Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
'Valentina' mi hata sikusumbua......
Najua we ni good boy,sina shaka nawewe badae uje kantini nikununulie ngubiti
Last edited by a moderator:
'Valentina' mi hata sikusumbua......
Ameni
Nashindwa kwa maana naona ntaishia kujiumiza zaid
Msalimie yule kipenzi cha moyo wako
'valentina' mi hata sikusumbua......
Bahati mbaya sana sina hulka ya kupenda..!Uoga muhimu hasa kwa nisichokijua
I will try hope this time
No regret
Ulishawah kumpenda MTU afu ukakosa ujasir wa kumwambia
How do u feel
Bahati mbaya sana sina hulka ya kupenda..!
Ikitokea nimevutiwa na mtu, namwambia straight coz siogopi negative response..!
wewe je?
woooooow
Ha ha ha uuuuupsi dadadeki zake
Pole sana kwa kutumia nguvu na skills zako ukijua utakuwa first kwake
It seems umekata bikira nying wewe
Huenda gegedo lako lililala kwa mshtuko kwanza
Tukio gani linakutia uchungu au unajutia LA kimahusiano
Aiseee I feel that kumbe hupendagi.
Mm nikimpenda MTU namsoma nikiona haelekei nakufa na hisia zangu
Hivi we mdada are you a journalist by proffesional?..,Najishangaa nimekupenda tu kwa style zako za kuuliza maswali.,Are you married already?
Ntajitahid kwa hilo
Mapenzi yanaanzia popote mkuu as long as hawa watu wapo tayar kuwa na uhusiano