Pinda afunguka sakata la Escrow

Pinda afunguka sakata la Escrow

Mwizi,mtu ambaye kwa kijwa chake anasema wananchi wapigwe tu!yaani utawala wa sheria ziiiiiii.......anapeweje heshima hizo!watz!
 
Samahani sijui kiingereza lau ningekuwa najua ningesema, ''Too late to apologiese''
 
Watanzanzia sasa inabd tuwe macho yawezekana kuna baadhi yao ni mafisadi
 
Siku yule Jamaa walosema asijadiliwe anaongea na wazee wa Dar nikiikumbuka nashangaa sana.
Hakika nawaambia Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana
 
Back
Top Bottom