Pillow talk

Huwa inaacha sweet memories na kuimarisha bond kati yenu, damn I miss old times.



Sasa hivi smartphones zinazingua sana
 
gwiji la mda mrefu ktk jukwaa mmu@mshana jr..salute kwako mkuu...
 
It's a digital world. You old folks pillow talk, we'll sext and what not. "Hey babe, I miss me some skin. Surprise me."
 

Heaven Sent;
Elewa kitu kimoja, huyajui mapenzi wala hujawahi kutana nayo. Siku ukikutana nayo, hata angekuja kazimia kwa ulevi, hutauona ulevi wala uchafu. Utazidi kumpenda tu.
Nshawahi kumwona mamaa mmoja, mumewe alikuwa kikojozi, lakini kila siku, mama anatoa godoro nje kuanika kwa kelele nyingi tu kwamba mtoto kakojolea. Nadhani ingelikuwa ni weye, kelele ambazo ungelitoa, mzee angekukimbia mwenyewe.
Unachukia mwenzio akiuburudisha moyo?? Tena huenda ni weye unampa frustration mpaka anaona kilauri impooze moyo!! Miye si mlevi lakini nawajua watu waliogeukia ulevi ka njia ya kupoteza mawazo kwa sababu ya maudhi ya wake zao.
 
Teh hayo mapenzi ya jitu zima kujitapikia hovyo sijakutana nayo na naomba nisije kukutana nayo katika Jina la Yesu, nayajua mapenzi na wanaume wanaojitambua tu. Kwa kweli na nazidi kumuomba tu Mungu anipe mwanaume anayejitambua.

Hujanielewa point yangu. Mkeo obviously atakubebea madhaifu yako, but kama ni madhaifu unayoweza kujicontrol, Kwa nini usijicontrol jamani, ukampunguzia mkeo kero??. Kweli baba jitu zima unarudi umelewa hadi unajitapikia mbele ya watoto!!!! God forbid. Kujikojolea kuna watu huo ni udhaifu wao, out of their control. Sio mtu anakunywa hadi kujikojolea, atalala chini tu. Hayo madhaifu ya kujitakia me hapana tu. Yani huwezi amini sasa hivi tu kuna mtu nimembwatukia hadi najicheka sasa hivi. Kanifuata sehemu ananuka mipombe, nimemjibu tu kiustaarabu aniache haelewi, nimemtimua kajifanya kupanic nikamwambia akafie mbele huko. Sasa naimagine kulala na mtu ananuka pombe hivyo, eti ndo anikiss ptuuuuuu

Sinaga kelele, ila si-entertain upuuzi period. Navumilia vitu vya msingi, vya kindezi ntakunyoosha tu ukijifanya huelewi
 
kumbe post hujirudia almost kama zilivyo bila kujali ni wakati gani zimepishana
 
malaika kafunguka huyo
.... msg sent & delivered
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…