Pillow talk: Nafasi ya elimu katika mapenzi

Pillow talk: Nafasi ya elimu katika mapenzi

Nafasi ya elimu ktk mapenzi kwa dunia ya leo ni kubwa sana..

Ya kwanza Tabia
Ya pili Elimu...Coz elimu ndio mkombozi wa fikra si kwa baba na kwa mama. Mama akiwa bora basi na watoto watakuwa bora, baba akiwa bora zaidi kuliko mama basi hata watoto watakuwa bora..

Ila haipendezi saana kwa mwanamke kumzidi Mwanaume...Better Mwanaume awe juu zidi kidogo...



Nitakuwa na pillow talk hapa MMU

NAFASI YA ELIMU KATIKA MAPENZI

Ni pillow talk tutaenda katika nyanja tofauti

Everyone wellcome and watch

Nitakuwa na kiwatengu
 
Mkuu utakuwa na uwezo wa ajabu sana kuweza kusikiliza maandishi badala ya sauti...

Mkuu kuchapia bhana vinginevyo labda kupeleka maandishi kwenye software ya ku-make sound
 
asee hili swali lako sikuliona kabisa!
ila naweza kulijibu..

Kati ya vitu ninavyoepuka ni kumkosea mpenzi wangu...
nampenda sana,.. na endapo nitamkosea nitakuwa tayari kushuka na kumwomba msamaha!!
Kusameheana na kuvumiliana ni bonge la njia ya kusolve tofauti zetu...

na pia wajue kukoseana au maudhi tumeumbiwa binadamu tumekutana ukubwani hatujazaliwa pamoja so la muhimu ni kumjua mpenzio kipi hapendi kipi anapenda,ikitokea amekosea mna sameheana na kuelimishana mna move on. life is too short kununiana sio mpango kabisa mi napenda kila tukiingia kitandani tunacheka, by 6pm gumbu lazima liondoke.
 
nitakuwa na pillow talk hapa mmu

nafasi ya elimu katika mapenzi

ni pillow talk tutaenda katika nyanja tofauti

everyone wellcome and watch

nitakuwa na kiwatengu

je, kwanini k ya baadhi ya wanawake ukikojolea shawa zinamwagika chini nyingi? Je ni ugonjwa?je tatizo hl linatibiwaje? Na uke ukiwa mpana unafanyaje ili uwe unabana?
 
Back
Top Bottom