ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,852
- 131,808
yes we are bff and lovers
For real??? Good luck guys..!
yes we are bff and lovers
na pia wajue kukoseana au maudhi tumeumbiwa binadamu tumekutana ukubwani hatujazaliwa pamoja so la muhimu ni kumjua mpenzio kipi hapendi kipi anapenda,ikitokea amekosea mna sameheana na kuelimishana mna move on. life is too short kununiana sio mpango kabisa mi napenda kila tukiingia kitandani tunacheka, by 6pm gumbu lazima liondoke.
aisee!!! usingizi unafaidiiiii...naamani kweli mimi ndio ninekuwa huo usingizi!!!
Hahaaa ili ubake vizuri lol
haswaaa na ungelikuwa walala kila mara...
For real??? Good luck guys..!
thanks allot best sijui unakuwa wapi now days..ubuyu unakupitaga pillow talk huonekani..ntakuwa nakupigia simu
yes we are bff and lovers
thanks allot best sijui unakuwa wapi now days..ubuyu unakupitaga pillow talk huonekani..ntakuwa nakupigia simu
haswaa
asante sanaVizuri sana hongereni