Pillow talk: Nafasi ya elimu katika mapenzi

Pillow talk: Nafasi ya elimu katika mapenzi

niliwahi kujuta mara moja, kuna mdada huyo alikuwa anaonekana mkubwa kiumbo na hata mazungumzo yake yalikuwa yakikubwa, sasa si nikatupa mistari yangu ilinichukua saa kama nne hivi mpaka kwenye kukubaliwa..

Mbaya alinitamkia kuwa ni bikra,kati ya mambo yaliyonitesa kwenye balehe yangu ni mwanamke aniambie kuwa ni bikra.. nitakula nae sahani moja mpaka kieleweke..

Sasa huyo baada ya kuniambia hivyo nilikomaa nae sana.. siku anayokuja kunivulia pichu sikuamni macho yako yangu, she wasn't a virgin kidogo nimpasue.

Ha ha ha uuuuupsi dadadeki zake
Pole sana kwa kutumia nguvu na skills zako ukijua utakuwa first kwake

It seems umekata bikira nying wewe
Huenda gegedo lako lililala kwa mshtuko kwanza

Tukio gani linakutia uchungu au unajutia LA kimahusiano
 
sijawahi kufumania..
na nimesahau kukuambia nilikuwa sina uwezo wa kurun two girls at the same time, nikiwa na huyu, niachane na wa awali kwanza!!

Vzur ila ulikuwa mpit njia hit n run
Mapenz ya kugandana hakuna

Je unawashaur nn vijana wa kiume ukizingatia mapenz kwa sasa ndo yanarun dunia
 
Wasikilizaji na mnaofuatilia nakaribisha maswali machache kwa kiwatengu before sijafinga madaaaaa
Karibuni
 
Ha ha ha uuuuupsi dadadeki zake
Pole sana kwa kutumia nguvu na skills zako ukijua utakuwa first kwake

we acha tu, alinidanganya..issue haikuwa kuwa wa kwanza coz nilianza kumverse hata kabla hajaniambia.. neno "mi ni bikra" lilikuwa kama catalyst tu!!

It seems umekata bikira nying wewe
Huenda gegedo lako lililala kwa mshtuko kwanza

ha ha ha siyo nyingi bana..

Tukio gani linakutia uchungu au unajutia LA kimahusiano

siyo kama najutia au nasikia uchungu ni tukio la kusex bila kinga na binti wa chuo na akapata mimba..
 
we acha tu, alinidanganya..issue haikuwa kuwa wa kwanza coz nilianza kumverse hata kabla hajaniambia.. neno "mi ni bikra" lilikuwa kama catalyst tu!!



ha ha ha siyo nyingi bana..



siyo kama najutia au nasikia uchungu ni tukio la kusex bila kinga na binti wa chuo na akapata mimba..

ajali hiyo,
 
kiwatengu umesema partners uliokuwa nao zamani ni countless means ushaonja kila aina ya ufundi hii haikuletei shida katika mahusiano yako ya sasa
 
Last edited by a moderator:
Vzur ila ulikuwa mpit njia hit n run
Mapenz ya kugandana hakuna

Je unawashaur nn vijana wa kiume ukizingatia mapenz kwa sasa ndo yanarun dunia

Nawashauri kutulia na kuacha tamaa..
Magonjwa lukuki now days..
wasichana wanawasabishia umaskini..
Hela inapatikana kwa wajasho then vijana wanaitoa tena kwa jasho..
Kuhonga ndiyo mwanzo wa kuchepuka.
Nawashauri vijana wasihonge!! Watengeneze maisha yao na kuwa na mke mmoja tu kama umri na uwezo unaruhusu..
 
kiwatengu umesema partners uliokuwa nao zamani ni countless means ushaonja kila aina ya ufundi hii haikuletei shida katika mahusiano yako ya sasa

hainiletei shida kabisa!! nimekutana na fundi wa mafundi.. aliowazidi kila kitu..
 
Last edited by a moderator:
Nawashauri kutulia na kuacha tamaa..
Magonjwa lukuki now days..
wasichana wanawasabishia umaskini..
Hela inapatikana kwa wajasho then vijana wanaitoa tena kwa jasho..
Kuhonga ndiyo mwanzo wa kuchepuka.
Nawashauri vijana wasihonge!! Watengeneze maisha yao na kuwa na mke mmoja tu kama umri na uwezo unaruhusu.
.
asante sana mdau,asante mnoooooo
na ulevi pia
 
mpenz wako ulimwambia idad ya wapenz uliokua nao kabla yake?,naye alikwambia???as long ulikua na msururu so alijiskiaje??kama ulimwambia

Sikumwambia coz hakuniuliza, aliniuliza machache sana about my past, na hakutaka kujua sana...
Anajua past is past!!
and i'm not belong there anymore, ni mtu mpya kwake na yeye kwangu vile vile...
 
Thanks soo much kiwatengu kwa muda wako na kufunguka Yale tusiyoyajua juu yako
Mpe salam mkeo
Pia nashukuru kwa kukuruhus uhojiwe.

Asanten wooote kwa company yenu
Tchaooooo
 
Last edited by a moderator:
Thanks soo much kiwatengu kwa muda wako na kufunguka Yale tusiyoyajua juu yako
Mpe salam mkeo
Pia nashukuru kwa kukuruhus uhojiwe.

Asanten wooote kwa company yenu
Tchaooooo

Shukrani pia.
Usiku mwema na wewe...
 
Last edited by a moderator:
hata mie nimeiva hapo... Nialikeni.
 
acheni ujinga wa ku probe ktk issue ambazo hamuwez handle...

Im waiting.
 
Back
Top Bottom