Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

Magufuli hakuelewa kwamba wenye malori ndio wenye ccm, Tanzania yetu bana wenye fedha wanasauti kuliko serikali
 
Mkuu siyo bure umerogwa mwambie slaa ajiuzuru aliyekihalibu chadema mpaka kimekuwa chama cha kigaidi na kupigana bungeni huku yeye akitanua pikiniki na Last lady marekani.
 
Kufuatia amri ya waziri mkuu Mizengo Pinda kusitisha hadharani agizo la waziri wa Ujenzi na barabara, John Magufuri kuhusu tafsiri na adhabu kwa uzito unaozidi wa magari ya mizigo, watu wengi tunadhani huu ni wakati muafaka sasa kwa Magufuri kujiuzuru nafasi ya uwaziri kwa kuwa agizo la Waziri Mkuu Pinda linaingilia utendaji wa moja kwa moja wa Magufuri na wizara yake lakini pia linakiuka 'sheria' ambayo John Magufuri aliapa kuisimamia.

Ikumbukwe kuwa hii ni mara ya pili kwa Magufuri kuingiliwa utendaji wake na Waziri mkuu Pinda. Mara ya kwanza ilikuwa kwenye zoezi la bomoa bomoa ambapo baadaye Magufuri alitishia kujiuzuru lakini mwisho wa siku aligwaya na kunywea kimya kimya.

Ili kudhihirisha kuwa John Magufuri ni mtu imara na jasiri(kama watu wengi wanavyoamini), huu ni wakati wake sasa kujiuzuru ili kulinda 'heshima' yake kisiasa na kijamii kuhusu dhana ya uwajibikaji.
Mkuu kwa akili uliyotumia hapa unafaa kubaki nyumbani ucheze na junior kibarazani hapo ndipo akilimyako itakuwa saizimyake kweli we kituko mkuu.
 
Pamoja na kwamba ana PhD yake nzuri ambayo anaweza kutumia elimu hiyo kuendeleza taifa kwa kufundisha na utafiti, anang'ang'ani mchezo wa akina "mbwa-pusi". Siasa ya Tanzia inachangia kwa kiasi kikubwa kuuua maendeleo ya taifa badala kuwa ndo mhimili wa maendeleo. Hivi kama ni kweli PM anapokea mil.26 kwa mwezi basi ni ngumu sana msomi wa Tanzania kuthamini elimu na heshima yake badala ya fedha.
 
Ninkweli mkuu ndiyo maana vijana wa bavicha wanatumika vibaya mpaka kumwagia watu sumu ili mkono uende kinywani njaa mbaya sana.

Naona unajitahidi kuitumia kikamilifu grand duos uliogaiwa na makamba
 
hivi ni magufulii yupi mnamzungumzia,huyu wa Chato au kuna mwingine?
 
Kufuatia amri ya waziri mkuu Mizengo Pinda kusitisha hadharani agizo la waziri wa Ujenzi na barabara, John Magufuri kuhusu tafsiri na adhabu kwa uzito unaozidi wa magari ya mizigo, watu wengi tunadhani huu ni wakati muafaka sasa kwa Magufuri kujiuzuru nafasi ya uwaziri kwa kuwa agizo la Waziri Mkuu Pinda linaingilia utendaji wa moja kwa moja wa Magufuri na wizara yake lakini pia linakiuka 'sheria' ambayo John Magufuri aliapa kuisimamia.

Ikumbukwe kuwa hii ni mara ya pili kwa Magufuri kuingiliwa utendaji wake na Waziri mkuu Pinda. Mara ya kwanza ilikuwa kwenye zoezi la bomoa bomoa ambapo baadaye Magufuri alitishia kujiuzuru lakini mwisho wa siku aligwaya na kunywea kimya kimya.

Ili kudhihirisha kuwa John Magufuri ni mtu imara na jasiri(kama watu wengi wanavyoamini), huu ni wakati wake sasa kujiuzuru ili kulinda 'heshima' yake kisiasa na kijamii kuhusu dhana ya uwajibikaji.

hata ungekuwa wewe ucngejiuzuru,maana barabara hata zikiharibika,hatoi pesa mfukoni
 
Acha ujinga wewe mleta mada Magufuri ajiuzuru kwa kosa lipi?Wewe kwa vyovyote vile utakuwa Mhamiaji haramu tu maana mara nyingi hawana uchungu na Nchi wanazoishi ambazo waliji-smuggle.Au kama sio Mhamiaji haramu basi utakuwa ni miongoni mwa wale wahuni mnaofanya dili za usafirishaji bidhaa kwa njia ya malori yenu na nyinyi ndio kwa kiasi kikubwa mmehusika kuua Shirika la Reli Nchini ili mpige dili zenu vizuri zaidi sasa mmekutana na kisiki Magufuri mnataka kutumia hila kumng'oa pale ili mumuingize mtu wenu awarahisishie mambo yenu halafu hatimaye mzimalize barabara zetu zilizojengwa kwa kodi zetu sote kama ambavyo mli-loby kuuawa kwa Shirika la Reli Tanzania.Acheni mambo yenu hayo ya kulirudisha Taifa letu la Tanzania nyuma,Huo sio uzalendo kabisa bali ni usaliti dhidi ya Taifa hili la Tanzania.Magufuri hajiuzuru na kama atajiuzuru nitasikitika sana,Haiwezekani mkatuulia Taifa letu na sisi tunawaangalia tu.Leo ninaongea kama Mtanzania Mzalendo ninayelipenda Taifa langu kwa dhati U-CHADEMA nimeweka pembeni.
 
Teh teh,mkuu hayo mamilioni anayochukua kwa mwezi kama mshahara atamwachia nani? Chezea maccm wewe?
 
..........akili za kuambiwa changanya na zako we sepa......akijiuzulu wasije wakamwagia tindikali...umebakiza mwaka mmoja wa kazi mwaka mmoja wa porojo ...baada ya hapo USIGOMBEEE tena UFYATE mdomo wako..
...hivi madereva huwa wanakunywa POMBE?
 
Magufuli namfananisha kama Mbwa anayebweka lakini hana meno,,,Anatumia mabavu kuliko Akili ona sasa anavyojidhalilisha m/ume ameshatoa tangazo magari yapige mzigo kama kawaida na watafute suluhu. Magufuli alisema hakai na mtu yeyote yule na nina pata shida sana jamaa akiwa Rais maana ana amri za kijeshi.
 
wahaya na dharau,,,,,,tushawazoea
 
Kufuatia amri ya waziri mkuu Mizengo Pinda kusitisha hadharani agizo la waziri wa Ujenzi na barabara, John Magufuri kuhusu tafsiri na adhabu kwa uzito unaozidi wa magari ya mizigo, watu wengi tunadhani huu ni wakati muafaka sasa kwa Magufuri kujiuzuru nafasi ya uwaziri kwa kuwa agizo la Waziri Mkuu Pinda linaingilia utendaji wa moja kwa moja wa Magufuri na wizara yake lakini pia linakiuka 'sheria' ambayo John Magufuri aliapa kuisimamia.

Ikumbukwe kuwa hii ni mara ya pili kwa Magufuri kuingiliwa utendaji wake na Waziri mkuu Pinda. Mara ya kwanza ilikuwa kwenye zoezi la bomoa bomoa ambapo baadaye Magufuri alitishia kujiuzuru lakini mwisho wa siku aligwaya na kunywea kimya kimya.

Ili kudhihirisha kuwa John Magufuri ni mtu imara na jasiri(kama watu wengi wanavyoamini), huu ni wakati wake sasa kujiuzuru ili kulinda 'heshima' yake kisiasa na kijamii kuhusu dhana ya uwajibikaji.

Sijaona sababu ya kujiuzuru maana mizengo pinda ni mbwa mzee mwenye ndoto hawazi hii nchi ipoje anaruka ruka tuu mie namuona kama old dog mwenye big dreamz magufuli chapa mzigo
 
Sasa basi nyie maccm mtuambie kati ya magufuli na pinda nani yupo sahihi?
 
Magufuri ni jembeeeeeee,mnataka watu zaifu??????tumpe vyeo kati ya viwili muone RAis Au waziri mkuu
 
Back
Top Bottom