Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

Pinda ni waziri mkuu aliyekuwa reject kabla ya uwa waziri mkuu..kwa vile mafisadi na wadini,na wakanda wa CCM walimhitaji walimweka km picha tuu.
 
Jana mpaka leo una thread nane kwenye jukwaa hili , Kiswahili hujui unachoandika hakieleweki pumba tupu.

Mgombea wenu wa Ukawa anaitwa Nani?
 
Dawa itakuingia tu...inakuaje leo Mbowe anakaa meza moja na mafisadi?? Mnarudia matapishiyenu wenyewe...hapo ndo nimeona watanzania wapumbavu...

Katika siasa hakuna adui wala rafiki wa milele bali kuna maslahi ya milele
 
Jana mpaka leo una thread nane kwenye jukwaa hili , Kiswahili hujui unachoandika hakieleweki pumba tupu. Mgombea wenu wa Ukawa anaitwa Nani?
Haha ,,ukishajua anaitwaje ndio itamsaidiaje mtoto wa mkulima na akili zake ndogo km za mwenzie kitine.Eti wmatoka kinyuki nyuki...kauza utu wake kwa waswahili wakamwita mtiifu sasa wanamwacha vibaya kuliko mashemeji zao walimu.
 
Haha ,,ukishajua anaitwaje ndio itamsaidiaje mtoto wa mkulima na akili zake ndogo km za mwenzie kitine.Eti wmatoka kinyuki nyuki...kauza utu wake kwa waswahili wakamwita mtiifu sasa wanamwacha vibaya kuliko mashemeji zao walimu.
Kaa! Ila sio Siri jamani, huyu Nicholas, huwa napata taabu sana kuzielewa threat zake kwa Kweli!
 
Safar hii ndio kashikia mwenyewe usukani?!! Na alishasema kuwa kipindi hiko yeye akitumwa sasa ngoja aanze kutuma yeye
 
Uamuzi wa waziri Magufuli ulikuwa ni wa kujitafutia sifa za kijinga kwa gharama za kuhujumu uchumi wa nchi.

Kwa taarifa yenu weigh bridges za Tanroads zina variations za ajabu. Unakuta transporter anapima mzigo mzani wa Kibaha anapata readings X, akipima mzigo huo huo Chalinze bila kuongeza hata kilo moja anapata readings Y, akipima mzani wa Msata anapata readings Z!

Hili ninalisema kwa uhakika kwakuwa nimepata ku deal nao hao watu wa weigh briges (Tanroads). Kwahiyo transporters kutolipia hiyo variation ya 5% ilikuwa ni sawa kabisa.
umeona mbali sana
 
Back
Top Bottom