Kwi! Kwi! Kwi!Ni wakati mzuri sasa wa hii amri kuhuishwa!!
Mkuu na wewe umetekwa ?Haha ,,ukishajua anaitwaje ndio itamsaidiaje mtoto wa mkulima na akili zake ndogo km za mwenzie kitine.Eti wmatoka kinyuki nyuki...kauza utu wake kwa waswahili wakamwita mtiifu sasa wanamwacha vibaya kuliko mashemeji zao walimu.
Ccm ingempaMagufuli ajiuzulu,hela za kampeni 2015 atazitoa wapi?
Mkuu,bado upo humu?Hata huyo Magufuri sio mtu mzuri km ambavyo watu waliowengi wanavyofikilia ni mpuuzi sn.
Mkuu,nakusalimu.Jackton,
Magufuli ni mnafiki hawezi hata kuwaza kujiuzuru hata sekunde moja. Kama huamini you just wait and see.
Anapenda madaraka sana hawezi kama huamini ngojea uone
Ni kauli ya miaka 5 iliyopita, ila una maono.Hata huyo Magufuri sio mtu mzuri km ambavyo watu waliowengi wanavyofikilia ni mpuuzi sn.
AiseeMagufuli ajiuzulu,hela za kampeni 2015 atazitoa wapi?
Hii ndio Jf bhanaAisee
October 10,2013Magufuli na data za barabara zote, makandarasi, wafadhili na gharama za kila barabara....huyu jamaa alitaka Odinga Kenya ashinde halafu aje kumsaidia hapa ktk harakati za kusaka urais 2015, lkn sasa amechuja kinoma yaani baada ya jamaa kupigwa chini, Hotuba za Magufuli nyingi ni za kujipendekeza kwa rais aliyoko madarakani, alianza na Mkapa na sasa ni Kikwete. Huyo ndiyo Magufuli ninayemfahamu
ni nani huyo katili?Pinda na Magufuli wote sawa tu, ila mmoja ana roho ya kikatili zaidi
post ya oct 2013Ni wazi kuwa Magufuli ni mkurupukaji tu na kauli zake za kidhalilishaji, safari hii amekutana na watu wasio na njaa kama yeye, alidhani hawa ni sawa na wale aliowaambia wapige mbizi?
Kipindi hiki mimi ulikuwa huniambii kitu kibaya kuhusu huyu mtu nikakuelewa.Sheria gani mtu mbabe sana huyu tena aliyejaa kejeli. Ajiuzulu mapema. Tumechoka na maneno yake yasiyo na busara. Wakati fulani rais alimshauri aache ubabe hakusikia na badala yake akasema wasio na nauli wapige mbizi. Kiongozi gani huyu? Anaongoza wizara kama nyumba yake. Ebo! Amelewa sifa. Hivi mlevi wa sifa mwenzake Mwakyembe amerudi India au? Mbona hasikiki tena baada ya kujipachika waziri wa madawa ya kulevya pamoja na sbughuli za TRA as though alikuwa waziri wa fedha?
Uliona mbaliMagufuli ajiuzulu,hela za kampeni 2015 atazitoa wapi?
Mwaka 2013.Makufuli anampa waziri mkuu wakati mgumu sana.kila wakati kuamulia magomvi tu.nyumba za moro road ilibidi aingilie kati,na hili nalo pia.Huyu waziri kwa nini hajiuzulu?waziri gani huyu asiyetaka kufuata sheria?halafu bado mnamsifia eti anafaa urais!ukali sawa lakini unapokuwa mkali hakikisha uko sahihi kwa unachosimamia.ukimpiga mtoto kwa kosa lisilokuwepo atakuona shetani na kukuchukia.tuache mihemko na sifa.tusimamie sheria kwani hawa tunaowaongoza ni watu sio mawe.narudia tena Makufuli hafai kuwa kiongozi kwa sababu ni "Mr Misifa".ukipenda sifa utafanya lolote hata baya ilimradi upigiwe makofi!pole serikali.ndio watendaji wenu hao!
MTK uliona mbali sanaMagufuli has a metal block!! anafikiri uchumi wa nchi unajengwa na barabara nzuri tu zisizokuwa na vyombo vya usafiri!? Mara nyingi anakuwa na nia nzuri lakini top - down approach yake is very very detrimental to our national well being!
And he thinks he can develop Tanzania single handedly; Huyu JOHN POMBE"KALI" MAGUFULI has outlived his shelf life; its time for him to give way!
Barabara zenyewe anajenga sub standard kwa sababu ya 10%; the man can not listen to logic; too opinionated! hivi huyu Magufuli ni animist, a sadist, a chauvanist?! kwa nini hawezi kuzungumza na na binadamu wenzake akawasilikiza; wakamsikiliza tukapata muafaka?! kwa nini hajifunzi kutoka kwa Boss wake JK; mbona JK is more accomodating; more tolerant?! nani mkubwa baina ya JK na Magufuli!!????????????????; kwani yeye ndiye mwenye uchungu na nchi hii peke yake kuliko Rais?!
kwenye swala la barabara na bomoa bomoa zake aliaambiwa na JK na PM hadharani aache ubabe hakusikia!
what is wrong with this man!? this man needs psychiatric help probably!! msaidieni jamani!!
John Magufuli Tanzania sio yako peke yako; utaiacha. wisen up!
Adieu John Pombe Magufuli; God speed!
uliona mbaliHata huyo Magufuri sio mtu mzuri km ambavyo watu waliowengi wanavyofikilia ni mpuuzi sn.