Pillow talk: Nafasi ya elimu katika mapenzi

Sawa mkuu kiwatengu unafiri kuoana na msomi au mwanamke kuolewa na msomi inaweza kumpatia unafuu kwenye mapenz
 
Last edited by a moderator:

Mwanamke kuolewa na msomi yaah!! inawezekana na mapenzi hapa yanaweza kuwepo.

Mwanaume kumwoa mwanamke msomi mhhh! ngumu sana!!
 
Kwi kwi kwi
Kwann mwanaume mnaogopa kuoa msomi kuna madhara gani
Tatizo ni nn hasa

Ulishawah kuumizwa in love
 
Tatizo ni nature ya mwanamke tu mkuu..
ujue elimu ya darasani inawaharibu sana wanawake,haswa kwenye maswala ya kuwajibika nyumbani kama mama.

Kuumizwa ile sanaa sijawahi kwa kweli.
 
Kama tunasema nature ya mwanamke

Wewe binafsi unapenda mwanamke yupi kama mwanaume msomi au awe na level ipi
 
dah!! mi elimu siyo issue sana kwangu kwa kweli.
ninayempenda nilijikuta nampenda hata kabla sijajua elimu yake,
Kwa bahati nzuri sijawahi kulihofia hili la elimu.
(mpenzi wangu yumo humu naomba nisiseme elimu yake bila ridhaa yake).
 
Wewe unasemeje juu ya hili
mapenzi ni pesa na 6*6 kufikishana

Elimu yako mastrer or PhD kaaplay darasani.
Ni kweli weng tunaangalia hayo
 
anaengalia ya 6*6 ni wa temporary tu!!
naamini kabisa mwanamke msomi anayaweza mapenzi zaidi ya asiyekwenda shule kabisa.
Kusoma mudi ya mpenzi wako ni kitu bora.

Aisee maswala ya kufikishana tuu! ni raha ya muda mfupi....
 
dah!! mi elimu siyo issue sana kwangu kwa kweli.
ninayempenda nilijikuta nampenda hata kabla sijajua elimu yake,
Kwa bahati nzuri sijawahi kulihofia hili la elimu.
(mpenzi wangu yumo humu naomba nisiseme elimu yake bila ridhaa yake).

Hongera kwa kuwa na umpendae
Tueleze kidogo kiuchokoz unapenda kumfanyia nn 6*6 kuonyesha u ar hero California kingbed kwake???
 
wow!! kumridhisha...
kufanya yale yote yampasayo mwanaume kufanya,
huwa nafanya na ziada lakini just to make her happy.

inshort huwa nafurahi zaidi mpenzi wangu akifurahi..
 
anaengalia ya 6*6 ni wa temporary tu!!
naamini kabisa mwanamke msomi anayaweza mapenzi zaidi ya asiyekwenda shule kabisa.
Kusoma mudi ya mpenzi wako ni kitu bora.

Aisee maswala ya kufikishana tuu! ni raha ya muda mfupi....

Kuna malalamiko kibao kwenye jamii hat hapa jf kuwa wanawake wasomi weng wanasahau majukumu ya kazi zao as mama wa familia na kuwaachia mabint
Je huoni elimu inaweza kuleta madhara
 
Yaah.. inaleta madhara kweli hata ukirefer.. comments zangu za mwanzo nilisema juu ya hili.
Lakini mapenzi ni zaidi ya kazi za kuosha vyombo na kudeki,
sidhani kama usomi wa mke wangu utazuia ashindwe kutimiza baadhi ya majukumu ya kimama(simaanishi kuosha vyombo na kudeki).

nazungumzia majukumu mengine kama kupika..
kama mwanamke atashindwa kumwandalia mumewe chakula na mambo mengine haswa kutake care ya watoto at low age bora aache hiyo kazi...
 
wow!! kumridhisha...
kufanya yale yote yampasayo mwanaume kufanya,
huwa nafanya na ziada lakini just to make her happy.

inshort huwa nafurahi zaidi mpenzi wangu akifurahi..

Mzee kiwatengu tujuze kidogo wewe kipenda roho wako ni mwanamke wa ngapi kwako
Je umbile lake ndilo lilokuvutia au ni kipi ulipenda kwake
 
Aisee hapo kujua ni mwanamke wangapi, I'm countless..
Mungu anisamehe nimepita sehemu nyingi kidogo.
Hakuwahi kutokea mwanamke wakunituliza nikatulia.

Nimekutana na wadada aisee.. bad thing kutongoza nilikuwa najua, so haikunipa shida sana
kuchapa chapa!!

Mwanamke wangu wa sasa,(kaweza kunituliza kabisa)..
nilimpenda sana kwa maarifa aliyonayo na alinijali hata kabla hatujawa wapenzi.
Niseme ukweli, mwili wake au sura yake haikuwa sababu ya mimi kumpenda, sababu ni ukarimu wake na kuonyesha kujali kwake.. na akili yake pia.
 
Yaah.. inaleta madhara kweli hata ukirefer.. comments zangu za mwanzo nilisema juu ya hili.
Lakini mapenzi ni zaidi ya kazi za kuosha vyombo na kudeki,
sidhani kama usomi wa mke wangu utazuia ashindwe kutimiza baadhi ya majukumu ya kimama(simaanishi kuosha vyombo na kudeki).

nazungumzia majukumu mengine kama kupika..
kama mwanamke atashindwa kumwandalia mumewe chakula na mambo mengine haswa kutake care ya watoto at low age bora aache hiyo kazi...

Asante kwa haya maelezo yatawasaidia wengi hapa
Mkuu wasomi nao wapo kwenye michepuko na uelewa wao

Nini hasa tatizo LA kidume kuwa na michepuko?
Ndo nature yenu or
 
Back
Top Bottom