Kama aliweka tezi hadharani aibu aitoe wapiJana nilimuonea huruma sana Pinda! Alikuwa kama mtu aliyemwagiwa maji ya baridi pale mbele. Hata kusoma ile report ya serikali ni kama alikuwa amelazimishwa.
Kweli Kikwete hatabiriki, hivi unawezaje ukakata jina la PM wako? hata kwenye tano bora asiingie. Hili limeweka rekodi katika nchi yetu, haijawahi kutokea.
Tuliona Mwinyi alimpitisha PM wake John Malecela 1995. Mkapa alimpitisha PM wake Sumaye 2005. Lakini mwanaume Kikwete amewakata ma-PM wake wote aliofanya kazi nao i.e Lowassa na Pinda.
Jana nilimuonea huruma sana Pinda! Alikuwa kama mtu aliyemwagiwa maji ya baridi pale mbele. Hata kusoma ile report ya serikali ni kama alikuwa amelazimishwa.

Ukimuorodheshea madhaifu kwenye maamuzi ni mengi sana ila hilo ulilolitaja Lyimo ndio kubwa lao
Hata kama nyumba zilichakaa je na viwanja vilichakaa???
Mbona wanajenga nyumba mpya kila siku??
Mbona wanapangishia viongozi mahoteli kila siku??
Hatutamuelewa kamwe!
Kama haukuwa uamuzi wake na hakubaliana nao mbona hakuupinga ama kujiuzulu??
Ule ni uporaji..nyumba ni zetu wote wakulima,wafanyabiashara,watumishi wa umma nk
Mambo aliyokuwa akifanya edo ni ya kijinga sana.ni kama vile kaingia kwenye siasa jana??alianza kampeni mapema,wapambe wake wanaongea ovyo na kukaŞhifu viongozi wake,alitisha vikao vya maamuzi,alim-attack rais wazi wazi.kimsingi hakuwa strategic na alipambwa na watu wasio na maono.
Kuna vitu JK namkubali. Unakumbuka alivyomuibua Shein urais znz? Uliona Amina S Ali alivyonuna? JK anajuwa kuweka mambo sawa pale wengine wanapoona hawezi. Safi sana JK.Jana nilimuonea huruma sana Pinda! Alikuwa kama mtu aliyemwagiwa maji ya baridi pale mbele. Hata kusoma ile report ya serikali ni kama alikuwa amelazimishwa.
Kweli Kikwete hatabiriki, hivi unawezaje ukakata jina la PM wako? hata kwenye tano bora asiingie. Hili limeweka rekodi katika nchi yetu, haijawahi kutokea.
Tuliona Mwinyi alimpitisha PM wake John Malecela 1995. Mkapa alimpitisha PM wake Sumaye 2005. Lakini mwanaume Kikwete amewakata ma-PM wake wote aliofanya kazi nao i.e Lowassa na Pinda.
Nakumbuka huyu jamaa maamuzi yake mengi yalitenguliwa na PM wake (Pinda), ni kama alkwa speed gavana yake. Sasa kama yeye ndiyo atakuwa kinara sijui itakuwaje. Ila akitaka apite kirahisi, atangaze kurudisha nyumba za serikali ili ionekane haikuwa ridhaa yake, la sivyo tutamuhoji sana kuhusu hili jambo.
Akiwa Waziri wa Ujenzi na Miundombinu Wizara inayosimamia weighbridges kuna kipindi kulitokea ukiukwaji mkubwa wa upitishaji mizigo mizito inayoua barabara zetu.
Watumishi wa mizani walisimama kidete na Waziri wao Dr Magufulu lakini wasafirishaji wakamzunguka wakaenda kwa Prime Minister Mizengo Pinda akatengua amri ile na kuruhusu malori yaendelee kutimba barabara.
Sijui anakumbuka?
Sijui akipata nafasi hii ataacha yaendelee kutamba kwa amri ya Pinda?
#Kiduni nafikiri ni vema ukafahamu kuwa Team Lowassa Iikuwa Nchi nzima na hilo unalifahamu, hivyo sitegemai kuwa Lowassa alikuwa kipenzi wa kila mtu na hakuna mantiki kuwa rais akitoka kwenu basi lazima kuwe na maendeleo. Huo ni mtazamo tu wa watu wasiofikiri. Watu wa Arusha tunataka RAis Bora kwa aili ya Tanzania.kila anayemuongelea vibaya magufuli niliyekutana nae kama hatokei Arusha basi anatokea Kilimanjaro, we unatokea pande gani? tatizo mlitaka mtu wa kanda yenu huo ni ukabila na ukanda, kama swala ni kashfa hata mbowe na slaa wanazo tatizo lililopo kwa watanzania tunaishi kwa kukariri nani aliyekuambia ukawa wakiingia madarakani watafanikiwa? jiulize kuhusu watafanya kazi na watendaji gani? je ni wafuasi wa vyama gani? unafikiri ni rahisi kuuondoa mfumo uliopo? tanzania inahitaji rais mwenye uthubutu anayeweza kuondoa madudu yaliyopo na anayefahamika ataweza na sio kujaribu, bungeni kule wajae watetezi wa wananchi na sio kuleta hoja za kipumbavu
Jana nilimuonea huruma sana Pinda! Alikuwa kama mtu aliyemwagiwa maji ya baridi pale mbele. Hata kusoma ile report ya serikali ni kama alikuwa amelazimishwa.
Kweli Kikwete hatabiriki, hivi unawezaje ukakata jina la PM wako? hata kwenye tano bora asiingie. Hili limeweka rekodi katika nchi yetu, haijawahi kutokea.
Tuliona Mwinyi alimpitisha PM wake John Malecela 1995. Mkapa alimpitisha PM wake Sumaye 2005. Lakini mwanaume Kikwete amewakata ma-PM wake wote aliofanya kazi nao i.e Lowassa na Pinda.
#Kiduni nafikiri ni vema ukafahamu kuwa Team Lowassa Iikuwa Nchi nzima na hilo unalifahamu, hivyo sitegemai kuwa Lowassa alikuwa kipenzi wa kila mtu na hakuna mantiki kuwa rais akitoka kwenu basi lazima kuwe na maendeleo. Huo ni mtazamo tu wa watu wasiofikiri. Watu wa Arusha tunataka RAis Bora kwa aili ya Tanzania.
Nakumbuka huyu jamaa maamuzi yake mengi yalitenguliwa na PM wake (Pinda), ni kama alkwa speed gavana yake. Sasa kama yeye ndiyo atakuwa kinara sijui itakuwaje. Ila akitaka apite kirahisi, atangaze kurudisha nyumba za serikali ili ionekane haikuwa ridhaa yake, la sivyo tutamuhoji sana kuhusu hili jambo.
haha..CCM ni vichaa sana...Baada ya pinda potez amuda kumsifia magufuli wkati yeye akibebwa na makinda ktk maswali ya bungeni.Sasa anapigwa tuu...sasa .NI waziri Mkuu ambaye ana waziri wake ambaye ni Boss wake..nani amatume mwingine?Pinda hana a kupata Leagcy tena..akitaka Legacy za Sifa magufuli anampoteza?
Mbowe kaja fanya nini hapa?Hivi wewe hujui enemy of your enemy if your friend...Dawa itakuingia tu...inakuaje leo Mbowe anakaa meza moja na mafisadi?? Mnarudia matapishiyenu wenyewe...hapo ndo nimeona watanzania wapumbavu...
Mbowe kaja fanya nini hapa?Hivi wewe hujui enemy of your enemy if your friend...