Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

Ni wazi kuwa Magufuli ni mkurupukaji tu na kauli zake za kidhalilishaji, safari hii amekutana na watu wasio na njaa kama yeye, alidhani hawa ni sawa na wale aliowaambia wapige mbizi?
mkampa uRais
 
- Mheshimiwa sana Jacky, heshima sana hatujaonana siku nyingi sana lakini my hope ni mzima sana kwenye hili naomba kutofautiana sana na hoja yako, kwanza nilidhani nia na madhumuni yako yangekuwa kuhabarisha jamiii and then ndio utoe maoni yako, lakini moja kwa moja umerukia kutoa hukumu na kujaribu kuwachafua wale wasio na mawazo kama yako on this ishu bila ya kuwa na hoja za msingi.

- Tatizo hapa ni ubora wa bara bara, sio kosa la Wamiliki wa Malori kwamba bara bara zetu nyingi mpya hazina viwango vya kisasa, haya Malori yote yanapimwa kabla ya kuondoka Bandarini na Vituo vingine, Magufuli ameweka matuta barabarani mengine ni nje kabisa ya viwango vya matuta, matokeo ni kwamba Malori yanaporuka matuta mizigo inasongea na kuongeza uzito upande mmoja huku mwingine ukipungua, hakuna Mmiliki wa lori anayeweza kukubali kubeba mzigo mzito kuliko uwezo wa lori lake kwa sababu madhara yake ni makubwa sana kwa manufaa ya lori lake kuliko faida ndogo sana ya wakati mdogo wa kutoka point moja kwenda nyingine.

- Hoja ya wamiliki wa Malori ni nzito sana kuliko hoja ya Waziri, na besides Sheria iliyopo sasa iliwekwa na Waziri Mramba kupitia bungeni, sasa kama Waziri anataka kuibadili alitakiwa kwenda Bungeni ambapo wamiliki pia wangepata nafasi ya kusikilizwa hoja zao, sio kuamka tu agizo bila kujali wadau. Waziri ajifunze kuakaa chini na wadau wa Malori ambaa hajawahi kukaa nao chini hata mara moja toka awe waziri, I mean kwenye hili Waziri alikosea sana ndio maana Waziri Mkuu hakuwa na tatizo kutengua uamuzi wake, baada ya kusikiliza pande zote mbili,

- Nimeanza kuamini kwamba kumbe Tanzania tunayo Demokrasia ya kweli.

Le Mutuz
Maoni ya MFALME wa mitandao yote ya kijamii,tajiri anayeishi maisha yake bila kujali watu wanasema nini kuhusu yeye,mnamo October 10,2013.
 
Pinda nadhani hakufaa kuwa waziri mkuu ila kwavile tunaye basi tunaendelea kuumia kwa maamuzi yake hadi 2015. Barabara hizi zinaharibiwa kweli mimi nimepata kuendesha gari mara kwa mara eneo hili la RUVU hadi CHALINZE usipokaa vizuri ni rahisi sana kupindua gari ndogo uwe makini unapokanyaga hiyo migongo iliyowekwa na magari makubwa yanayozidisha mizigo kwa ruhusa ya waziri mkuu Pinda....shame on him
mkuu,
Ni kwa nini hapo chalinze tu? Sehemu nyingine magari hayo huwa yanaruka?
 
Jackton,

Magufuli ni mnafiki hawezi hata kuwaza kujiuzuru hata sekunde moja. Kama huamini you just wait and see.

Anapenda madaraka sana hawezi kama huamini ngojea uone
ilikua 2013. ina maana wapiga kura 2015 hawakuiona hii post au wali dharau?
 
Jackton,

Magufuli ni mnafiki hawezi hata kuwaza kujiuzuru hata sekunde moja. Kama huamini you just wait and see.

Anapenda madaraka sana hawezi kama huamini ngojea uone
Ohoooooo
 
Magufuli na data za barabara zote, makandarasi, wafadhili na gharama za kila barabara....huyu jamaa alitaka Odinga Kenya ashinde halafu aje kumsaidia hapa ktk harakati za kusaka urais 2015, lkn sasa amechuja kinoma yaani baada ya jamaa kupigwa chini, Hotuba za Magufuli nyingi ni za kujipendekeza kwa rais aliyoko madarakani, alianza na Mkapa na sasa ni Kikwete. Huyo ndiyo Magufuli ninayemfahamu
Duh
 
Hata huyo Magufuri sio mtu mzuri km ambavyo watu waliowengi wanavyofikilia ni mpuuzi sn.
Jackton,

Magufuli ni mnafiki hawezi hata kuwaza kujiuzuru hata sekunde moja. Kama huamini you just wait and see.

Anapenda madaraka sana hawezi kama huamini ngojea uone
magufuli mwizi sana basi tu watu hawajui...anapiga deal balaa kwenye mikataba ya barabara
Magufuli ajiuzulu,hela za kampeni 2015 atazitoa wapi?
Hii ni mara ya pili sasa Magufuli anabwagwa na Serikali yake!
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Magufuli has a metal block!! anafikiri uchumi wa nchi unajengwa na barabara nzuri tu zisizokuwa na vyombo vya usafiri!? Mara nyingi anakuwa na nia nzuri lakini top - down approach yake is very very detrimental to our national well being!
And he thinks he can develop Tanzania single handedly; Huyu JOHN POMBE"KALI" MAGUFULI has outlived his shelf life; its time for him to give way!
Barabara zenyewe anajenga sub standard kwa sababu ya 10%; the man can not listen to logic; too opinionated! hivi huyu Magufuli ni animist, a sadist, a chauvanist?! kwa nini hawezi kuzungumza na na binadamu wenzake akawasilikiza; wakamsikiliza tukapata muafaka?! kwa nini hajifunzi kutoka kwa Boss wake JK; mbona JK is more accomodating; more tolerant?! nani mkubwa baina ya JK na Magufuli!!????????????????; kwani yeye ndiye mwenye uchungu na nchi hii peke yake kuliko Rais?!
kwenye swala la barabara na bomoa bomoa zake aliaambiwa na JK na PM hadharani aache ubabe hakusikia!

what is wrong with this man!? this man needs psychiatric help probably!! msaidieni jamani!!

John Magufuli Tanzania sio yako peke yako; utaiacha. wisen up!

Adieu John Pombe Magufuli; God speed!

Comment zingine aisee...
 
Aisee
 
Back
Top Bottom