi mwenzangu wa Sheria, amevunja Katiba.Naye awajibishwe...
Hayo ni maigizo tu Nyuma ya pazia I can gues wamekubaliana kuwa tunakusimamisha si kwasabbu una kosa ila ni kwa sababu tun difuse haya madai.
Na kwa sababu hata madai ya madatkari yenywe hayaelewei na yamekuwa yakibailika badilika kusimamishwa kwake Bi Nyoni inaweza ikawa ndio dawa.