Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 767
Njoo pm Nashida na wee Mkubwa wa kilingen[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umeona eeeh ukishangaa ya uchawi unakuta nayo ya pillow talk yani nashindwa kumdifine huyu mshana jrmshana katka ubora wake
nakutamaniaKama ambavyo hii simu naenda kuiacha muda si mrefu nielekee eneo la tukio, asante kwa ukumbusho murua...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Kila likinijia wazo la kuoa moyo wangu unanienda mbio na jasho linanitoka......!!!
Hizi ni dalili mbaya.......
Anyway.....maisha ya ubachela matamu......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu simu zisiwe na chajiPillow talk inatakuwa ktk condition hii :-
(1)msiwe mnadaiwa dukani kwa mangi.
(2)usiwaze kuwa kesho asb hakuna kitafunio.
(3)LUKU iwe inasoma vizuri.
(4)kusiwe na deni la ada ya Mhula. n.k .
View attachment 409862hawa wataishia kusagana [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hawa hata kama ni muvi imekosa viwango [emoji3] [emoji3] [emoji3]