Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Unatumia njia gani kuleta maelewano pale mnapokosa na mwenzio?
karibu..
hahaha enzi zangu st kayumba ningepewa adhabu ya kuokota makaratasi uwanjani i miss old days ila sipigi tena kelele
Unatumia njia gani kuleta maelewano pale mnapokosa na mwenzio?
woooooowYaah.. inaleta madhara kweli hata ukirefer.. comments zangu za mwanzo nilisema juu ya hili.
Lakini mapenzi ni zaidi ya kazi za kuosha vyombo na kudeki,
sidhani kama usomi wa mke wangu utazuia ashindwe kutimiza baadhi ya majukumu ya kimama(simaanishi kuosha vyombo na kudeki).
nazungumzia majukumu mengine kama kupika..
kama mwanamke atashindwa kumwandalia mumewe chakula na mambo mengine haswa kutake care ya watoto at low age bora aache hiyo kazi...
asante sanaAisee hapo kujua ni mwanamke wangapi, I'm countless..
Mungu anisamehe nimepita sehemu nyingi kidogo.
Hakuwahi kutokea mwanamke wakunituliza nikatulia.
Nimekutana na wadada aisee.. bad thing kutongoza nilikuwa najua, so haikunipa shida sana
kuchapa chapa!!
Mwanamke wangu wa sasa,(kaweza kunituliza kabisa)..
nilimpenda sana kwa maarifa aliyonayo na alinijali hata kabla hatujawa wapenzi.
Niseme ukweli, mwili wake au sura yake haikuwa sababu ya mimi kumpenda, sababu ni ukarimu wake na kuonyesha kujali kwake.. na akili yake pia.
Unatumia njia gani kuleta maelewano pale mnapokosa na mwenzio?
asee hili swali lako sikuliona kabisa!
ila naweza kulijibu..
Kati ya vitu ninavyoepuka ni kumkosea mpenzi wangu...
nampenda sana,.. na endapo nitamkosea nitakuwa tayari kushuka na kumwomba msamaha!!
Kusameheana na kuvumiliana ni bonge la njia ya kusolve tofauti zetu...
ohoo!! i love u kwa kweli!!
'Valentina' mi hata sikusumbua......Usingizi ulinibaka nikashindwa kua nanyi,nimependa conver....haya wale wasumbufu wapite mbele wapige magoti na waite ndege kwa masaa mawili!