Pillow talk

Pillow talk

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,197
Reaction score
829,159
View attachment 409836

Neno la mahaba kabisa hili. Unapolitamka hisia hukupeleka mahali fulani pa faragha kwenye kiza fulani chumbani kitandani ukiwa na mwenza wako na viguo vyepesi au tupu kabisa.

Ni ngumu sana kwasasa kuielewa dhana nzima ya hii faragha, vijana wanakosa mengi siku hizi smart phones zimechukua nafasi adhimu kabisa ya pillow talk... na ndio maana siku hizi kuna # team popo

Kwa kweli kama chumbani kumekamilika ni ngumu kuikumbuka JF nite kali! Ukikuta mtu yuko live online usiku mwingi... Huyo pillow talk ni msamiati uliojaa upweke

1475252713287.png


Pillow talk ina taratibu na kanuni zake
- Shurti kuwe na chachandu la kumbatio ambalo si kindakindaki(kumbatio la hamu)
- Hakikisha chumbani ni kusafi na kumepangika, kitanda kikipewa kipaumbele
- Jua kwamba taa zifaazo chumbani ni zile zenye mwanga hafifu wa rangi hasa blue au nyekundu
- Smart phone mwisho wake ni mlangoni, ukiingia ndani unazima au kuweka flight mode...ukishindwa kabisa weka silence mode
- Majasho na harufu za ajabu ajabu za kutwa nzima hakikisha unaondoa zote kwa kuoga na kutakata
- Unavaa pyjama na chupi kwani umeambiwa kwenu hapo? tupa kule uingie paradiso
- Ndani chumbani hakikisha hakuna stress wala kesi za mchana kutwa..hayo yana muda wake.

Kumbuka usiku chumbani pekeyenu ndio muda pekee mnaokuwa pamoja mbali kabisa na dunia.. na ndio muda pekee wa kufurahiana pamoja hivyo usiichezee hii moment ni very very precious.

1475253405661.jpg




[HASHTAG]#team[/HASHTAG] popo poleni [emoji125
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom